HENGE TV

HENGE TV News ,Entertainment, Sports and politics

Young Africans SC | πŒπ„πƒπˆπ€ πƒπ€π˜πŸ”°Wanahabari Wote MnakaribishwaπŸ—“οΈ30.03.2026 ⏱️SAA 9:00 ALASIRI🏟️KMC COMPLEX, Mwenge
30/03/2026

Young Africans SC | πŒπ„πƒπˆπ€ πƒπ€π˜πŸ”°

Wanahabari Wote Mnakaribishwa

πŸ—“οΈ30.03.2026
⏱️SAA 9:00 ALASIRI
🏟️KMC COMPLEX, Mwenge


🚨 Rais wa CAF Dr Patrice Motsepe amethibitisha kuwa AFCON 2027 itakuwa na timu 28 (ongezeko la timu 4)Amezitaka Kenya, U...
30/03/2026

🚨 Rais wa CAF Dr Patrice Motsepe amethibitisha kuwa AFCON 2027 itakuwa na timu 28 (ongezeko la timu 4)

Amezitaka Kenya, Uganda na Tanzania kuongeza kasi ili kila nchi iwe na angalau viwanja viwili.

βœ… Ivory Coast 2023 ilikuwa na viwanja 6 huku Morocco 2025 ilikuwa na viwanja 9

Timu ya Dodoma JIJI FC imeuchagua uwanja wa AIRTEL STADIUM baada ya uwanja wao wa CCM Jamhuri Dodoma kufungiwa na TFF.Me...
30/03/2026

Timu ya Dodoma JIJI FC imeuchagua uwanja wa AIRTEL STADIUM baada ya uwanja wao wa CCM Jamhuri Dodoma kufungiwa na TFF.

Mechi ijayo Dodoma JIJI FC itacheza dhidi ya Fountain Gate FC, April 03, 2026.

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC utachezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi bada...
28/03/2026

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC utachezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi badala ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.

β€œNikweli mchezo dhidi ya Simba utachezwa Azam Complex, hilo lilishafanyika maamuzi yake na bodi ilishajulishwa kwasasa tunaendelea na maandalizi ya mchezo wetu unaofuata dhidi ya Singida tukimaliza hapo tutakuwa na hesabu za kukutana na Simba,”

Afisa Habari wa klabu ya Azam, Zaka Zakazi.

Raphinha atakosekana kwa takribani wiki 5 kutokana na jeraha la misuli ya paja (hamstring) alilopata akiwa kwenye majuku...
28/03/2026

Raphinha atakosekana kwa takribani wiki 5 kutokana na jeraha la misuli ya paja (hamstring) alilopata akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Brazil πŸ‡§πŸ‡·

Atakosa mechi muhimu dhidi ya Atletico de Madrid kwenye La Liga pamoja na UEFA Champions League

DIARA KUKOSA MECHI HIZI TATU
27/03/2026

DIARA KUKOSA MECHI HIZI TATU

UPDATES
27/03/2026

UPDATES

Kikosi cha Taifa Stars kinachoanza  kwenye mchezo dhidi ya Liechtenstein FIFA Series 2026.Kwa kikosi hiki unaonaziona go...
26/03/2026

Kikosi cha Taifa Stars kinachoanza kwenye mchezo dhidi ya Liechtenstein FIFA Series 2026.

Kwa kikosi hiki unaonaziona goli ngapi leo?

SIMBA NA YANGA WATANGAZA SIKU ZA KUREJEA KAMBINI
26/03/2026

SIMBA NA YANGA WATANGAZA SIKU ZA KUREJEA KAMBINI

Wachezaji waliohusika kwenye magoli mengi NBC Premier League mpaka saivi.
26/03/2026

Wachezaji waliohusika kwenye magoli mengi NBC Premier League mpaka saivi.

Mchezaji wa Senegal, Ibrahim Mbaye ambae anacheza timu Moja na Achraf Hakimi pale PSG akizungumzia uamuzi wa CAF:πŸ—£οΈ β€œHAT...
26/03/2026

Mchezaji wa Senegal, Ibrahim Mbaye ambae anacheza timu Moja na Achraf Hakimi pale PSG akizungumzia uamuzi wa CAF:

πŸ—£οΈ β€œHATA SIKUJUA KABISA kilichotokea, ni Achraf Hakimi ndiye aliyenieleza.” πŸ‡ΈπŸ‡³

β€œAliniambia: β€˜Umeona habari? Wametupatia kombe.’ Sikupata mshangao wowote, kwa sababu sisi tulishinda uwanjani. Nina medali yangu, bado ipo nyumbani kwangu, na kombe pia lipo nyumbani.” πŸ†

β€œKwangu mimi, hakuna kinachobadilika: π“π”π‹πˆπ’π‡πˆππƒπ€ π”π–π€ππ‰π€ππˆ.”

NDOA YA SOWAH NA SIMBA IPO UKINGONI?
26/03/2026

NDOA YA SOWAH NA SIMBA IPO UKINGONI?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HENGE TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to HENGE TV:

Share