09/04/2017
Kindly fill the forms with short and precise answers
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLScSmQgztgTHat4jLNHnfO3fAXYcNGOScnebGJlSoxlSpE8VqQ/viewform?usp=sf_link
Sisi Faraja Arts tunatafuta watu ambao tunaweza kufanya nao kazi katika mradi wa kubadili takataka kuwa mapambo. Mradi huu umeshinda tuzo ya Malkia Wa Nguvu 2017 katika sekta ya Sayansi na Teknolojia.