KWETU TZ

KWETU TZ HABARI MBALIMBALI NA HADITHI ZA KWETU

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 23Imetungwa na kuandikwa na KintuILIPOISHIA SEHEU YA 22aliangalia huku na huku bila kuona mtu ml...
29/01/2020

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 23
Imetungwa na kuandikwa na Kintu

ILIPOISHIA SEHEU YA 22
aliangalia huku na huku bila kuona mtu mle ndani, akageuka na kuuangalia mlango wa kuingilia chumbani kwa Hasina, akatabasamu kisha akaanza kutembea kuuelekea mlango huo, taratibu akakishika kitasa na kukinyonga mlango ukafunguka, huku akiwa kajenga tabasamu usoni kwake akaingiza kichwa kwa mtindo wa kuchungulia huku akiita.
"... mremboooo..."
lakini baada ya kicha chake kuzama ndani na kuangalia huku na huku aligundua kuwa chumba kilikuwa kitupu, Hasina hakuwemo...

SASA ENDELEA SEHEMU 23
..Akaufungua mlango kabisa kisha akapiga hatua moja ndani ili kujihakikisha zaidi, lakini chumba kilikuwa kitupu akabaki kuduawa na akijiuliza ni wapi atakuwa amekwenda Hasina.
Akiwa bado kaduwaa hapo mlangoni mara akashikwa kiuno, alikurupuka kwa msh*tuko na kutaka kukimbia lakini alipogeuka alikutana na tabasamu tamu lililoupamba uso wa msichana huyo wa kitanga aliyekuwa kavalia kanga moja bila nguo nyingene yoyote ndani kwani alikuwa katoka kuoga.
Huku akitweta kwa msh*tuko alioupata baada ya kushikwa kiuno na mtu ambaye hakujua alitokea wapi, alijikuta naye akitabasamu na kumshika mkono Hasina akimvutia ndani na huku akiupitisha mkono kuuzungusha katika kiuno cha Hasina wakati mkono mwingine ukiurudisha mlango na kuufunga kabisa kwa ufunguo.
"... umenish*tua sana mtoto wewe, ulikuwa wapi?.." aliongea Mzee Bisu huku akikaa kitandani na kumvutia Hasina pale ili waweze kukaa sambamba kitendo ambacho Hasina alikikaidi badala yake akapiga magoti mbele ya mzee huyo na huku akimfungua mkanda wa suruali.
"... nilikuwa bafuni..." alijibu kwa ufupi na huku akiendelea na sughuli yake iliyofanikiwa kisha akamfungua zipu na kuanza kuilazimisha suruali ya mzee huyo kushuka chini, Mzee Bisu aliruhusu zoezi hilo kwa kusimama na kufanya suruali hiyo kudondoka miguuni kwake.
Bila kujali kuwa suruali hiyo haijavuka kabisa toka miguuni kwa mzee huyo ambaye alikuwa hajavua hata viatu Hasina alimvua na bukta kwa kuishusha chini pia kisha akaudaka mchapio wa mzee huyo na kuanza kuzunguushia ncha ya ulimi wake kwenye kichwa cha mchapio huo uliokuwa tayari umekubali sheria. mzee wa watu alianza kugumia kwa raha, zoezi hilo la kuzunguusha ulimi kwenye kichwa cha ya mchapio huo ilichukua k**a dakika tano hivi ndipo Hasina akakizamisha kicha hicho mdomoni kwake na kuanza kukinyonya kwa ustadi mkubwa uliofanya mzee wa watu kuanza kulalamika kwa sauti na huku akilitaja jina la Hasina kwa kulirudiarudia, zoezi hilo nalo lilichukua takriban dakika tano tena, na ndipo Hasina aliinuka na kuanza kumvua mzee huyo nguo zilizosalia katika mwili wake ikiwemo na viatu ambavyo vilikuwa bado miguuni vikiizuia suruali kuvuka kabisa.
Baada ya kuhakikisha mzee huyo amebaki k**a alivyozaliwa, hasina naye aliidondosha kanga iliyokuwa inaning'inia mwilini mwake kisha akapanda kitandani.
alimuomba mzee huyo alale chali, bila swali Mzee Bisu alilala chali huku akijua kuwa shughuli sasa inaanza, lakini ilikawa tofauti kwani Hasina alikuwa bado na mengi ya kumfanyia mzee huyo ili kumuweka sawa na kumuhamishia katika ulimwengu ambao aliukusudia kwenda kwa muda mrefu, ulimwengu wa raha na mautamu, ulimwengu uliosababisha arudi mapema kutoka kazini wakati muda wakazi bado kabisa.
Baada ya kulala chali Hasina alipiga magoti katikati ya miguu yake na kisha akaushika tena mchapio na kuanza kuufanyia vurugu kwa kuunyonya kwa fujo huku wakati mwingine akishuka na kuyanyonya magoroli yaliokuwa yakining'inia. Mzee Bisu alitamani kuzimia kwa raha alizozipata, muda wote alikuwa akilitaja jina la Hasina na wakati mwingine akijikuta akimuita mke wangu.
"... Mke wangu,.. Hasina mke wangu..."
alikuwa akihema kwa nguvu na mapigo ya moyo wake yalikuwa yakienda kwa kasi kwani shughuli ile ilikuwa pevu. Mtoto wa k**e alikuwa akionesha kile alichofundwa, aliuachia mchapio kwa muda kisha akaanza kuutembeza ulimi wake wa moto mwilini kwa mzee huyo na huku wakati mwingine akivinyonya vijichuchu vya mzee huyo na kisha kurudia tena chini na kuuzamisha mchakabwengo mdomoni mwake na kuanza kuumungunya. sio siri, kwa utamu na raha ambazo alikuwa akizipata mzee huyo, alitamani kutangaza ndoa kwa kibinti hicho ambacho kwa kukiangalia kinaweza kuwa hata kijukuu chake, akilini mwake alianza kupanga mikakati ya kuwa na mke wa pili katika umri wake huo, na mke mwenyewe si mwingine ila Hasina aliyekuwa anampa raha kwa wakati huo, japo wazo hilo lilikuwa likipata pingamizi baada ya kumfikiria mama watoto wake, lakini alikuwa akijipa moyo kwa kile alichoamini kuwa yeye ndio kila kitu katika nyumba ile na hakuna wakuweza kumzuia anapoamua kufanya jambo.
Dakika kadha baadae, Hasina alijiinua na kisha akachuchumaa juu ya mzee Bisu na kuanza kuulazimisha mchapio wa mzee huyo kuzama ndani ya mlango wake wa chini ambao nao ulikuwa umelowa kwa mautamuutamu.
Hakuuzamisha kabisa k**a mzee huyo alivyotarajia, bali kilichozama ni kichwa tu, na ndipo Hasina akaanza kukikatikia kichwa kicho cha mchakabwengo wa mzee Bisu. Alikuwa akikiingiza na kukitoa na huku akizunguusha kiuno, hali hiyo ilimfanya mzee huyo kupata raha za ajabu na huku akijitahidi kulazimisha mchapio uingie wote kwa kumshika Hasina kiuno na kumvutia kwake lakini Hasina akawa anajizuia ukizingatia kuwa yeye ndio aliyekuwa juu, kwa hiyo alikuwa akijipimia. Mzee Bisu alikuwa hoi kwa utamu, alikuwa akihema kwa nguvu mpaka Hasina akaanza kuogopa, lakini hakumuachia nafasi aliendelea kumpa vitu.
haikuchukuwa dakika mbili ukasikika muungurumo toka kinywani kwa mzee Bisu.
"... aghrrrrrrrrrrrr...."
NINI KIMETOKEA?..
USIKOSE KUFUATILIA SEHEMU YA 24

