Washington Promota

Washington Promota KUKUJUZA,KUKUELIMISHA NA KUPATA STORY MPYA KUTOKA POTE DUNIANI CONTACT US FOR BUSINESS ONLY +255762411587

06/06/2026
30/05/2026

Big hip hop sikiliza big machine

Marioo ameweka wazi list ya ngoma zitakazokuwepo kwenye EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Mmmcxii, inayotoka rasmi ta...
28/05/2026

Marioo ameweka wazi list ya ngoma zitakazokuwepo kwenye EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Mmmcxii, inayotoka rasmi tarehe 29th May. Humo ndani kuna wasanii kibao wakubwa!

Kati ya ngoma hizi chini, ni ipi unaisi itakuwa inasubiriwa sana kwa hamu?

🎵 Marioo - Mombasa
🎵 Marioo Ft. Bruce Melodie - Priority
🎵 Marioo Ft. Ya Levis - Doucement (Dusma)
🎵 Marioo Ft. Sofiya Nzau - Ua (Flower)
🎵 Marioo - Sugar
🎵 Marioo Ft. Chella - Sugar Remix
🎵 Marioo Ft. Dvoice - Watu
🎵 Marioo Ft. Harmonize - Pombe I
🎵 Marioo Ft. Babydaiz - Pombe II (We Live Once)

Itapatikana buraplay,com ikishatoka

Serikali ya Bangladesh imeingilia kati kumuokoa Ng’ombe maarufu aliyekuwa akijulikana kwa jina la “Donald Trump” baada y...
28/05/2026

Serikali ya Bangladesh imeingilia kati kumuokoa Ng’ombe maarufu aliyekuwa akijulikana kwa jina la “Donald Trump” baada ya mnyama huyo maarufu sana mitandaoni kutokana na kufanana nywele zake na Rais wa Marekani Donald Trump. Ng’ombe huyu ameshika vichwa vya habari na amkekuwa sehemu ya utani mtaandaoni

Ng’ombe huyo adimu wa rangi ya albino alikuwa amenunuliwa kwa ajili ya kuchinjwa wakati wa sikukuu ya Eid al-Adha, 2026 lakini serikali ya Bangladesh ilisimamisha mpango huo dakika za mwisho na kuamua kumchukua na kumuhamishia katika hifadhi ya taifa mjini Dhaka.

Kwa mujibu wa Reuters, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bangladesh iliingilia kati baada ya mnyama huyo kuvutia umati mkubwa wa watu na kuzua hofu ya kiusalama kutokana na mamia ya wananchi waliokuwa wakifika kumuona na kupiga nae selfies.

Ng’ombe huyo mwenye uzito wa karibu kilo 700 alipata umaarufu mkubwa kutokana na nywele zake za blonde zilizokuwa zikifanana na hairstyle maarufu ya Trump. Mmiliki wake Ziauddin Mridha alisema mdogo wake ndiye aliyempa jina hilo kutokana na muonekano wake wa kipekee.

Maafisa wa hifadhi ya taifa ya Dhaka wamesema tayari wamemuandalia banda maalum pamoja na mhudumu wake binafsi, huku akitarajiwa kuwekwa chini ya quarantine kwa wiki mbili kabla ya kuonyeshwa rasmi kwa umma.

Hii ni maajabu 😂😂

Nilitegemea wimbo utakuwa wa hadhi ya juu kiuandishi na maudhui lakini hakuna maajabu wimbo hauna ladha kikubwa walicho ...
17/04/2026

Nilitegemea wimbo utakuwa wa hadhi ya juu kiuandishi na maudhui lakini hakuna maajabu wimbo hauna ladha kikubwa walicho fanya ni kuwaimbia mademu zao tu kitu ambacho kinapoteza hamu ya shabiki kuufurahia wimbo kwa muda mrefu.

Je una maoni gani K**a wewe ni shabiki wa harmonize?

This is diamond platnumuz &jux artist from Tanzania 🇹🇿
17/04/2026

This is diamond platnumuz &jux artist from Tanzania 🇹🇿

17/04/2026

Mario amesema “2 Million kwa atakaefanikisha kutengeneza Dance Challenge ya 🌹

Out Now

Address

Cape Town Southern Suburbs
Dar Es Salaam
7708

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Washington Promota posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Washington Promota:

Share