Tujuze

Tujuze journalist
(5)

Tujuze ni sehemu peke utapata story zinazo tuzunguka za kila sehemu na pia utapata ushauri wa maisha ya kawaida , mapenzi, ndoa ,biashara ,sport za kila aina duniani, music, trending story,... na pia ni sehemu ya matangazo ya kila bidha yako k**a uko mfanya biashara wa kila sehemu

😭😭💔 mcheza muziki maarufu/dancer Derrick Mombeki maarufu k**a DELUXE amefariki dunia, marafiki zake wa karibu akiwemo mc...
10/08/2026

😭😭💔 mcheza muziki maarufu/dancer Derrick Mombeki maarufu k**a DELUXE amefariki dunia, marafiki zake wa karibu akiwemo mcheza muziki maarufu Squidboy Cally wamethibitisha kifo cha mwenzao

Wana Simba sio nyie pekee yenu Kuna mwenzenu huku😂😂😂😂😂
08/08/2026

Wana Simba sio nyie pekee yenu Kuna mwenzenu huku😂😂😂😂😂

SIMBA DAY | Imekwisha…! Dakika za jioooooooooniiiiiii Wenyeji wanapoteza.FT: Simba SC 0-1 Kenya Police Tuko LIVE  kupiti...
08/08/2026

SIMBA DAY | Imekwisha…! Dakika za jioooooooooniiiiiii Wenyeji wanapoteza.

FT: Simba SC 0-1 Kenya Police

Tuko LIVE kupitia

🥶🥶🥶

…Jorge Messi, baba mzazi wa Lionel Messi amefariki Dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 68…
08/08/2026

…Jorge Messi, baba mzazi wa Lionel Messi amefariki Dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 68…

Wanaowania nafasi ya kua   huko nchini Uganda wajulikana vp mdau unadhani nani ataibuka kushinda taji Hilo 😁😁😁😁
06/08/2026

Wanaowania nafasi ya kua huko nchini Uganda wajulikana vp mdau unadhani nani ataibuka kushinda taji Hilo 😁😁😁😁

…baada ya kushiriki nao jukwaani wakati wa fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa kuimba wimbo wake “Dai Dai”, Shakira amewa...
05/08/2026

…baada ya kushiriki nao jukwaani wakati wa fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa kuimba wimbo wake “Dai Dai”, Shakira amewaalika nyumbani kwake wale watoto kutoka Uganda 🇺🇬 (ghetto kids)…

Mwimbaji huyo alishea picha kadhaa akiwa pamoja nao…

Wanaonekana wakicheza pamoja, wakifurahia ufukwe wa bahari, wakitembea na kutumia muda mwingi wa furaha pamoja na watoto wake…

Katika ujumbe aliouchapisha kwenye Instagram, Shakira alisema kuwa kukutana na watoto hao kumemkumbusha jambo muhimu sana: “Kila mtoto Duniani anapaswa kupendwa k**a tunavyowapenda watoto wetu.”

Pia aliongeza kuwa “watoto ni wetu sote,” ujumbe wenye nguvu unaohamasisha mshik**ano na ulinzi wa watoto wote…

Waliporejea nchini kwao Uganda 🇺🇬, watoto hao wamepokelewa kwa shangwe kubwa…

Walichokifanya this summer ni story nzuri inayodhihirisha kwamba wakati mwingine, show moja tu inaweza kuzaa kumbukumbu na urafiki wa kudumu usiosahaulika… ❤️ 🇺🇬

🇳🇱🇧🇷 MEMPHIS DEPAY AWEKA MASHARTI MAKUBWA KATIKA MKATABA MPYA WA CORINTHIANS! 😳Kwa mujibu wa Gazeta Esportiva, Memphis D...
04/08/2026

🇳🇱🇧🇷 MEMPHIS DEPAY AWEKA MASHARTI MAKUBWA KATIKA MKATABA MPYA WA CORINTHIANS! 😳

Kwa mujibu wa Gazeta Esportiva, Memphis Depay ameweka madai kadhaa wakati wa mazungumzo ya kuongeza mkataba wake na Corinthians, yakiwemo:

🏟️ Kupatiwa VIP Box binafsi ndani ya Neo Química Arena.
🎤 Kuruhusiwa kutumia uwanja kwa siku mbili kuandaa matukio yake binafsi.
💸 Timu yake ya usimamizi ipate 50% ya mapato yatakayopatikana kutokana na matukio hayo.
🏆 Kupata asilimia ya zawadi ya Kombe la Dunia la Klabu 2029 iwapo Corinthians watatwaa ubingwa, hata k**a hatakuwa tena mchezaji wa klabu hiyo.

🤝 Inaelezwa kuwa Depay anaamini atakuwa na mchango mkubwa katika kuijenga upya Corinthians, hivyo anastahili kunufaika endapo mafanikio hayo yatapatikana.

💰 Chini ya mkataba mpya, anatarajiwa kulipwa €15 milioni kwa misimu miwili na kubaki Corinthians hadi mwisho wa mwaka 2028.

🏠 Pia atapokea €43,000 kwa mwezi kwa ajili ya gharama za makazi.

⚠️ Ripoti hiyo pia inadai kuwa Corinthians bado wanamdaiwa na Depay karibu €8 milioni, ambazo zitalipwa kwa awamu nne ndani ya miaka miwili ijayo.

📰 Chanzo: Gazeta Esportiva

03/08/2026
Tutafute Pesa Aisee kumbe Nesi Anakusaidia Hadi kubeba mtoto 💵 💲 🤑
03/08/2026

Tutafute Pesa Aisee kumbe Nesi Anakusaidia Hadi kubeba mtoto 💵 💲 🤑

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255628849189

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tujuze posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Tujuze:

Shortcuts

Share