Fahamu movie

Fahamu movie We love movies

We talk about movies

🚨🎬Netflix shows zinazotoka  2025:🎯 Wednesday Season 2🎯 Stranger Things Season 5🎯 Squid Game Season 3
28/12/2024

🚨🎬
Netflix shows zinazotoka 2025:

🎯 Wednesday Season 2
🎯 Stranger Things Season 5
🎯 Squid Game Season 3

🚨🎬Star wa kwenye filamu ya Romeo and Juliet amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 73.
28/12/2024

🚨🎬
Star wa kwenye filamu ya Romeo and Juliet amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 73.

🚨🎬Denzel Washington ametimiza miaka 70.Happy birthday.
28/12/2024

🚨🎬
Denzel Washington ametimiza miaka 70.
Happy birthday.

🚨🎬“SQUID GAME” Msimu wa mwisho utatoka  2025.
27/12/2024

🚨🎬
“SQUID GAME” Msimu wa mwisho utatoka 2025.

🚨🎬“KUNG FU PANDA 5” ipo kwenye mchakato wa kuanza kuandaliwa.Tarehe rasmi ya kutoka bado haijatangazwa.
27/12/2024

🚨🎬
“KUNG FU PANDA 5” ipo kwenye mchakato wa kuanza kuandaliwa.

Tarehe rasmi ya kutoka bado haijatangazwa.

🚨🎬Filamu ya Christopher Nolan ‘THE ODYSSEY’ inaripotiwa kuwa filamu ghali zaidi katika kazi yake.Filamu hii itatoka July...
27/12/2024

🚨🎬
Filamu ya Christopher Nolan ‘THE ODYSSEY’ inaripotiwa kuwa filamu ghali zaidi katika kazi yake.

Filamu hii itatoka July 17,2026.

🚨🎬Muiguzaji wa series ya ‘GEN V’Chance Perdomo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27 kwa ajali ya pikipiki.
31/03/2024

🚨🎬
Muiguzaji wa series ya ‘GEN V’Chance Perdomo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27 kwa ajali ya pikipiki.

🚨🎬‘KUNG FU PANDA 4’ itatolewa kwenye digital platform Aprili 9.
31/03/2024

🚨🎬
‘KUNG FU PANDA 4’ itatolewa kwenye digital platform Aprili 9.

🚨🎬Mkuu wa Netflix Ted Saranados anasema AI haitawahi kuchukua nafasi ya watengenezaji filamu wa binadamu."Kuna kitu kuhu...
14/03/2024

🚨🎬
Mkuu wa Netflix Ted Saranados anasema AI haitawahi kuchukua nafasi ya watengenezaji filamu wa binadamu.

"Kuna kitu kuhusu uhalisi na ukweli wa uzoefu wa binadamu ambao watu huona, na wanaweza pia kuona wakati si halisi.”

🚨🎬Trela ya kwanza ya  ‘THE CROW’ imetolewa.Filamu hii itatoka June 7.
14/03/2024

🚨🎬
Trela ya kwanza ya ‘THE CROW’ imetolewa.

Filamu hii itatoka June 7.

🚨🎬Marvel studios imeripotiwa kufuta mipango ya ‘Eternals2’, ANT-MAN 4. Hatua hii imekuja ikiwa na mshtuko Kwa mashabiki ...
14/03/2024

🚨🎬
Marvel studios imeripotiwa kufuta mipango ya ‘Eternals2’, ANT-MAN 4. Hatua hii imekuja ikiwa na mshtuko Kwa mashabiki wanaosubiri Kwa hamu muendelezo huo.

Inaonekana marvel studios inabadilisha gia kutokana na mabadiliko ya watazamaji na mabadiliko ya soko.

🚨🎬'NOBODY 2' inaweza kuanza kurekodiwa mwishoni mwa 2024.
14/03/2024

🚨🎬
'NOBODY 2' inaweza kuanza kurekodiwa mwishoni mwa 2024.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahamu movie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category