02/05/2026
JUNG KOK nae kaanza kujitoboa mwili wake baada ya kutoka jeshini na kuanza tena mziki wao kpop Baada ya BTS wote kutoka jeshini basi kila mmoja alikuja na swaga zake lkn Swaga ya Jung kok imekua ya tofauti zaidi kutokea kwa star yeyote kutokea SOUTH KOREAN watu walipata mshangao baada ya kumuona na matobo mengi sehemu za mwili wake ambapo alipachika urembo kwa juu yake 👇👇👇👇👇👇👇
Kwa utamaduni wa K-pop na mashabiki wengi wa kimataifa, piercings ni mtindo tu k**a kuchora tattoo au kupaka rangi nywele.
laakini pia kuna watu wengine kwenye tamaduni za kiafrika na za kikorea za zamani, wanaona kutoboa sehemu za uso si kawaida au si heshima
ila yeye ameanza kuzipenda tangu 2019 na zimekuwa sehemu ya style yake.Yeye mwenyewe kasema anafanya anachopenda na kinachompa confidence
BTS wameshasema wanataka uhuru wa kujieleza k**a watu wazima sasa. japo mashabiki wengine wanaona ni "nzuri", wengine wanaona "si nzuri".
kumbuka BTS ni kundi lenye wavulana 7 ambao wanafanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Kpop dunia inawatambua.
ila Jungkok angekua bongo sisemi kitu mie maana angedhaniwa ovyo japo wenyewe wanasema muonekano wake huo umempa sura ya Gang monster 🤣🤣🤣🤣🤣🚶♂️
kwa unavyoona hapo kwa picha yupo Gang kweli ?🤣🤣🤣🤣