USIKOSE KU LIKE PAGE ILI KILA TOLEO LIKUFIKIE KWA WAKATI... PIA USISAHAU KUACHA COMMENT YAKO ILI KUMTIA MOYO MTUNZI...

ILIPOISHIA SEHEMU YA 21Imetungwa na Kuandikwa na Kintu..aliliendesha gari mpaka akatokea mtaani kwake. akiwa ndio anakat...
10/01/2020

ILIPOISHIA SEHEMU YA 21
Imetungwa na Kuandikwa na Kintu
..aliliendesha gari mpaka akatokea mtaani kwake. akiwa ndio anakata kona ya kuingia katika mtaa huo akamuona Mke wake Bi. Pauline na yeye ndio anatoka getini kwake, akafunga breki za ghafla na kulipaki gari pembeni kwa haraka...

SASA SHUKA NA SEHEMU YA 22
.. Lakini alikuwa kachelewa kwani Bi. pauline alishaliona gari na kutambua kuwa ni gari la mumewe,. akaanza kuelekea kule lilikopaki gari lile alilolitambua kabisa kuwa ni la mumewe, akiwa ndani ya gari Mzee Bisu alianza kutafakari ni nini amdangaye mkewe, kwani haijawahi kutokea hata siku moja akarudi nyumbani mapema kiasi kile hasa mwanzoni mwa wiki k**a hivyo, kichwa chake kikawa kinafanya kazi ya haraka ili kupata jawabu la kumdanganya mkewe ambaye hakutarajia k**a atamkuta mida hiyo na ambaye ndio alikuwa analikaribia gari tena akimkodolea macho. ghafla wazo moja likampita kichwani mwake, hakupenda kufikiria mara mbili, akanyanyua simu yake na kuiweka sikioni akaanza kuongea kwa sauti tena kwa kufoka.
"... na sipendi tena ujinga huu ujitokeze siku nyingine, unanisikia... mara kwa mara nakuambieni kuwa makini katika kazi lakini hampendi kunielewa... hatimaye mnaanza kupoteza mafaili ofisini huu si uzembe..."
wakati akiendelea kuongea kwa jazba hivyo mkewe Bi. Pauline alikuwa keshafika pale alikopaki gari, akasimama dirishani bila kumuongelesha akimuacha amalize maongezi yake, Mzee Bisu naye hakutaka kuipoteza nafasi hiyo ya mchezo huo aliomchezea mkewe bila kujijua, akaendelea kuongea kwa hasira.
"... nawambia tena kwa mara nyingine,.. uzembe k**a huu ukijitokeza tena, wote vibaruwa vitaota nyasi... sipendi kuendelea kufanya kazi na watu wasionielewa na wasiokuwa makini katika kazi zao..." akakata simu na kumuangalia mkewe huku bado sura yake ikiwa imejenga makunyanzi ya hasira, Bi Pauline naye akawa anamtazama kwa macho ya kuuliza kulikoni, na kweli hakuchelewa akampachika swali hilo.
"... vipi tena baba Dennis?.."
".. aghh... si hawa wajinga wanafanya kazi bila kuwa makini hatimaye wanapoteza mafaili ofisini..." aliongea Mzee Bisu huku akiwa bado amejenga makunyanzi ya hasira usoni kwake. lakini mkewe alikuwa bado na maswali ya kumuuliza, hata yeye alilijua hilo hivyo akajiweka tayari kukabiliana nayo, lakini akiwa na uhakika kuwa kwa uongo ule alioutengeneza tayari atakuwa alishamlainisha mkewe.
"... una maanisha wafanyakazi wako?.."
"... ndiyo... unafikiri nani mwengine?.." alijibu na kisha kumalizia na swali ambalo halikupata jibu badala yake akapachikwa swali jingine.
"... sasa wafanyakazi wamepoteza mafaili ofisini alafu wewe uko huku nyumbani saa hizi kulikoni?.." lilikuwa ni swali ambalo alikuwa akilitarajia kwa muda mrefu na ndio maana ya kutengeneza uongo wote ule wa simu hivyo akalijibu swali hilo k**a ifuatavyo.
"... hilo lililopotea ni faili la mteja ambaye mpaka saa hizi tunavyozungumza hapa yuko pale ofisini kwa ajili ya kazi yake, bahati nzuri ni kwamba faili hilo nilikuwa na nakala yake hapa nyumbani ndio maana nimerudi haraka, sasa nakata tu kona hii eti wananipigia simu kuniomba msamaha kwa uzembe wao na kuniambia kuwa wameliona... ndio nikapaki niongee nao... na ... wewe unakwenda wapi?.." aliongea kwa kirefu kisha ak**alizia kwa swali ili kukazia uongo wake asionekane kuwa alikuwa na wasiwasi. lakini uongo wake ulizama vizuri sana kichwani kwa mkewe na ambaye alikosa cha kuongeza badala yake akaanza kutoa maoni. "... dah ila hapo baba Dennis ulicheza,.. sasa k**a usingekuwa na nakala na fail indo likapotea kabisa si biashara ilikuwa imeharibika?.." moyoni Mzee Bisu alishangilia kuona uongo wake kukubalika bila kikwazo. akamuangalia tena mkwe na kurudia swali lake.
