Bura Entertaitment

15/09/2022
12/07/2020
Eti ni pango la walanguzi nani kasema?hilo nalo pango kaeni chini myamalize sisi ni wamoja
22/07/2019

Eti ni pango la walanguzi nani kasema?hilo nalo pango kaeni chini myamalize sisi ni wamoja

Eti pango la walanguzi,nani kasema pango hiloooo?? Mtapata za uso
22/07/2019

Eti pango la walanguzi,nani kasema pango hiloooo?? Mtapata za uso

02/05/2019

Nimesikitishwa na kifo cha ndg yetu,baba yetu,kaka yetu,mzee wetu daktari abrahamu reginaldi mengi bosi wa IPP media hakika mchango wako ni mkubwa katika jamii za kitanzania hasa walemavu na wasiojiweza jumuishi na wazee ama kweli ulionyesha moyo wa kipekee uliojaa hekima iliyoambatana na busara taifa la tanzania litakukumbuka kwa mengi kwa ushupavu wako wa kujitolea kwa hali na mali kusaidia hata vijana kwa kuwachukua vijijini na kuwasomesha hatimaye kuwaajiri huko ulipo mungu akupe heri.
wasifu wako na jina lako ABRAHAM naweza kuufananisha na wa IBRAHIM BABA WA IMANI kwenye biblia hasa katika kitabu chako cha I CAN,I MUST hakika wewe ni SHUJAA,

Leo nasikitika sana hasa pale nilipoona bado hujatimiza ndoto yako ya kutaka kuanzisha kiwanda cha kutengeneza simu hakika ya mungu mengi yatupasa kumshukuru na tunakuombea ufike salama kwani mungu hakosei

pumzika kwa amani ndgu yetu dr.Reginald Abraham Mengi tulikupenda ila mwenyezi mungu kakupenda zaidi jina la bwana lihimidiwe AMINA.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bura posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category