HiviSasaTZ

HiviSasaTZ Pata Taarifa Kemkem za Uchumi, Maendeleo, Michezo, Burudani, Udaku, na Maisha kwa ujumla Kupitia Blog yako ya hivisasa.co.tz

24/12/2025

Tumia Settlo kuendesha biashara yako, tuligie 0759229777 kwa maelezo zaidi au tembelea https://settlo.co.tz

Settlo (The SME’s Financial Platform) Best POS App in Tanzania 🇹🇿
21/11/2025

Settlo (The SME’s Financial Platform) Best POS App in Tanzania 🇹🇿

Dvoice wcb
09/07/2025

Dvoice wcb

  Golikipa Aishi Manula amerejea Azam FC akitokea Simba SC.
09/07/2025

Golikipa Aishi Manula amerejea Azam FC akitokea Simba SC.

  vs   leo saa 4 usiku, nani atating fainali?
09/07/2025

vs leo saa 4 usiku, nani atating fainali?

  wamefuzu finali za club world cup kwa ushindi wa 2 - 0 dhidi ya   ya Brazil, magoli yote ya chelsea yalifungwa na Joao...
09/07/2025

wamefuzu finali za club world cup kwa ushindi wa 2 - 0 dhidi ya ya Brazil, magoli yote ya chelsea yalifungwa na Joao Pedro dakika ya 18 na 56. Leo ni vs unafkiri nani atatoka na ushindi?

Kipindi cha kwanza   vs   chelsea anaongoza kwa goli 1 lililofungwa na Joao Pedro dakika ya 18, je unafikiri    atatinga...
08/07/2025

Kipindi cha kwanza vs chelsea anaongoza kwa goli 1 lililofungwa na Joao Pedro dakika ya 18, je unafikiri atatinga finali za ?

Wachezaji wa 5 wa Manchester United waliowahi kuvaa jezi namba 10
08/07/2025

Wachezaji wa 5 wa Manchester United waliowahi kuvaa jezi namba 10

Bodi ya Filamu Tanzania yamuita Aunty Ezekiel kufika katika ofisi za Bodi ya filamu kivukoni, soma habari kwenye screens...
08/07/2025

Bodi ya Filamu Tanzania yamuita Aunty Ezekiel kufika katika ofisi za Bodi ya filamu kivukoni, soma habari kwenye screenshot hapo chini.

Staa wa muziki kutoka Uganda, Kenzo, anapata uteuzi wa kwanza wa Grammy. Msanii Kenzo, kutoka Uganda, amepewa nafasi ya ...
08/07/2025

Staa wa muziki kutoka Uganda, Kenzo, anapata uteuzi wa kwanza wa Grammy. Msanii Kenzo, kutoka Uganda, amepewa nafasi ya kuwania tuzo ya Grammy, tukio kubwa kwa muziki wa Afrika Mashariki

Round ya kwanza ya English Premier League (EPL) msimmu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza August 15, 2025. Mechi kali siku ...
08/07/2025

Round ya kwanza ya English Premier League (EPL) msimmu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza August 15, 2025. Mechi kali siku hiyo zitakua hi hizi hapa chini:
1. Man UTD vs Arsenal
2. Liverpool vs Bournemouth
3. Chelsea vs Crystal Palace
4. Sunderland vs Westham

Unafkiria nani atachukua ubinwa msimu huu?

Maandamano ya SabaSaba Kenya Jana tarehe 7-7-2025 yamesababisha fujo mjini Nairobi na kusababisha watu kadhaa kuuwawa na...
08/07/2025

Maandamano ya SabaSaba Kenya Jana tarehe 7-7-2025 yamesababisha fujo mjini Nairobi na kusababisha watu kadhaa kuuwawa na wengine kujeruhiwa, angalia video apo chini

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting s...

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255654011222

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HiviSasaTZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share