Abdul auto tech

Abdul auto tech Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Abdul auto tech, p. o Box 255 kinondoni, Dar es Salaam.

HOW TO DIAGNOSE AND FIX POWER LOSS IN YOUR CAR
10/11/2024

HOW TO DIAGNOSE AND FIX POWER LOSS IN YOUR CAR

How to Diagnose and Fix Power Loss in Your Car Diagnosing and fixing power loss in a car can be a complex task, as there can be several pot...

UMUHIMU WA MARK KATIKA KUTEGA INJINI YAKO
10/11/2024

UMUHIMU WA MARK KATIKA KUTEGA INJINI YAKO

HABARI WANA JAMVI NAOMBA TUJIFUNZE KITU MWENYE KUONGEZEA ASISITE KUTOA MCHANGO WAKE Mark za timing ni kiashirio muhimu kinachotumiwa kuwe...

JINSI YA KUPIMA OIL KWENYE GARI YAKONI vyema kupima oil ya GARI lako kabla ya kuanza safariNa muda mzuri wa kupima oil n...
05/11/2024

JINSI YA KUPIMA OIL KWENYE GARI YAKO
NI vyema kupima oil ya GARI lako kabla ya kuanza safari
Na muda mzuri wa kupima oil nI pale gari lako linapokuwa limepaki kwa muda kufikia oil yote kushuka na kupoa hasa asubuhi unapoamka kwa sababu oil na engine vyote vinakuwa vimepoa kabisa.
Saizi salama ya Oil ya gari lako unapoipima ni kwamba oil haifikii alama ya MAX kwenye geji na haishii kwenye alama ya MIN yaani kwa maneno rahisi isifike kwenye max na isikomee kwenye alama ya min

Address

P. O Box 255 Kinondoni
Dar Es Salaam
DARESLAAM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abdul auto tech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Abdul auto tech:

Share