"... unakwenda wapi?.." lilikuwa ni swali lenye maana kubwa sana kwake baada ya uongo wake kukubalika, ni swali ambalo lingemuhakikishia usalama wake kwa kile alichokuwa anakwenda kukifanya.
"... nakwenda mnazi mmoja kwa mama Siwa kuhusiana na yale mambo yangu niliyokuambia..."
"... ah yale mambo yenu ya vitenge?.."
"... ndiyo..."
"... sawa ngoja mimi niwahi nyumbani nichukue hilo faili nimuwahi mteja ofisini..." aliongea Mzee Bisu akilitia gari moto, lakini mkewe hakuonesha kuondoka na alionekana bado kuna kitu alitaka kuongea, hilo Mzee Bisu aliliona na akabaki kumkodolea macho.
"... nini?.." aliuliza huku akiwa kamkodolea macho mkewe
"... sasa k**a ni kuchukua faili tu sinikusubiri tu ili unipitishe pale mnazi mmoja alafu ndo uunganishe ofisini?.." ni swali ambalo Mzee Bisu hakulitarajia kabisa hivyo likamtia kigugumizi kulijibu. lakini kabla hajajua ajibu nini, mkewe akaendelea kumuweka katika wakati mgumu zaidi.
"... hata usiponipeleka mnazi mmoja kabisa, ukiniacha pale Hakiba itakuwa vizuri..." Mzee Bisu alijikuta akinyong'onyea ghafla, kwani alikuwa ameplani amdanganye kuwa yeye hataki kupita kokote kwani anaharaka sana kitu ambacho mkewe alikuwa naye kakigundua akaamua kumwambia hivyo, kwani ofisi ya mzee Bisu iko posta mpya hivyo asingeweza kupita mnazi mmoja. Mzee Bisu akajikuta katika wakati mgumu sana na kichwa chake kikaanza kufikiria kwa haraka amjibu nini mkewe huyo aliyeonekana kutaka kumuharibia mpango wake wa siku hiyo na ambao hakutaka kabisa kupoteza nafasi hiyo. kila alipokuwa akifikiria anachokwenda kukifanya mwili ulimsisimka na kujikuta akichukia kukutana na mkewe pale, akatamani amjibu hovyo lakini akagundua kuwa akifanya hivyo mkewe atamtilia wasiwasi, akaamua kutengeneza uongo mwingine unaofanana na ukweli, kwa sauti iliyotulia na isio na wasiwasi akamjibu mkewe.
"... year, lilikuwa ni wazo zuri lakini, hili faili limeambana na taarifa fulani hivi ya kipolisi kwa sababu hii ni biashara ya pesa nyingi, hivyo inanibidi nipite Ostarbay Polisi kwa ajili ya kuchukua nakala nyingine ya taarifa hiyo ya kipolisi kwa ajili ya kuambatanisha tena na faili hilo…” aliongea Mzee huyo aliyekusudia siku hiyo lazima afanye kile alichokikusudia kwa kutengeneza uongo, aliingiza mkono kwenye mfuko wake wa shati na kutoa noti kadhaa za elfu kumi kumi na kumpa mkewe.
"... labda tufanye hivi, wewe kachukuwe taxi hiyohapo ikupeleke, hii iwe k**a adhabu yangu ya kushindwa kukupeleka mke wangu..”. Aliogea Mzee Bisu baada ya kuona texi moja iliokuwa inatokea mbele yake, bila kuongea neno Bi. Pauline alizipokea na kisha akaioneshea ile taxi ishara kwamba isimame naye akaanza kuifuata, lakini Mzee Bisu akamuita tena.
"... Mama Dennis,.." Bi. Pauline akamuangalia
"... umechukia?.."
"... hapana, nichukie kwa nini wakati najua kabisa unahangaikia kazi ambayo ndio inatuweka mjini hapa!?." alijibu Bi. Pauline bila kuonesha kinyongo.
"... basi sawa..." waliaga na mkewe kisha Bi. Pauline akajipakia ndani ya taxi na kuondoka. Mzee Bisu alihakikisha taxi aliyopanda mkewe imepotea ndio naye akaliondoa gari na kuingia nyumbani kwake, alilipaki gari kisha akatoka tena getini kuchungulia na kuhakikisha k**a kweli mke wake ameondoka, alipojihakikishia usalama wake alirudi kwa mwendo wa haraka huku akiwa katengeneza bonge la tabasamu usoni kwake, alikuwa na furaha kubwa kwani alikuwa na uhakika kuwa mpango wake umekaa vizuri,. mwili ulikuwa ukimsisimka kila amfikiriapo Hasina. aliingia ndani kwake na kwenda kusimama katikati ya sebule iliyokuwa tupu. aliangalia huku na huku bila kuona mtu mle ndani, akageuka na kuuangalia mlango wa kuingilia chumbani kwa Hasina, akatabasamu kisha akaanza kutembea kuuelekea mlango huo, taratibu akakishika kitasa na kukinyonga mlango ukafunguka, huku akiwa kajenga tabasamu usoni kwake akaingiza kichwa kwa mtindo wa kuchungulia huku akiita.
"... mremboooo..."
lakini baada ya kichwa chake kuzama ndani na kuangalia huku na huku aligundua kuwa chumba kilikuwa kitupu, Hasina hakuwemo...

