Free Souls Music

Free Souls Music As part of the body of Christ, we have decided to reach millions of people through anointed musical contents, and share with them the good news of God!

Free Souls Music is part of an International soul winning movement called Free Souls in Christ (FSC) We save God with the anointed musical contents for redemption of the lost and oppressed souls!

Tunamshukuru Mungu jana, tulikuwa na wakati mzuri tena KILINDINI;Tulihudumiwa na Mtumishi wa Mungu Pastor Somo: NGUVU IT...
10/03/2025

Tunamshukuru Mungu jana, tulikuwa na wakati mzuri tena KILINDINI;

Tulihudumiwa na Mtumishi wa Mungu Pastor

Somo: NGUVU ITENDAYO KAZI NDANI YETU (DUNAMIS) Efeso 3:20

✅ Nguvu ya Roho Mtakatifu ndani yetu ina viwango
✅ Ni Muhimu kuhakikisha Mwana wa Mungu anadumisha ushirika na Roho Mtakatifu ili viwango vya nguvu kuongezeka
✅ Kipimo cha nguvu uliyonayo ni pale unapoiweka kwenye matendo (Math 17:16-20)
______________________

TUKUTANE TENA KILINDINI TAREHE 23/3/2025
Jinsi ya kufika piga +255685492967 (WhatsApp)

Picha kutoka katika ibada ya fellowship ya Free Souls in Christ iliyofanyika February 16, 2025. Fellowship hiyo iliyopew...
03/03/2025

Picha kutoka katika ibada ya fellowship ya Free Souls in Christ iliyofanyika February 16, 2025. Fellowship hiyo iliyopewa jina la 'KILINDINI' itakuwa ikifanyika mara mbili kila mwezi jumapili jioni kuanzia saa 9:30 PM, Ulongoni A, Dar es Salaam. Karibu tuabudu na kujifunza Neno la Mungu kwa mapana. Kwa maelekezo zaidi piga +255 621 467 313

29/06/2021
04/11/2019
02/11/2019
praise WORSHIP & deliverance night 15/3/2019 kuanzia 2030hrs hadi baadae.  Army Church - ilala, kituo cha msaada Gereji ...
11/03/2019

praise WORSHIP & deliverance night 15/3/2019 kuanzia 2030hrs hadi baadae. Army Church - ilala, kituo cha msaada Gereji au bungoni ukitokea ilala boma. (Karibu kabisa na chuo cha uandishi wa habari DSJ)

Karibu sana!

If you are yet to give your life to Jesus, together we can right now - please say along with us "Lord Jesus, i confess i...
29/08/2018

If you are yet to give your life to Jesus, together we can right now - please say along with us "Lord Jesus, i confess i'm a sinner but i now accept you as my Lord and saviour; please come into my life and reign in my affairs; I surrender all to you and proclaim you the Lord of my life. Thank you Jesus for being my Lord and i rest in your loving arms and lay all my cares at your feet". (if you prayed this prayer, welcome to the family as you've accepted Jesus and we encourage you to join a bible believing local church around you. God bless you!

  VIBE!!
27/05/2018

VIBE!!

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Free Souls Music posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Free Souls Music:

Share