Ginimbi laizer

Ginimbi laizer Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ginimbi laizer, Comedy Club, Dodoma.

24/04/2023
I accept you from Tanzaniaโค๏ธ
24/04/2023

I accept you from Tanzaniaโค๏ธ

Bg boss
23/04/2023

Bg boss

Check me out on the latest issue of Haute Living Miami... Haute Living

26/09/2022

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Bank ๐Ÿฆ ya uhakika ni NBC
26/09/2022

Bank ๐Ÿฆ ya uhakika ni NBC

MUNGU ATENDAE YASIYOWEZEKANA.TWENDE PAMOJA.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Kutoka 14:10-16,18,21-22,24-25[10]Hata Farao alipokaribia, wana wa Israeli...
24/09/2022

MUNGU ATENDAE YASIYOWEZEKANA.

TWENDE PAMOJA.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Kutoka 14:10-16,18,21-22,24-25
[10]Hata Farao alipokaribia, wana wa Israeli wakainua macho yao, na tazama, Wamisri wanakuja nyuma yao; wakaogopa sana; wana wa Israeli wakamlilia BWANA.
[11]Wakamwambia Musa, Je! Kwa sababu hapakuwa na makaburi katika Misri umetutoa huko ili tufe jangwani? Mbona umetutendea haya, kututoa katika nchi ya Misri?
[12]Neno hili silo tulilokuambia huko Misri, tukisema, Tuache tuwatumikie Wamisri? Maana ni afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufa jangwani.

SOMA HAPO JUU TENA NA KURUDIA RUDIA MARA KADHAA.... WAISRAEL WALOKUWA WATUMWA MISRI WAMEPATA NAFASI YA KUTOKA UTUMWANI, LAKINI PAMOJA NA KUTOKA WAMETEMBEA WAKAFIKA SEHEMU WAKAWEKA KAMBI NA KUSEMA WACHA TUMPUZIKE KIDOGO HAPA...MARA WANAONA WAMISRI WAKIJA JESHI KUBWA. WAKAANZA LAWAMA,
UNGETUACHA TUFIE MISRI,
BORA KUWA WATUMWA KULIKO KUFIA JANGWANI,
WAMESAHAU MAKUU ALOTENDA BWANA HADI WAKATOKA UTUMWANI.
Siku zote unapoamua kuachana na dhambi bado tuu shetani atakuja na vitisho mbele yako ili kukukatisha tamaaa,
Atakufanya ufukuzwe kazini,
Atakufanya ulale njaa,
Atakufanya uumwe.
LAKINI SIKIA RAFIKI USIOGOPE SONGA MBELE.

[13]Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.

MUSA ANAWATIA MOYO WAISRAEL KATIKA MAMBO YASIWEZEKANA KWAO,
MSIOGOPE MAANA HILI JESHI HAMTALIONAAAA TENA,
HALELUUUYHAA๐Ÿ™๐Ÿ™
JESHI LINAKUJA NYUMA, MBELE KUNA BAHARI,PEMBENI NI MILIMA,
HAKUNA NJIA YA KUWAKIMBIA LAAAAKINI BWANA ANASEMA KUPITIA MUSA KWAMBA MISOGOPE.
SONGENIIII MBELE,
INAWEZEKANAJE KUSONGA KWENYE BAHARI ILIYO JAA MAJI TENA YENYE KINA KIREFU, TENA UPITE KATIKATI??
LAAAKINI BWANA AKIWA MBELE YAO UOGA WOTE UKATOWEKA.

LEO BWANA ANASEMA NAWE RAFIKI USIOGOPE
WEWE MAMA USIOGOPE,
WEWE KIJANA USIOGOPE,
HIVI VITISHO VYA MAISHA UNAVYOVIONA LEO VITATOWEKA VYOOOOOTE MAISHANI MWAKO MPKA USHANGAE.