NINI KITAENDELEA? USIKOSE SEHEMU YA 23

USIKOSE KU LIKE PAGE ILI KILA TOLEO LIKUFIKIE KWA WAKATI... LAKINI PIA USIKOSE KUSEMA CHOCHOTE ILI KUMU ENCOURAGE MTUNZI...

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 21Imetungwa na Kuandikwa na KintuILIPOISHIA SWHWMU YA 20… Alikuwa amekoseshwa utamu wa siku hiyo...
08/01/2020

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 21
Imetungwa na Kuandikwa na Kintu

ILIPOISHIA SWHWMU YA 20
… Alikuwa amekoseshwa utamu wa siku hiyo na aliokuwa ameukusudia na kuufikiria kila wakati, akaamua kubadilisha ratiba na kwenda mazoezini lakini kichwani kwake akiwa tayari alishajiwekea mkakati atakaoufanya siku hiyo...

SASA ENDELEA SEHEMU YA 21
.. Alifanya mazoezi lakini mazoezi yake ya siku hiyo hayakunoga kwani alikuwa na mawazo mengi kichwani, muda wote wa mazoezi yake alikuwa akipanga ni jinsi gani atapata raha siku hiyo kwa mtoto Hasina, siku hiyo hakufanya mazoezi k**a kawaida ya siku zote, alifanya kidogo tu kisha akarudi nyumbani, hata Dennis alishangaa kuona Siku hiyo baba'ke anamaliza mazoezi mapema kwani sio kawaida yake, siku zote akienda mazoezini hutumia masaa mawili lakini siku hiyo alitumia nusu saa tu akarudi nyumbani.
Alipoingia ndani alimkuta Dennis akiendelea kufuatilia taarifa ya habari, akampita bila kuongea neno lakini Dennis alipogeuka na kumuona akamuuliza.. baba, mbona leo mazoezi umemaliza mapema?.... ndio... nataka niwahi ofisini kuna kazi nyingi za kufanya..." aliongea huku akielekea chumbani kwake, lakini kabla hajaingia akageuka na kumuuliza Dennis.
"... kwa leo unaratiba gani Dennis?.."
"... leo mimi sina ratiba yoyote, nitashinda hapa..." alijibu Dennis bila ya kumuangalia baba yake, jibu hilo lilimkera sana mzee huyo kwani alitaka kujua ni muda gani pale patakuwa free ili aweze kurudi na kufanya mambo yake na Hasina, akiwa bado amesimama hapo mlangoni akampachika swali jingine la kizushi.
"... kwa hiyo siku nzima utashinda unaangalia taarifa ya habari..." alihoji mzee Bisu huku akijaribu kuficha Hasira zilizokuwa zinamfukuta moyoni kuhusu mwanaye huyo kutaka kumkosesha alichokikusudia siku hiyo.
Dennis aligeuka na kumuangalia baba yake ambaye naye alikuwa akimuangalia na huku akisubiria jibu.
"... kwani baba kuna sehemu ulitaka twende wote?.." swali hilo lilikuwa gumu kidogo kwa mzee huyo kwani hakutegemea k**a ataulizwa swali hilo, akili yake ikafanya kazi haraka na akapata jawabu.
"... hapana,... naona kuwa hii likizo itakubwetesha sana, kushinda unaangalia tv bila kufanya kitu cha msingi naona kuwa itakupotezea vitu vingi sana..." aliongea kwa kirefu ili kumuweka sawa mwanaye huyo asimuhisie kitu, Dennis alijikuta akiwa mpole kwa jibu la mzee huyo, akagundua kuwa kweli hawezi kukaa siku nzima nyumbani akiangalia tu tv, akaamua kuweka wazi ratiba yake ya siku hiyo.
"... ni kweli baba, ukweli ni kwamba sio kuwa siku nzima ntakaa tu hapa naangalia tv, baada ya chakula cha mchana ntakwenda matembezini kidogo, vile vile kuna kitu ntakifuatilia huko kigamboni..."
jibu hilo lilimfurahisha sana mzee Bisu lakini hakupenda kuionesha furaha yake kwani mwanaye angehisi kuna kitu amepanga kukifanya, kabla ya kuingia chumbani akaamua kuuonesha ubaba wake ili kupoteza malengo ya kile ambacho mwanaye huyo angeweza kukihisia.
"... nafikiria nikutafutie college ili uwe unakwenda kuongeza elimu na sio kukaa tu hapo unaangalia tv..." wala hakuwa na mpango huo ila aliamua kusema hivyo tu ili kupoteza maboya ya kutokuonesha furaha yake, akazama chumbani kwake ambako alimkuta mke wake ndo kwanza anaamka, akamsalimia na huku akivua nguo zake za michezo kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.
"... habari za asubuhi..."
"... nzuri... heh,... ina maana umeshamaliza mazoezi?.. kwani saa ngapi saa hizi?.."
"... bado mapema sana ila mimi tu ndo nataka niwahi kuondoka..." aliongea huku akianza kuingia bafuni.
"... basi ngoja nikamuamshe dada aandae chai mapema..." aliongea Bi. Pauline huku akijivutavuta kutoka pale kitandani.
"... hapana, muache apumzike mimi ntakunywa chai cantine..." aliongea na kuzama bafuni ambako haikumchukua mda mrefu sana tofauti na siku zote ambapo akiingia bafuni lazima atumie nusu saa ndio atoke, siku hiyo kila kitu kilikwenda kwa haraka kwani alitaka muda ukimbie ili muda ule alioutaka yeye utimie na afanye kile alichokikusudia, siku hiyo ni dhahiri kuwa alikusudia sana kufanya kitu hicho. haikumchukua muda mrefu kujiandaa, akaaga na kutoka kuelekea ofisini kwake ambako nako kazi zilipigwa fastafasta, lakini pamoja na fastafasta aliyokuwa nayo muda ulikuwa ukitembea kwa mwendo wake wa kawaida kitu ambacho kilionesha kumkera, kwani kila alipokuwa akiitazama saa yake aligundua tu ni dakika tano zimepita toka alipoiangalia tena, akaendelea kuwa mvumilivu hivyohivyo mpaka ikatimia saa saba kamili, akaviweka vitu vyake sawa pale mezani kwake akijiandaa kutoka, lakini baadae akakumbuka kuwa Dennis alimuambia kuwa baada ya chakula cha mchana ndio atatokana kwenda kwenye mizunguuko yake na muda huo wa saa saba ndio muda wa chakula nyumbani kwake, akaamua kuvuta muda tena mpaka ikatimia saa nane kamili. akafunga ofisi yake akatoka na kumuaga secretari wake ambaye naye alishangaa kumuona bosi wake siku hiyo akitoka mapema, kwani huwa hana kawaida ya kutoka hata muda wa lanchi yeye huwa anabaki ofisini.

