01/02/2026
STORY : MONICA
WRITTER : Bumela
YEAR : 2025
[email protected]
+255 744 266 088
SEHEMU - 08
" James, Hii Ni Mara Yako Ya Kwanza Kufanya Mapenzi.?" Aliuliza Monica Akionekana Kabisa Kuwa Alikuwa Na Uhakika Wa Kupata Jibu La Ndio.
James Akajihisi Aibu Kidogo Kwa Swali Lile
" Umejuaje? '’ Akajibu Kwa Swali James Ambaye Ni Kweli Hakuwahi Kushiriki Kitendo Cha Aina Ile Kabla.
" Learner Hajifichi, Lakini Usijari, Itabidi Nikupe Darasa, Na Baada Ya Hapo Utakuwa Mwalimu..?" Alisema Monica Huku Akimpapasa James Na Mara Mlango Ukagongwa.
Sauti Ya Mgongaji Ilikuwa Ya Paul, Wote Wakapagawa Kila Mmoja Akikimbilia Nguo Zake, James Akakimbia Na Zakwake Chumbani Kwake Akimuachia Monica Msala Wake.
Akiwa Chumbani James Alisikia Monica Akimkaribisha Ndani Mumewe Vizuri K**a Hakuna Chochote Kilichotokea, Karibu Mezani Upate Chakula Mume Wangu James Alisikia Kwa Mbali Monica Akimkaribisha Mumewe Chakula Baada Ya Kumpokea, Akaamua Kupuuza Maongezi Yao Na Kubaki Akiwaza Yake.
Alijiona Mkosaji Sana Kwa Kitendo Alichokifaya Na Shemeji Yake, Aliona Hakumtendea Haki Kaka Yake Ambae K**a Sio Yeye Angekuwa Anapambana Na Maisha Ya Kijijini. Akajiapia Kuwa Asingerudia Tena Kufanya Jambo K**a Lile.
Nusu Saa Baadae James Akazima Taa Na Kuamua Kulala, Lakini Kabla Usingizi Haujamchukua Akasikia Mlango Wake Unagongwa Polepole, Mgongaji Hakutoa Sauti Yoyote Zaidi Ya Kugonga Mlango.
James Akaamua Kuitikia Mwito Ule Mlangoni, Akawasha Taa Na Kufungua Mlango, Macho Yakamtoka Kukutana Na Monica Akiwa Uchi, K**a Alivyozaliwa, Umbile Lake Zuri Liking’arishwa Na Weupe Wake Wa Asili Ambao Ulikuwa Ukimtoa Roho James.
" Uko Tayari Kwa Darasa..?" Aliuliza Monica Akirembua Macho Kimahaba.
" Sikia Shem, Kilichotokea Leo Ni Makosa Makubwa Sana Na Tunapaswa Kuyajutia Sio Kuyarudia Kwa Makusudi" Alisema James Kwa Msisitizo Wa Hali Ya Juu.
Kichwani Alikuwa Akijiuliza Kaka Yake Alikuwa Wapi Wakati Shemeji Yake Huyu Anafanya Mambo Ya Hatari Namna Ile.
James Akataka Kufunga Mlango Lakini Monica Akawahi Kuuzuia.
" Kweli Unaniacha Nikalale Na Ukame.?, Kuwa Na Huruma Shem" Alisema Monica Kwa Sauti Ya Kudeka
James Akajitahidi Kuishinda Nafsi, Maana Tayari Mnara Wake Ulishaanza Kutoa Huduma Lakini Uoga Ulizizidi Hisia Za Matamanio.
" Nenda Kajipoze Kwa Mumeo Aisee, Ondoka Usije Ukaniletea Matatizo" Alisema James.
Je, Unahisi Nini Kitajiri Hapa..?
Uhondo Utaendelea
Hapahapa
instagram.com/Bumela_