27/04/2026
Hongera za dhati kwa kijana wetu kwa kushinda tuzo ya Best Rapper β Kanda ya Vyuo Vikuu! Hii ni hatua kubwa na ushahidi wa kazi ngumu, nidhamu na kipaji cha hali ya juu. Tunajivunia mafanikio haya na tunaamini huu ni mwanzo wa safari kubwa zaidi.
Shukrani za pekee ziende kwa uongozi na waandaaji wa kwa kuandaa jukwaa bora la kukuza vipaji. Tunatoa pia pongezi kwa .tanzania , majaji wote kwa uamuzi wao wa haki, pamoja na mashabiki kwa sapoti yenu isiyoyumba.
Kwa heshima kubwa, tunautambua uongozi wa Chuo cha Kimataifa cha Kampala kwa malezi na mazingira chanya yanayochochea mafanikio ya vijana wetu.
Tunaendelea kusonga mbele kwa pamojaβvipaji vina nafasi, ndoto zinawezekana.