Unleashed Academy

Unleashed Academy This is the official page for the Unleashed Academy for Creative Arts and Leadership.

๐Ÿ“ Bufee La Fursa limefika salama Zanzibar, na wamejipakulia fursa! ๐Ÿฅณ๐Ÿ”ฅKila mmoja ana sahani yake, tayari kuchagua kile ki...
21/08/2026

๐Ÿ“ Bufee La Fursa limefika salama Zanzibar, na wamejipakulia fursa! ๐Ÿฅณ๐Ÿ”ฅ

Kila mmoja ana sahani yake, tayari kuchagua kile kinachoweza kubadilisha maisha yake. ๐Ÿฝ๏ธโœจ

Bufee likija kwako, utachagua fursa gani? ๐Ÿค”๐Ÿ‘‡

Tupigie Leo Kupitia 0749 858 450 Tukuunganishe na Bufee Letu..

๐Ÿ’ช๐Ÿพ

14/08/2026

๐Ÿ”ฅ Teamย  Yako Inahitaji More Thanย  Just An Outing!

Kazi, deadlines, pressureโ€ฆ lakini mnapata muda wa ku-connect na ku-reset k**a team? ๐Ÿค

Hapo ndipo Unleashed Academy tunaingia! ๐Ÿš€

Tunawaletea FUN + CHALLENGES + TEAMWORK + VIBES katika mazingira tulivu yanayosaidia team:
โœจ Ku-build trust & connection
๐Ÿ”ฅ Kuongeza motivation & team spirit
๐Ÿง  Ku-reset kutoka work pressure
๐Ÿ˜‚ Na muhimu zaidi โ€” ku-enjoy pamoja!

Tukiwa tena na CRDB, tume-create experience ya kucheka, kucheza, kushindana na ku-connect. ๐ŸŒฟ๐Ÿ”ฅ

Bring your people, we bring the EXPERIENCE!

๐Ÿ“ž 0749 858 450
๐Ÿ“ฉ Book Now!

๐Ÿ”ฅ TEAM YAKO INA ENERGY GANI?*K**a bado hamjafanya Team Building na Unleashed Academy, unapoteza experience kubwa! ๐Ÿš€Kwa m...
12/08/2026

๐Ÿ”ฅ TEAM YAKO INA ENERGY GANI?*

K**a bado hamjafanya Team Building na Unleashed Academy, unapoteza experience kubwa! ๐Ÿš€

Kwa mara nyingine tena, tuko na CRDB โ€” siku nyingine, experience nyingine, lakini energy ileile ya kipekee! ๐Ÿ”ฅ

Tunachanganya FUN + CHALLENGES + TEAMWORK + VIBES ili kuimarisha connection na spirit ya team.

Tulicheka, tukacheza, tukashindana na zaidi ya yote, tukaconnect! ๐Ÿค

Sasa ni: WHOโ€™S NEXT?๐Ÿ‘€

๐Ÿข Corporate | ๐ŸŽ“ Students | ๐Ÿš€ Youth | ๐Ÿ’ผ Organizations | ๐Ÿค Friends

Usisubiri team ichoke. Bring your people, we bring the EXPERIENCE!

Shukrani sana kwa team nzima ya CRDB kwa kuendelea kutuamini na kutupa nafasi ya ku-create unforgettable experiences pamoja nanyi. Tunathamini sana imani yenu kwetu Unleashed Academy! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“ž 0749 858 450๐Ÿ“ฉ Book now!

10/08/2026

๐Ÿค Team yako iko ready kuwa STRONGER, CLOSER & BETTER?๐Ÿ”ฅ

Team Building si kuhusu kutoka ofisini tuโ€”ni kuhusu kujenga trust, kuongeza collaboration, kuimarisha communication na kuleta energy mpya kazini. ๐Ÿš€

Tulikuwa na CRDB, tukifanya kazi, kucheka, ku-connect na kujenga teamwork kupitia experience yenye Luxury, Fun & Purpose. โœจ

Sasa ni zamu ya TEAM YAKO! ๐Ÿ’ชLetโ€™s create an experience ambayo timu yako haitaisahau.

๐Ÿ”ฅ Unleashed Academy โ€” Where Teams Connect, Have Fun & Grow!

๐Ÿ“ž Tupigie: 0749 858 450๐Ÿ“ฉ Wasiliana nasi leo kwa Team Building ya kampuni, taasisi au organization yako.

26/07/2026

๐Ÿ”ฅ Ushuhuda wa mteja ndiyo matangazo yetu makubwa.

Baada ya Team Building yetu, Meneja wa CRDB Ubungo Branch alisema:

โ€œMmefanya kazi ya kiwango cha juu. Mmetutendea haki.โ€ ๐Ÿ’™

Huu ndio ushahidi wa kile tunachokifanya.

Tu-support makampuni kujenga:๐Ÿค
โ€ข Ushirikiano bora๐Ÿ—ฃ๏ธ
โ€ข Mawasiliano yenye ufanisi๐Ÿš€
โ€ข Timu zenye umoja na matokeo makubwa
โ€ข Kutumiza malengo

Je, kampuni yako ipo tayari?
๐Ÿ“ž 0749 858 450 (Simu au WhatsApp)

09/07/2026

TBT YA KIBABE๐Ÿ’ช ๐ŸŽถ
Kuna mstari mmoja wa wimbo ambao wengi hatujawahi kuusahau:

"Tunatoana roho kwa mali alizoacha baba..." ๐Ÿ˜ฎ

Miaka imepita... lakini niulize: Je, kauli hii bado ni kweli hadi leo, au jamii imebadilika?

Bado tunashuhudia migogoro ya urithi ikivunja familia, au tumeshajifunza kwamba mahusiano yana thamani kuliko mali?

๐ŸŽ Challenge ya leo: Mtu wa kwanza atakayepatia jina la wimbo huu kwenye comments atapata zawadi! ๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅ

Twende basi... unaukumbuka unaitwaje? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜„

Address

Lucy Lamec Road, Mikocheni B
Dar Es Salaam
31634

Telephone

0685271391

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Unleashed Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Unleashed Academy:

Shortcuts

Share