17/09/2024
Upo na marafiki 5,000 halafu hawa comment wala hawa like. Hao ni marafiki hewa, kuanzia kesho naanza kupunguza, ukijiona umebakia ujue wewe ni wa thamani kwangu. Just like ukishindwa ku comment.
Asanteeeee