WAISRAEL WANAMLILIA MUSA,
MUSA ANAMLILIA MUNGU,
HEBU TUONE MAJIBU YA MUNGU HAPA.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
[14]BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
[15]BWANA akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.
[16]Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu.
[18]Na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapokwisha kujipatia utukufu kwa Farao, na magari yake, na farasi zake.

BWANA ANAMWAMBIA MUSA USINILILIE MIMI.
TENA BWANA HAMWAMBII MUSA WALILIE WAISRAEL,
HAPANA.
BWANA ANAMWAMBIA MUSA WAAAMBIE WAISRAEL WAENDELEE MBELE.
HAIJALISHI KUNA MAJI MBELE YAO LAKINI WAENDE MBELE,

MAJARIBU YANAPOKUJIA HAKUNA WA KUYAONDOA MBELE YAKO ISIPOKUWA NI WEWE PEKE YAKO NA MUNGU WAKO.

HAIJALISHI KUNA MAWINGU MBELE YAO LAKIN WAENDE MBELE,
HAIJALISHI KUNA DHORUBA MBELE YAO LAKINI WAENDE MBELE.

RAFIKI NI BAHARI IPI ILIYO MBELE YAKO.
JE HUPATI MCHUMBA MPAKA LEO NA UZEE UNAINGI,

JE BAHARI YAKO NI NDOA INATIKISWA,
JE BAHARI YAKO NI KAZI HAUNA,
JE BAHARI YAKO NI KAZI UMEFUKUZWA,
JE BAHARI YAKO NI SHULE ADA HAKUNA,
JE BAHARI YAKO NI MADENI YAMEKUSONGA,
JE BAHARI YAKO NI NINI RAFIKI.
WEWE WAJUA.

LEO BWANA ANASEM SONGA MBELE.
HATA LIKIWA KUBWA KWA KIWANGO GANI WEWE SONGA MBELE.
MIBARAKA ITAKUKUTA NJIANI RAFIKI SONGA MBELE.

MUNGU WA MAMBO YASIYOWEZEKANA ANASEMA SOOOOOONGAAA MBELE.

HALELUUUYAH.
NIMEAMUA KUSONGA MBELE,
IWE IWEJE NASONGA MBELE,
NIMEGUNDUA MBELE KUNA TUMAINI,
NIMEGUNDUA MBELE KUNA MEMA,
NIMEGUNDUA MBELE KUNA FURAHA,
NIMEGUNDUA MBELE AMIRI JESHI WA BWANA AMETANGULIA.

OOOH YESU NENDA PAMOJA NA WATU WAKO.

LEO BWANA AKUFANYIE WEPESI KWA JINA LA YESU.
AAAMEN

BARIKIWA UNAPOTAFAKARI
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

WANAWAKE KUWENI WAKWELI K**a wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila K**a wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio...
21/09/2022

WANAWAKE KUWENI WAKWELI

K**a wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila K**a wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na hujafiwa na mmeo huwezi kuwa single.

Tunadanganyana jamani hakuna mwanamke ambaye yupo single tusidanganyane tuambiane ukweli wanaume walio single wapo wengi Ila wanawake walio single hakuna labda kwa sifa nilizoziweka hapo juu.

Mimi binafsi nikiwa katika maongezi ya kawaida na demu akaniambia yupo single huwa namchana live kwamba aache uongo sijawahi kuwa mnafiki kwa hili usingle ukiwa mwanamke ni vigumu Sana sana.

Upo single simu imejaa mapassord kila mahali, Simu ikipigwa hupokei ukiwa umekaaa na mwanaume mwingine, sms zipo silence, ukipigiwa unaenda kupokea simu chooni wewe upo single wewe?

Eti nipo single upo single wewe unaimbwa mademu acheni K**a yupo aliye single aje hapa akanushe we upo single upo kwenye jukwaa la mapenzi๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Si mseme tu kwamba mpo na watu ambao sio mliowaota kuwa nao pale zamani. ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ

21/09/2022

Love

21/09/2022

Pombe mpya hiyo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

20/09/2022

Kuna mtu anasubiri atumiwe na ya kutolea .๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ginimbi laizer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category