Mambo TV

Mambo TV Karibu ucheke na MamboTV

Huyu Ndio Mzee wa kuchafua hali ya hewa wakati wote Kipele255
22/04/2022

Huyu Ndio Mzee wa kuchafua hali ya hewa wakati wote Kipele255

Unaalikwa kwenye sherehe,kwakua sherehe ni watu nawe unaalika marafiki zako wote Shuhudia kilichompata kipele255

Usicheze na Boda boda Watakua Cheki kichapo alichochezea huyu Jamaa
18/03/2022

Usicheze na Boda boda Watakua Cheki kichapo alichochezea huyu Jamaa

Sio Kila kinacho ongewa kinakuongelea wewe, japo yaweza tokea mtu akaongea jambo na mwingine likakulenga moja kwa moja, hili ndio tukio lililo mpata Kipele25...

MDOMO WAPONZA KICHWA
11/03/2022

MDOMO WAPONZA KICHWA

Inaweza tokea unampa mtu ushauri kwanjia ya simu Bila Kujua upo maeneo gani yaweza kua unacho shauri kikawa kina muhusu mtu ulie nae kwa kwa wakati huo mdomo...

https://youtu.be/QntE2V8VGi8
11/02/2022

https://youtu.be/QntE2V8VGi8

Mazoea ni Mabaya sana, jamaa alizoea kumlisha mkewe dagaa kwa madai hana pesa huku yeye akinunua mishikaki na kula kwa kificho, za mwizi arobain leo mkewe ms...

Karibuni sanaaa.....
09/02/2022

Karibuni sanaaa.....

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mambo TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share