Jpshua mbwilo

Jpshua mbwilo Tangaza Biashara Nasi Tanzania

Ajali mbaya imetokea Jana  tarehe 05/11/2019 pale kitonga iringa gari aina ya MAJINJAH lililokuwa likitokea KYELA kuja D...
06/11/2019

Ajali mbaya imetokea Jana tarehe 05/11/2019 pale kitonga iringa gari aina ya MAJINJAH lililokuwa likitokea KYELA kuja DAR ES SALAAM maombi kwaajili ya ndugu zetu waliopata dhoruba hii

Kazi inaendelea kulijenga Taiga  maji ni uhai.
05/11/2019

Kazi inaendelea kulijenga Taiga maji ni uhai.

MUNGU KWANZA
31/10/2019

MUNGU KWANZA

KINA MUNAMA.
14/10/2019

KINA MUNAMA.

MSHAHARA WA DHAMBI NI, MAUTI .NA, MSHAHARA WA MEMA NI, UZIMA WA MILELE.
13/10/2019

MSHAHARA WA DHAMBI NI, MAUTI .
NA, MSHAHARA WA MEMA NI, UZIMA WA MILELE.

NAPITA TU JAMANI
13/10/2019

NAPITA TU JAMANI

22/09/2019

KILA MWENYE UHAI HAIJARISHI ANAPITIA MAZINGIRA GANI UJUE NYUMA YAKE KUNA WATU WANAHITAJI MSAADA KUTOKA KWEKE

Tajiri anapoamka asubuhi hutizama nje kupitia dirisha lake na kuona masikini akiokota chochote kitu kwenye dastibin na tajiri humshukuru Mungu kwa kusema "Asante Mungu kwakua mimi si masikini"
Maskini nae anapomuona mgonjwa hushukuru Mungu nakusema
"Asante Mungu kwakua unanipambania bado mimi ni mzima wa afya"
Mgonjwa nae anapoona toroli likipitisha mwili wa marehem hushukuru Mungu na kusema
"Asante Mungu kwakua bado naishi"
Lakini marehem tu yeye hawezi kumshukuru Mungu kwa jambo lolote kwasababu tayari kinywa chake kimesha funga.
Je! wewe ulie hai leo unamshukuru Mungu kwa lipi?
K**a ujumbe huu umekubariki sema pia usikose kushare!

Huu mradi wa umeme utakapo kamilika utakuwa ndio mradi wa kuzalisha umeme mkubwa kuliko vyanzo vyote vinavyo zalisha ume...
18/09/2019

Huu mradi wa umeme utakapo kamilika utakuwa ndio mradi wa kuzalisha umeme mkubwa kuliko vyanzo vyote vinavyo zalisha umeme barani Africa. Na hii ndiyo jitihada ya serikali ya awamu ya Tano. Kuifikisha Tanzania katika uchumi wa zaidi ya uchumi wa kati
Badala yake utakuwa ni, zaidi ya uchumi wa kati.

Dr JPM atakuwa ndiye Rais mwenye ujasiri mkubwa katika nchi ya Tanzania na kuwa funzo kwa mataifa mengine mengi duniani, wakimuunga mkono Dor Jpm kwa kuonyesha uwezo wake alionao.

Ambapo wa Tanzania wengi tumeanza kunufaika nae kwa utendaji
Wake wa kazi. Si, jambo rahisi kutekelezeka mambo haya kirahisi k**a wengi wanavyo fikiri.inahitaji mtu mwenye uchungu na maendeleo ya nchi anayoiongoza na kwa faida ya wananchi anao, watumikia.

Viongozi mbali mbali,duniani wanamuunga mkono Rais Jpm kwa ushujaa mkwa wa kutanguliza kwanza maendeleo ya uchumi wa nchi,pasipo kuwa na tamaa ya,kujitafutia manufaa yake mwenyewe.

Na,hii ndiyo maana ya kuwa kiongozi wa watu.kasoro hazikosekani kwa mwanadamu,ila maana ya kuwa kiongozi ni, kuitumikia ile nafasi ya uongozi.na, siyo uongozi ukutumikie wewe.

(Na maana ya kiongozi ni kwamba awatumikie wananchi wake walio muweka madarakani, na, kiongozi ye yote asiye watumikia wananchi maana yake anataka wananchi wamtumikie. na kiongozi k**a huyo
Hatufai hata kidogo

Hongera JPM kwa kutekeleza ahadi yako kwa watanzania  tunaona matokeo ya kimaendeleo katika nchi yetu.na hii inasababish...
18/09/2019

Hongera JPM kwa kutekeleza ahadi yako kwa watanzania tunaona matokeo ya kimaendeleo katika nchi yetu.na hii inasababishwa na ujasiri ambao Mungu amekupa ili umtumikie kwa kuiimarisha maendeleo ya nchi na kwaajili ya watanzania wote.ujasiri ulionao katika uongozi wako ndio mafanikio ya watanzania wote nasisi tukiendelea kukuweka mikononi mwa Mungu akupe afya njema na heri ya siku nyingi zaidi ili ukaivushe Tanzania katika dimbwi la uchumi wa chini ,na kufikia uchumi wa juu k**a ulivyo ahidi. Kwa wananchi wako.watanzania wananchi tuko pamoja nawewe kukupa support katika vita ya kuivusha Tz ya umasikini nakuwa Tz yenye ushindani was kiuchumi na mataifa tajiri duniani MUNGU akubariki JPM
kwa utumishi wako mzuri Amina.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255710007488

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jpshua mbwilo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share