Nasko king

Nasko king Nasko Designer Entertainment

23/03/2021

+255🇹🇿 Brand Something loading.....

19/08/2019

Mkuu w Mkoa alivyofurahi baada ya Manfizo Filam kuandaa filamu nzuri ya kuelimisha jamii juu ya ugonjwa wa Fistula na huu ni jinsi alivyozindua filamu hiyo ndani ya mkoa wake wa. Tabora tanzania bila Fistula inawezekana Mungu ibariki Tanzania .mx

Never mind ze world is not fair🙏Family Federation For World Peace Ambassador
17/08/2019

Never mind ze world is not fair🙏Family Federation For World Peace Ambassador

09/08/2019

Nikiwa k**a mashauri wa Film napenda kuishukuru Company ya Family Federation For World Peace kwa kutuamini nakutupa nafasi ya ubalozi ili kuhakikisha kuzijenga familia zetu vizuri.Tukutane hapo k**a Tangazo linavyojieleza tukapate kujifunza jinsi ya kuendelea kuifanya familia yako iwe na amani ya kudumu zaidi!! Kupata misingi ya kuinuka kimaisha kwa waliokata tamaa na wanaotaka kusonga mbele zaidi

Halisi Swahili Media inawaletea usiku wa Kiswahili ndani ya South Africa  Live performance na  !Burudani k**a zote na wa...
05/07/2019

Halisi Swahili Media inawaletea usiku wa Kiswahili ndani ya South Africa Live performance na !Burudani k**a zote na wasanii kibao Tangazo linajieleza!! Kiswahili kimepanda ndege✈🛩🛫🛬

N.D.E........... Exclusive 20May 2019 Logo in Town👕 Weka order yako mapema!!!!!
07/05/2019

N.D.E........... Exclusive 20May 2019 Logo in Town👕
Weka order yako mapema!!!!!

20/11/2018

Timu imeshatua mjini International Reporter International Photography Live kutoka -SABC International Broadcast Radio Service Moja kwa moja kupitia king'amuzi chako cha Dstv Channel 802 tumia lugha yako kutangaza kipaji chako Kiswahili Kimekua!!
Languages: English,French,Kiswahili,Portuguese,Silozi and Chinyanja

Pale Raisi wa wa Sanaa zote na Burudani anapokutana na International Reporter  SABC Chanel Africa Kusapoti Team yetu ya ...
19/11/2018

Pale Raisi wa wa Sanaa zote na Burudani anapokutana na International Reporter SABC Chanel Africa Kusapoti Team yetu ya Taifa!!!
International Photography

Full package!!!Reporter   International Photography  Chanel Africa!!
19/11/2018

Full package!!!
Reporter International Photography
Chanel Africa!!

Ni siku mpya!! Ndani ya mwezi mpya!! Je unayajua mambo kutoka kwa  Mtaarifu na mwenzakoLeo usiku ndani ya   ya    atakua...
01/11/2018

Ni siku mpya!! Ndani ya mwezi mpya!! Je unayajua mambo kutoka kwa Mtaarifu na mwenzako
Leo usiku ndani ya ya atakua na live **alotee kuanzia saa 4:30 usiku @naskodesigner

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nasko king posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category