***************

baada ya kupata chakula cha mchana Dennis hakupenda kupoteza muda, alimuaga mama yake kuwa anatoka na atarudi jioni.
"... hata mimi natoka, nataka niende kwenye mambo yangu..." aliongea Bi. Pauline akiwa anamalizia chakula chake.
"... basi tutakutana jioni..." alijibu Dennis huku akitoka, alipotoka haikuchukuwa muda murefu Bi. Pauline naye akajiandaa, alipokuwa tayari akamuaga Hasina kuwa aangalie nyumba vizuri kisha naye akatoka.

***************

Mzee Bisu aliliwasha gari lake na kuanza safari ya kurudi nyumbani kwake, akili yake yote ilikuwa inawaza kile alichokuwa anakwenda kukifanya nyumbani, akipiga picha mambo ambayo Hasina alimfanyia, alijikuta mwili ukimsisimka na kutamani gari lipae ili awahi kufika, ni kweli gari lilikuwa linapaa kwani alikuwa akiliendesha kwa mwendo wa kasi ukizingatia kuwa mida hiyo foleni za barabarani zinakuwa chache, aliliendesha gari mpaka akatokea mtaani kwake, akiwa ndio anakata kona ya kuingia katika mtaa huo akamuona Mke wake Bi. Pauline na yeye ndio anatoka getini kwake, akafunga breki za ghafla na kulipaki gari pembeni kwa haraka.

NINI KITAENDELEA? USIKOSE SEHEMU YA 22

USIKOSE KU LIKE PAGE ILI KILA TOLEO LIKUFIKIE KWA WAKATI, LAKINI PIA USISAHAU KU COMMENT CHOCHOTE ILI KUMTIA MOYO MTUNZI...
PIA TUNAOMBA RADHI KWA KUSTOPISHA HADITHI HII KWA MUDA BUT SASA ITAENDELEEA K**A KAWAIDA

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 20Imetungwa na Kuandikwa na (Kintu)ILIPOISHIASEHEMU YA 19… Dennis akapatwa na mashaka, kidogo na...
09/10/2019

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 20
Imetungwa na Kuandikwa na (Kintu)

ILIPOISHIASEHEMU YA 19

… Dennis akapatwa na mashaka, kidogo na akawa k**a anajiuliza maswali mwenyewe..." huyu mbona nimezungumzia Habari za kuingia chumbani kwake tu amekurupuka wakati alikuwa hataki kunisogelea eti kwa vile kavaa kanga moja... au kuna kitu anaficha huko chumbani nini?.."

