Worldwide network news

Worldwide network news Kwa habari zaidi za mastaa unao wapenda, burudani siasa na michezo , zitapatikana hapa pia matangazo ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi piga 0622256291

Hapa tutakuletea habari zote zinazo shika vicha katika magazeti televisheni na redio pia mitandao mbalimbali ya kijamii ambazo ujazipata kwa wakati kwa ufasaha wake zikiwa ni habari za siasa,burudani na michezo pia matangazo ili kupata huduma unayo hitaji kwa wakati. Piga 0622256291

The deal, announced on 8 June, is expected to unlock the full potential of the multitalented 19 year old.“I feel blessed...
10/06/2022

The deal, announced on 8 June, is expected to unlock the full potential of the multitalented 19 year old.

“I feel blessed and honoured to be one of the performing female artists representing Africa on a major label,” Abby Chams said. “This is a dream come true, a manifestation of sorts. It is a testament to my faith and hard work. The world is about to get the Abigail experience.”

Sony Music East Africa boss Christine Mosha welcomed the artist to the label and said it was time time for the world to experience her talent.

Abby Chams, who started learning piano when she was five and mastered the violin by eight, is also an outstanding guitarist, drummer and flautist. She has collaborated with top Tanzanian stars like Rayvanny, Darassa and Rosa Ree. She has also worked with foreign artists such as James Nee (Malawi), Jimmy D Psalmist (Nigeria) and Jekalyn Carr (US).

The singer, who won the Outstanding Youth in Entertainment Award at the 2021 Tanzania Emerging Youth Awards, is also one of the country’s biggest influencers. In 2020, UNICEF selected her to be a youth advocate on mental health and gender equality in Tanzania. She is also an ambassador for the Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture.

The signing comes days after the record company signed Tanzanian rapper Young Lunya.

“I come from a part of the region where even talking about major labels was a myth and a dream,” he said. “So to see one of my biggest dreams come true has just been such a blessing and an honour. I am more excited that I am signed to Sony Music because they represent some of the biggest artists that I admire like ASAP Rocky, Future, Travis Scott and many others.”

BINGWA LIGI KUU KOMBE JIPYA NA SH MILIONI 600WADHAMINI wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, benki ya NBC wametaja zawadi wataka...
10/06/2022

BINGWA LIGI KUU KOMBE JIPYA NA SH MILIONI 600

WADHAMINI wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, benki ya NBC wametaja zawadi watakayotoa kwa bingwa wa msimu huu, ambayo ni Sh. Milioni 100.
Maana yake bingwa wa Ligi Kuu msimu huu ataondoka na Sh. Milioni 600 jumla pamoja na Sh. Milioni 500 za haki ya matangazo ya Televisheni kutoka Azam Media Limited.
Pamoja na hayo, NBC wameonyesha Kombe jipya la ubingwa wa Ligi Kuu litakaloanza kutolewa msimu huu.

Polisi katika kaunti ya Nyandarua wanamzuilia mwanaume mmoja anayeripotiwa kuuzia watu nyama za mbwa.Ndirangu Wahome ali...
09/06/2022

Polisi katika kaunti ya Nyandarua wanamzuilia mwanaume mmoja anayeripotiwa kuuzia watu nyama za mbwa.

Ndirangu Wahome alikamatwa Jumapili baada ya chifu wa eneo la Wanjohi, kaunti ndogo ya Kipipiri Margaret Wambui kuwafahamisha polisi kuhusu mwanamume aliyeshukiwa kuuza nyama ya mbwa iliyokaangwa katika eneo lake.

Wambui alisema kulikuwa na ripoti nyingi zilizodai kuwa nyama ambayo mshukiwa alikuwa akiuza kuzunguka kwenye bakuli katika mji wa Wanjohi mjini Wanjohi ilikuwa ya mbwa.

Baada ya kupokea ripoti polisi walimkamata Ndirangu na kufanya msako mkali nyumbani kwake katika juhudi za kutafuta ushahidi zaidi.

Kichwa cha mbwa, sufuria iliyokuwa ikitumia katika mapishi, kisu na panga zilizokuwa na damu, mtego aliotumia kunasa mbwa na gramu 10 za bangi ni baadhi ya vitu vilivyopatikana nyumbani kwa mshukiwa.

Polisi pia waliweza kumpata mbwa aliye hai ambaye inaaminika alikuwa anasubiri kuchinjwa.

Mshukiwa alitiwa pingu na kupelekwa katika kituo cha polisi cha Wanjohi ambako anazuiliwa huku akisubiri kufikishwa mahakamani.

Mahakama ya hakimu mkazi kinondoni jijini Dar es  salaam imetupilia mbali na kuiondoa kesi ya aliekua mkuu wa mkoa wa Da...
09/06/2022

Mahakama ya hakimu mkazi kinondoni jijini Dar es salaam imetupilia mbali na kuiondoa kesi ya aliekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda juu ya matumizi mabaya ya ofisi na kuingilia matangazo ya kituo maarufu cha habari cha clouds media.
Umuzi huo umetolewa leo na hakimu mfawidhi Aron lyamuya ambapo alisema mahakama haina mamlaka ya kusikiliza shauri hilo na kwamba mash*taka yaliyo tajwa ayawezi kushughulikiwa na mahakama. Kutokana na uamuzi huo Makonda hana kesi ya kujibu na makosa yanayo mkabili katika mahakama hiyo.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Worldwide network news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category