DAR 411

DAR 411 Ultmate Dar City Life!!

Off shoulder skatter dress available 12-14 nzurii sana. @ 20,000Call/DM/whatsap 0716574686 / 0759875677
02/09/2020

Off shoulder skatter dress available 12-14 nzurii sana. @ 20,000

Call/DM/whatsap 0716574686 / 0759875677

Baada ya kifo Ivan Zari amekumbwa na vita vikubwa sana kutoka familia ya Ivan Ssemwanga. amua kufunguka na kusema mengi?...
02/06/2017

Baada ya kifo Ivan Zari amekumbwa na vita vikubwa sana kutoka familia ya Ivan Ssemwanga. amua kufunguka na kusema mengi? Je kuna ukweli wowote katika hayo? au zari nae anataka Mali? R.I.P IVAN

je wewe ulianza na simu ipi ? yangu 8
19/05/2017

je wewe ulianza na simu ipi ? yangu 8

NEW NEW NW !!! Hit song in town Click link below mama kijacho katika Ubora wake ame weza hajaweza?
19/05/2017

NEW NEW NW !!! Hit song in town Click link below mama kijacho katika Ubora wake ame weza hajaweza?

Tupatie zile stori kali sana za   saivii je story gani zina hit?
22/03/2017

Tupatie zile stori kali sana za saivii je story gani zina hit?

Haya sasa Ngoma ipi kali kati ya hi mpya za wakali hawa wa Bongo fleva, Je ni Alikibaft M.I aje remix au Marry you ya Di...
17/02/2017

Haya sasa Ngoma ipi kali kati ya hi mpya za wakali hawa wa Bongo fleva, Je ni Alikibaft M.I aje remix au Marry you ya Diamond platnumz ft Neyo??? kazi kwako

Twendeni mbele turudi nyuma hakuna asyiependa haya Maisha, haswa comming from nothing to something!! Kutoka tandale to t...
13/02/2017

Twendeni mbele turudi nyuma hakuna asyiependa haya Maisha, haswa comming from nothing to something!! Kutoka tandale to the world hongera sanaDiamond Platnumz wewe ni mfano wa kuigwa na kila mtu wanaume Kwa wanawake big up kubwa sana kwako na familia yako despite maneno na chokochoko kibao you always manage to prove them wrong with the mother of your kids by your side ... keep doing you men, maji yanazidi kujitenga na mafuta

TID, WEMA, PETI, TUNDA , RECHO NA WENGINE wameachiliwa leo kutoka mahabusu lakini wakitakiwa kulipa faini ya million 20 ...
07/02/2017

TID, WEMA, PETI, TUNDA , RECHO NA WENGINE wameachiliwa leo kutoka mahabusu lakini wakitakiwa kulipa faini ya million 20
humu TID ROMMY NA TUNDA watakua katika uangalizi wa polisi kwa muda wa mika 3 na wtatakiwa kuripoti kituoni mara 2 kwa mwezi na faini ya million 10

Amsha Amsha ya Paul Makonda jijini majina yao haya hapa
06/02/2017

Amsha Amsha ya Paul Makonda jijini majina yao haya hapa

30/01/2017

Nani katisha kati ya hawa? ngoma , dance all day long....

Stori ipi inabamba BONGO?? 1.Je ni ya Diamond na Zari 2.Wema Sepetu kurudi kwa fujo insagram3.Au fununu za Harmonise na ...
30/01/2017

Stori ipi inabamba BONGO??
1.Je ni ya Diamond na Zari
2.Wema Sepetu kurudi kwa fujo insagram
3.Au fununu za Harmonise na Wolper?
na je stori gani ina ukweli na inamanufaaa ..?

06/12/2016

Nani anapenda bongo movie?

Address

DAR
Dar Es Salam

Telephone

+255759875678

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAR 411 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share