Suprize Tanzania

Suprize Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Suprize Tanzania, Music Chart, Ilala, Dar es Salaam.

Ni nyimbo ya kwake   inaitwaje??
21/01/2018

Ni nyimbo ya kwake inaitwaje??

Nimechoka balaa nilikuwa ulaya,,,,
25/12/2017

Nimechoka balaa nilikuwa ulaya,,,,

Mama kanifikisha duniani natimiza nilicholetewa,,,,
25/12/2017

Mama kanifikisha duniani natimiza nilicholetewa,,,,

SUPRIZE NI NANIMimi ni Msanii wa muziki ninayechipukia katika tasnia ya muziki na ninajua vichache kuhusu sanaa niifanya...
22/12/2017

SUPRIZE NI NANI
Mimi ni Msanii wa muziki ninayechipukia katika tasnia ya muziki na ninajua vichache kuhusu sanaa niifanyayo inamaana gan,Wengi Hkiwauliza nn maana ya Sanaa hawajui. Kwauelewa wangu mdogo najua Sana'a ni kufikisha ujumbe kwa jamii Iwe nikwakuigiza au kuimba ila kwa kuimba jamii inapaswa ipokee ujumbe wa maana sio wa kughasi masikio yao .

Kwa majina kamili mafahamika k**a (NICHHOLAUS BALTAZAR) na kwa jina ninalotuia kwa Sana'a ni . Muziki nafanya wa aina zote za kibongo na Afrika kwa ujumla yaani Bongo flave na Afropop kwa ujumla.Mimi ndiye Suprize mwanamuziki mliyemngojaga sana ,sasa ndo nimeanza rasmi ila sina Meneger kwahiyo yeyote atakayehitaji kuniongoza napatikana kwa naomba 0766496128(Suprize)

Nipo na Fusional David,,,,
04/12/2017

Nipo na Fusional David,,,,

Ama kweli maisha yanapita,,,,,LEO LULU UMETUACHA UMEENDA KUTUMIKIA KIFUNGO JELA,,,,,,,,usife moyo we ndo mwanamke uliech...
13/11/2017

Ama kweli maisha yanapita,,,,,
LEO LULU UMETUACHA UMEENDA KUTUMIKIA KIFUNGO JELA,,,,,,,,
usife moyo we ndo mwanamke uliechaguliwa na mwenyez mungu kwa hili jaribu ila jua jaribu ni mtaji,,,,,,,,
ILA JUA WEWE NDO MSICHANA WA PEKEE WA KUWAKILISHA WASICHANA WENGINE TANZANIA ,,,,,,,,
BE PROWD USIDHOHOFIKE,,,,,,,,,

SEMA NENO MOJA KWA SUPRIZE,,,,,,,,
12/11/2017

SEMA NENO MOJA KWA SUPRIZE,,,,,,,,

Address

Ilala
Dar Es Salaam
1

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Suprize Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category