15/09/2017
Naitwa Abdulaziz s. Mkilalu aka Zinger mchoraji wa michoro ya kulimisha kuhusiana na masuala mbalimbali ya kijamii kwa kutumia mbinu shirikishi ya PHAST, PUA na PRA mijini na vijijini na muelimishaji mshauri katika masuala mazima ya Afya na usafi wa mazingira kwa njia ya michoro