SASA ENDELEA NA SEHEMU YA 20
.. Mawazo hayo yalipelekea Dennis kutamani kuingia chumbani kwa Hasina kuhakikisha ni kitu gani ambacho hakutaka kionekane huko chumbani kwake, lakini hakufanikiwa kuingia kwani Hasina alikuwa tayari kasimama mbele yake kwa mtindo wa k**a kumzuia asipite, Hata hivyo Dennis hakutaka tena kuongelea kilicho sababisha amuite Hasina, badala yake alipatwa na shauku ya kutaka kujua ni nini ambacho Hasina alikuwa akikificha chumbani kwake.
"... kwani huko chumbani kuna nini we Hasina..." alihoji Dennis akiwa kasimama sambamba na Hasina.
Hasina alijua amekwisha maana Dennis alionesha kweli kuwa na shauku ya kutaka kujua nini kipo chumbani kwake, na yeye hakutaka Dennis aingie au afahamu ni nini kilikuwa chumbani kwake, akaanza kuumiza kichwa kutafuta jinsi ya kumzuia Dennis asiingie katika chumba hicho.
"... kwani kaka Dennis we si uliniita, na nilitaka nikavae nguo vizuri wewe ukaniambia nije hivyohivyo..." alionge Hasina kwa kujiamini.
"... lakini mbona nimeongelea habari za kuingia chumbani kwako ukakurupuka, kwani umeficha nini?.."
akili ya Hasina ilikuwa inafanya kazi kwa haraka na alikuwa akicheza na akili ya Dennis.
"... kaka Dennis sikiliza... mimi nimekuambia kuwa nilikuwa nimelala na ndio maana nimetoka jasho hivi, na hapa nilikuwa nakwenda kuoga... isitoshe kaka Dennis, mimi ni mtoto wa k**e na chumba cha mtoto wa k**e siku zote yeye ndo anajua ni vipi anaviweka vitu vyake, Kukuzuia kwangu mimi nina maana kuwa kuna vitu vyangu ambavyo nimeviweka vibaya na sio vizuri wewe kuviona ndio maana sipendi uingie chumbani kwangu... kidogo k**a maelezo ya Hasina yalianza kumuingia Dennis maana alianza kulainika na kupunguza ukali wa maswali.
"... kwani ni vitu gani ambavyo sitakiwi kuviona?..
"... kaka Dennis... nafikiri unafahamu kuwa sisi wanawake na nyie wanaume tuko tofauti... na sisi wanawake kila mwezi tuna kuwa na..."
"... ahha basi sitaki kusikia habari hizo..." alimkatisha Dennis baada ya kugundua ni nini alitaka kuongea Hasina, akaamua kubadilisha mada, pia alionekana moja kwa moja kukata hata ile taamaa aliyokuwa nayo na iliyosababisha amuite Hasina pale, aliamini kuwa msichana huyo alikuwa katika siku zake kwani kauli yake ilimaanisha hivyo, hivyo hakutaka hata kugusia habari hiyo tena kwani isingewezekana kutokana na Hasina kuwa katika siku zake.
"... haya basi niambie ulichoniitia..." alijifanya kuhoji Hasina baada ya kugundua kuwa tayari alishamaliza mchezo.
"... ah... basi ntaongea na wewe siku nyingine, we nenda kaoge..." aliongea Dennis huku akinyanyuka na kuelekea chumbani kwake, kitendo hicho kilimfurahisha sana Hasina kwani alijua kuwa tayari ameuvuka mtihani uliokuwa mbele yake. Hakuondoka pale sebuleni mpaka alipohakikisha Dennis amezama chumbani kwake na kufunga mlango na ndipo naye akatoka haraka na kurudi chumbani kwake kulitoa tatizo lililokuwa limemkabili. Ni tatizo gani?..
***************
Hasubuhi ya siku hiyo kabla ya mambo hayo ya Hasina na Dennis kutokea, Mzee Bisu aliamka mapema k**a kawaida yake kwa ajili ya kufanya mazoezi, lakini siku hiyo pia alikuwa hana lengo hasa la kufanya mazoezi, alitamani sana kuingia tena chumbani kwa Hasina kupata ile Raha aliyoipata jana yake, alipotoka tu sebuleni akiwa na lengo la kufanya mchezo ule ule k**a alioufanya jana yake, akakutana na mwanaye Dennis akiwa naye ndo anaingia pale Sebuleni kwa ajili ya kuaanza kufutilia habari mbalimbali katika televisheni, swala hilo lilimchukiza sana kwani alijuwa kuwa itakuwa vigumu kuigia chumbani kwa Hasina wakati Dennis akiwa pale sebuleni, akatamani kumtimua lakini akajiuliza mwenyewe kuwa akimtimuwa mwanaye lazima atamuuliza kwa nini anamtimua, alafu yeye atamjibu nini? akajikuta tu amesimama pale sebuleni akiwa amemkodolea macho mpaka pale alipogutushwa na sauti ya Dennis.
"... Shkamoo Baba..."
"... ah,.. marahaba Dennis... eh.. vipi.. mbona mapema sana..."
alijikuta akimpachika swali bila kutarajia kulingana na msukumo uliokuwa ndani yake wa kutamani kumtimua pale sebuleni.
"... year... nataka tu kufuatilia habari mbalimbali zinazoendelea duniani..." alijibu Dennis huku akiwa tayari anawasha luninga.
"... lakini we huoni k**a utajiletea matatizo,.. kila siku unaamka mapema kiasi hiki alafu bado kulala unachelewa?.."
aliendelea kuongea Mzee Bisu katika hali ya kutafuta jinsi gani amtimue Dennis ili apate upenyo wa kuingia chumbani kwa Hasina.
"... matatizo ya nini sasa baba..."alihoji Dennis akiwa tayari ameshakaa kwenye sofa kwa ajili ya kuanza kufuatilia kile kilichomuamsha mapema, swali hilo k**a lilikuwa gumu kidogo kwani alipojiuliza ni matatizo gani atakayoyapa kwa kuamka mapema akachemka akajikuta tu ametamka.
"... siku utadondoka ghafla, alafu watu watakushangaa... hebu rudi chumbani kalale tena k**a lisaa hivi ndipo uamke..."
Dennis alijikuta akigeuka kumuangalia baba yake k**a alikuwa serious au anaongea tu, kwani kauli hiyo ya kumuambia arudi akalale tena kidogo ilimshangaza maana hiyo ni kawaida yake ya siku zote na Baba yake huyo ndo aliwahi kumshauri awe anaamka mapema, sasa inakuwaje leo anamuambia asiamke mapema?.. akatamani amuulize baba yake k**a alikuwa sawa, lakini alipomuangalia aligundua kuwa baba yake aliongea kabisa kutoka moyoni, ikabidi tu aikaidi kauli hiyo kwani hakuona sababu ya msingi ya kumrudisha kulala.
"... baba nilishakuambia kuna news za muhimu nataka kuzifuatilia... mi siwezi kulala tena saa hizi..."
Mzee Bisu alitamani amrukie kwa vichwa lakini akasita tena na kujiuliza mwenyewe sasa nikimlazamisha si ataanza kunihoji maswali... na mimi ntamjibu nini?..
akajikuta tu amekaa kimya na kumuangalia mwanaye huyo mpenda habari za asubuhi na mapema kwa jicho kali na la chuki, alikuwa amekoseshwa utamu wa siku hiyo na aliokuwa ameukusudia na kuufikiria kila wakati, akaamua kubadilisha ratiba na kwenda mazoezini, lakini kichwani kwake alikuwa tayari na wazo jipya kwa ajili ya kupata raha zake na mtoto Hasina siku hiyo... Ni gani gani?

