Nestory mpya mpya

Nestory mpya mpya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nestory mpya mpya, Music Chart, makumbusho, Dar es Salaam.

Mashine mtoa roho ni mnyama
06/07/2024

Mashine mtoa roho ni mnyama

17/04/2023

Mdomo wamponza manara

Huo ndo utofaut wa champion league na shirikisho
17/04/2023

Huo ndo utofaut wa champion league na shirikisho

www.nestoryka.com Umeishi kutunza hela kwenye kibubu muda wa miaka 3 kuja kutaka uzitoe ufanye mambo yako   kufungua una...
29/03/2017

www.nestoryka.com Umeishi kutunza hela kwenye kibubu muda wa miaka 3 kuja kutaka uzitoe ufanye mambo yako kufungua unamkuta panya kazichana Chana utamuua au utampa azabu gan!?

Mpe jina la utan  comedia huyu ambalo unaona linamfaa
02/03/2017

Mpe jina la utan comedia huyu ambalo unaona linamfaa

Haaah! TID kiboko kaulizwa unatumia Unga? NdiyoUnamudu kununua? NdiyoIngawa bei kidogo unaweza kuacha? SiweziUnaweza kut...
05/02/2017

Haaah! TID kiboko kaulizwa unatumia Unga? Ndiyo
Unamudu kununua? Ndiyo
Ingawa bei kidogo unaweza kuacha? Siwezi
Unaweza kutuonyesha anaekuuzia? Ndiyo
Difender mpaka kwa Mangi kafika kawaonyesha unga wa Sembe

Hahahaaa Mungu anakuona ujue

 : wanamgambo wa Al shabaab wavamia kambi ya polis maeneo ya Arabia Nchini Kenya.
03/02/2017

: wanamgambo wa Al shabaab wavamia kambi ya polis maeneo ya Arabia Nchini Kenya.

 : abiria mkoan mwanza washindwa kusafiri baada ya ndege Bombadier Q Dash 400 kupata hitilafu
01/02/2017

: abiria mkoan mwanza washindwa kusafiri baada ya ndege Bombadier Q Dash 400 kupata hitilafu

R.I.P David Buruhan mlinda mlango wa timu ya Kagera sugar mbele yako nyuma yetu
30/01/2017

R.I.P David Buruhan mlinda mlango wa timu ya Kagera sugar mbele yako nyuma yetu

Konde boy toka WCB wasafi kitu kipya soon
30/01/2017

Konde boy toka WCB wasafi kitu kipya soon

Wachimbaji waliofukiwa kifusi Rz Geita waokolewa wakiwa hai
29/01/2017

Wachimbaji waliofukiwa kifusi Rz Geita waokolewa wakiwa hai

Yule kijana wa home so staaAnatukana hata walio mzaaaWivu tamaa na njaaaUkiendekeza juu ya kidole utakaa wa manzese
27/01/2017

Yule kijana wa home so staa
Anatukana hata walio mzaaa
Wivu tamaa na njaaa
Ukiendekeza juu ya kidole utakaa

wa manzese

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nestory mpya mpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category