Gurudumu la Kinabii

Gurudumu la Kinabii Ajenda yetu kuu ni kusababisha UAMSHO, MAPINDUZI & MGUSO katika kizazi hiki!!!!
(1)

William Lukuvi
25/03/2026

William Lukuvi

KILICHOTOKEA KWENYE IBADA YA LEO, Sijui niseme nini kuelezea ukuu wa BWAN Mungu na Kristo wake kupitia MGUSO WA KINABII?...
22/02/2026

KILICHOTOKEA KWENYE IBADA YA LEO,

Sijui niseme nini kuelezea ukuu wa BWAN Mungu na Kristo wake kupitia MGUSO WA KINABII?

Bado natafakari sana!!!!!

MOYO WA SIFA KWA BWANA, - Ni moyo usioangalia mazingira wala wakati ili kumsifu BWANA Mungu. - Ni moyo wa kujiachia na k...
15/02/2026

MOYO WA SIFA KWA BWANA,

- Ni moyo usioangalia mazingira wala wakati ili kumsifu BWANA Mungu.

- Ni moyo wa kujiachia na kujimimina mbele za BWANA ili kuliinua jina lake.

"Nimwambie nini BWANA kwa yale aliyonitendea?" Tafakari chukua steps!!!
08/02/2026

"Nimwambie nini BWANA kwa yale aliyonitendea?"

Tafakari chukua steps!!!

"Usipojifunza nidhamu ya ku-relax; ni hakika na kweli unaweza kufa kwa stress." - Jaimes Onaire
03/02/2026

"Usipojifunza nidhamu ya ku-relax; ni hakika na kweli unaweza kufa kwa stress."

- Jaimes Onaire

"RAHA ndiyo inayozaa FURAHA. Pasipo na raha hakuna furaha." - Jaimes Onaire (MWB)
03/02/2026

"RAHA ndiyo inayozaa FURAHA. Pasipo na raha hakuna furaha."

- Jaimes Onaire (MWB)

"Vibe la Jumapili hii kutokea Bustanini Kwa Bwana; lilikuwa moto chini." - Jaimes Onaire (MWB)
01/02/2026

"Vibe la Jumapili hii kutokea Bustanini Kwa Bwana; lilikuwa moto chini."

- Jaimes Onaire (MWB)

"Ukiona mtoto mdogo anakunong'oneza ujue hapo kuna nini?"
31/01/2026

"Ukiona mtoto mdogo anakunong'oneza ujue hapo kuna nini?"

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gurudumu la Kinabii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share