FUATILIA SEHEMU YA 21

USIKOSE KULIKE NA KUSEMA CHOCHOTE ILI KUMPA NGUVU MTUNZI KWA KUJITOLEA KUTOA BURUDANI HII... PIA LIKE PAGE ILI KILA TOLEO LIKUFIKIE KWA WAKATI..

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 19Imetungwa na kuandikwa na KintuILIPOISHIA SEHEMU YA 18… wakati anafunga breki tu akakutanisha ...
20/06/2019

MAM'DOGO LISA SEHEMU YA 19
Imetungwa na kuandikwa na Kintu

ILIPOISHIA SEHEMU YA 18
… wakati anafunga breki tu akakutanisha macho na mwanaye Dennis ambaye naye alikuwa ndo anaingia kutokea nje, kwanza Dennis alipata msh*tuko na akabaki akimkodolea macho baba yake bila kuongea neno na huku akiwa kasimama palepale mlangoni akiwa k**a kapigwa na soti ya umeme, Mzee Bisu naye alikuwa akimuangalia mwanaye k**a kuna kitu alikuwa anasubiria kusikia kutoka kwake…

SASA ENDELEA NA SEHEMU YA 19
.. Baba wewe si ulikwenda mazoezini?.." lilikuwa ni swali la kwanza la Dennis mara tu baada ya kumsogelea baba yake.
:.. ndio si ndo nimetoka kwenye mazoezi yenyewe..." alijibu Mzee Bisu huku akiendelea kumuangalia mwanae machoni k**a aliyekuwa anasubiria swali lifuatalo, na kweli lilikuwepo.
"... sasa umepita wapi, mbona mimi muda wote nilikuwa hapa sebuleni..." lilikuwa swali la pili la Dennis na alionekana mwenye mashaka sana usoni mwake kwani ni kweli muda wote alikuwepo sebuleni na alipotoka hawenda mbali zaidi ya kusimama nje ya mlango tu.
Mzee Bisu naye alianza kupata wasiwasi akihisi kuwa mwanaye atakuwa kagundua kuwa alitokea chumbani kwa Hasina, lakini akajipa moyo baada ya kujishauri kuwa laiti mwanaye huyo angegundua kuwa alitoka chumbani asingemuuliza maswali yale bali angemuuliza anatoka kufanya nini chumbani kwa Hasina, hivyo akajipa ujasiri na kujibu kwa kujiamini kidogo.
"... sasa wewe ulitaka nipite wapi?.."
"... nauliza hivyo kwa sababu mimi niko hapa muda mrefu..." aliendelea kuongea Dennis,
"... hebu nitolee maswali yako ya kipuuzi,.. mama yako yuko wapi sitaki kuchelewa chelewa tena leo..." aliamua kujifanya mkali ili Dennis asiendelee kumuhoji maswali, maana alishagundua kuwa mwanae huyo aliamua kudadisi ili kujua alikotokea, na kweli, Dennis alikuwa na mashaka lakini hakutambuwa ni wapi alikotokea baba yake, mara mlango wa chumba cha Hasina ukafunguliwa na Hasina akatoka na kuelekea jikoni, Dennis alimuangalia Hasina kisha akamgeukia tena baba yake, akilini mwake alikuwa akijiuliza k**a inawezekana kuwa baba yake alitokea chumbani kwa Hasina kweli au?, lakini wazo hilo akalitupilia mbali.
"... we Dennis, mi si nimekuuliza mama yako yuko wapi?.." alikurupushwa kutoka katika lindi la mawazo kwa swali hilo la mzee Bisu.
"... mama yuko chumbani kwake..." alijibu haraka haraka kisha naye akanyoosha na kuingia chumbani kwake.
Mzee Bisu pia aliongoza moja kwa moja chumbani kwake huku moyoni akijisemea "... nimeponea kwenye tundu la sindano... leo k**a ningegundulika na mke wangu nilikuwa nimekwisha..." kule jikoni pia Hasina alihema kwa nguvu baada ya kuona maswali ya baba na mwana yamekwisha, maana alipokuwa kule chumbani alikuwa akiyasikia maswali waliyokuwa wakiulizana baba na mwana, na alikuwa tayari na wasiwasi akidhani kuwa Dennis atakuwa kagundua kuwa baba yake katokea chumbani kwake.
Mzee Bisu alinogewa kweli na penzi la Hasina mtoto wa kitanga ambaye ni mfanyakazi wake wa ndani, alishaonja asali akaamua kujenga mzinga kabisa.

