Chang'ombe Sda Youth Choir, Tabata

Chang'ombe Sda Youth Choir, Tabata karibu katika ukurasa huu wa kwaya ya vijana chang'ombe, tunahitaji support yako.

19/10/2024

Mungu ni Mkuu wa kila kitu.
Sabato ya furaha.

Mungu ni mwema tumehitimisha makambi salama
08/09/2024

Mungu ni mwema tumehitimisha makambi salama


AHADI ZA MUNGUZABURI 125:22 K**a milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na...
03/06/2024

AHADI ZA MUNGU

ZABURI 125:2

2 K**a milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.

Facebook

Say something ...........  Facebook
29/05/2024

Say something ...........

Facebook

Karibu utazame kazi kutoka kwaya ya vijana chang'ombe
07/05/2024

Karibu utazame kazi kutoka kwaya ya vijana chang'ombe

CHANG'OMBE SDA YOUTH CHOIR TABATANURU- Official Video 2024.Be sure to subscribe, like, share & follow Chang'ombe sda youth choir Tabata on this channel, but ...

Tubuni basi mrejee.Facebook Everyone
03/04/2024

Tubuni basi mrejee.

Facebook Everyone

Je umejiandaaje?
26/03/2024

Je umejiandaaje?

21/03/2024
MTAFUTENI BWANA MAADAM ANAPATIKANA!1) Nukuu kwa Kiswahili :Moyo wa Upendo Usiopimika unawatamani sana wale ambaa wanajis...
20/03/2024

MTAFUTENI BWANA MAADAM ANAPATIKANA!

1) Nukuu kwa Kiswahili :

Moyo wa Upendo Usiopimika unawatamani sana wale ambaa wanajisikia kuwa hawana nguvu ya kujiweka huru kutoka kwenya mitego ya Shetani; na Yeye kwa neema anajitolea kuwapa nguvu, ya kuishi kwa ajili yake. “Usiogope,” anawaambia; “kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.” “Kwa maana mimi, Bwana, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia. Usiogope, Yakobo uliye mdudu, nanyi watu wa Israeli; mimi nitakusaidia, asema Bwana, na mkombozi wako ni Mtakatifu wa Israeli.” 41:10, 13, 14. #

Wakazi wa Yuda wote walikuwa hawastahili, lakini bado Mungu hangewaacha. Kwa kupitia kwao jina lake lilipaswa kutukuzwa kati ya mataifa. Wengi ambao walikuwa hawajui kabisa sifa zake bado walipaswa kuuona utukufu wa tabia ya kiungu. Ilikuwa ni kwa kusudi la kuweka wazi mipango yake ya huruma alidumu kuwatuma watumishi wake manabii wakiwa na ujumbe, “Rudini sasa, kila mtu na aiache njia yake mbaya.” 25:5. # “Kwa ajili ya jina langu,” alisema kupitia kwa Isaya. “nitaahirisha hasira yangu, na kwa ajili yako nitajizuia, ili nisifiwe, wala nisikukatilie mbali.” “Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jin? Jangu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.” 48:9, 11. #

Wito wa toba ulitangazwa kwa uwazi bayana, na wot? walialikwa kurudi. “Mtafuteni Bwana, maadamu anapatikana,” pabii alisihi; “Mwiteni, maadamu yu karibu; Mtu mbaya na aache? njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie Bwana, naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa" 55:6,7 #

— Wafalme na Manabii
— Gombo la Kwanza.
— Uk. 274, 275

2) English Quote :

The heart of Infinite Love yearns after those who feel powerless to free themselves from the snares of Satan; and He graciously offers to strengthen them to live for Him. "Fear thou not," He bids them; "for I am with thee: be not dismayed; for I am thy God: I will strengthen thee; yea, I will help thee; yea, I will uphold thee with the right hand of My righteousness." "I the Lord thy God will hold thy right hand, saying unto thee, Fear not; I will help thee. Fear not, thou worm Jacob, and ye man of Israel; I will help thee, saith the Lord, and thy Redeemer, the Holy One of Israel." Isaiah 41:10, 13, 14.

The inhabitants of Judah were all undeserving, yet God would not give them up. By them His name was to be exalted among the heathen. Many who were wholly unacquainted with His attributes were yet to behold the glory of the divine character. It was for the purpose of making plain His merciful designs that He kept sending His servants the prophets with the message, "Turn ye again now everyone from his evil way." Jeremiah 25:5. "For My name's sake," He declared through Isaiah, "will I defer Mine anger, and for My praise will I refrain for thee, that I cut thee not off." "For Mine own sake, even for Mine own sake, will I do it: for how should My name be polluted? and I will not give My glory unto another." Isaiah 48:9, 11.

The call to repentance was sounded with unmistakable clearness, and all were invited to return. "Seek ye the Lord while He may be found," the prophet pleaded; "call ye upon Him while He is near: let the wicked forsake his way, and the unrighteous man his thoughts: and let him return unto the Lord, and He will have mercy upon him; and to our God, for He will abundantly pardon." Isaiah 55:6, 7.

PK 316.3 - PK 319.2






Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirish...
19/03/2024

Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona k**a alivyo.

1 Yohane 3: 2

BHN




Address

Chang'ombe, Tabata
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 00:00 - 23:59
Tuesday 00:00 - 23:59

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chang'ombe Sda Youth Choir, Tabata posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category