************************

Hasina alianza kuonekana msicha wa ukweli baada ya kuanza kupendeza kwa nguo alizonunuliwa na Mzee Bisu, alionekana sister duh, ukilinganisha na umbo lake zuri basi alipendeza kwelikweli, jambo ambalo lilizidisha tamaa kwa mzee Bisu,.. lakini pia chembe chembe za tamaa zilianza kutembea mwilini kwa Dennis naye akaanza kupiga mahesabu ya kumnasa Hasina ili aweze kula naye utamu, lakini kwa Bi Pauline yeye alikuwa na maswali lukuki kulingana na mavazi ya Hasina, yamepatikana wapi? na hata kaka kanunua yeye, hela amezipata wapi? maana nguo zenyewe zilionekana ni za bei kubwa ukilinganisha na mshahara wake, hivyo akatamani sana kujua wapi alikopata nguo hizo, hata hivyo akaamua kukaa kimya lakini akilini mwake alishahisi labda Hasina atakuwa na mwanaume ambaye ndo anayempatia pesa za kununulia hizo nguo, akapanga siku amuulize na k**a ni kweli ana mwanaume, amrudishe kwao mapema ili asije akaleta mzigo wa mimba pale nyumbani kwake. Alimchukulia Hasina k**a motto mdogo kulingana na anavyoelewa yeye, lakini hakujuwa kuwa Hasina alikuwa mdogo wa umri na tu na sio uelewa, Hasina alikuwa mtaalam sana wa mambo ya mahaba tofauti na Bi. Pauline alivyoelewa, hivyo kwake kupata ujauzito ni ndoto.

ilikuwa ni jioni ya saa 10, Dennis alitoka kwenye mizunguuko yake na kurudi nyumbani, alipoingia ndani alikuta sebule ikiwa wazi yaani hakuna mtu, alisimama katikati ya sebule akaangalia huku na kule lakini hakuona mtu, akaongoza moja kwa moja chumbani kwake ambako hakukaa sana akatoka na kurudi kukaa sebuleni na kuwasha tv, Mara mlango wa chumba cha Hasina ukafunguka na Hasina akatokea akiwa katika vazi la kanga moja na huku mkononi akiwa kashikilia sabuni kwa lengo la kwenda bafuni kuoga, mwili wake ulionekana kulowa jasho, alipotokeza sebuleni tu alikutana macho kwa macho na Dennis, alish*tuka sana kumuona Dennis pale sebuleni hadi Dennis akagundua msh*tuko wake, hakumchelewesha akamtandika swali.
"... we vipi, mbona umesh*tuka kuniona?.."
Hasina hakujibu badala yake alianza kurudi nyuma kwa lengo la kurudi chumbani kwake, Dennis akaendelea kumuangalia kwa makini na akagundua kuwa kulikuwa na kitu k**a uoga kwenye uso wake.
"... we Hasina, si nimekuuliza?.. mbona umesh*tuka na mbona uko hivyo?.. aliendelea kuhoji maswali na huku akiwa kamkazia macho.
"... hamna kitu ka... kaka Dennis..." alijibu Hasina huku akiwa tayari kasimama katikati ya mlango
"... sasa mbona umesh*tuka..."
"... hamna... si... si nilitaka kwenda kuoga..."
"...sasa kuna tatizo gani..."
"... hamna tatizo, lakini si... si nilijua hakuna mtu hapa sebuleni ndo maana nikash*tuka..." alijitahidi kunyoosha maelezo na huku akiwa tayari kakishika kitasa cha mlango
"... na mbona unatoka jasho hivyo kwani ulikuwa unafanya nini?.."
"... nilikuwa nimelala tu..."
"... sasa mbona umerudi nyuma wakati ulikuwa unaenda kuoga?.."
"... nachukua kanga nyingine..."
Dennis aliangalia huku na kule kisha akamuuliza
"... nani mwingine yuko hapa nyumbani?.."
"... niko mwenyewe... mama toka alivyoondoka ile asubuhi hajarudi mpaka saa hizi..." alijibu Hasina, jibu hilo ni k**a lilimfurahisha kidogo Dennis akaamua kumuita
"... hebu njoo kwanza..."
"... ngoja nivae kanga nyingine..."
"...njoo hivyo hivyo..." aliongea Dennis, kuna kitu kilikuwa kinatembea kichwani kwa Dennis au labda niseme kuna kitu ambacho Dennis alishaanza kukitaka toka kwa Hasina.
"... ngoja nivae nguo kaka Dennis..."
Dennis akainuka na akawa k**a anamfuta
".. au ngoja nije tuongee kidogo chumbani kwako..."
Hasina alikurupuka pale mlangoni na kumkimbilia Dennis kisha akamzuia
"... haya basi nimekuja tuongee hapa hapa..."
Dennis akapatwa na mashaka, kidogo na akawa k**a anajiuliza maswali mwenyewe..." huyu mbona nimezungumzia Habari za kuingia chumbani kwake tu amekurupuka wakati alikuwa hataki kunisogelea eti kwa vile kavaa kanga moja... au kuna kitu anaficha huko chumani nini?.."

KUNA NINI CHUMBANI KWA HASINA?...

USIKOSE SEHEMU YA 20

USIKOSE PIA KU LIKE PAGE ILI KILA TOLEO LIKUFIKIE MOJA KWA MOJA... PIA USISAHAU KUACHA COMMENT ILI KUMTIA MOYO MTUNZI AWEZE KUENDELEA KUTULETEA VITU...

Address

Kinondoni Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KWETU TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to KWETU TZ:

Share