Mkono wangu art work's

Mkono wangu art work's we work in creating,editing and adding graphics effect to pictures and videos plus making banners an Graphical manipulation.

12/06/2025

Celebrating my 13th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Maisha ni kwa wanao ishi, sio walio kata tamaa.
16/06/2017

Maisha ni kwa wanao ishi, sio walio kata tamaa.

Muda kitu cha thamani kuliko vyote Maisha, Wako unautumiaje?
15/06/2017

Muda kitu cha thamani kuliko vyote Maisha, Wako unautumiaje?

18/03/2017

Je, wewe ungekuwa na tatizo k**a la Mark Zuckerberg. Ungefanya nini kurahisisha maisha yako ya kila siku.?

Jana, Leo, Kesho.
18/02/2017

Jana, Leo, Kesho.

Usisubiri muujiza hata Mungu anasaidi wanao jisaidi. Chukua hatua, Fanya uamuzi. Siku njema.

13/01/2017

Kuna siku muhimu mbili tu kwenye maisha yako,
1. Siku uliyozaliwa.
2. Siku uliyogundua kwanini umezaliwa.
Timiza malengo yako. Nice weekend guys play safe.

Miaka inavyozidi kwenda tuna kua na kupata busara zaidi.Ni baraka kufika mwisho wa mwaka.Na Matarajio mema kwa fursa zit...
31/12/2016

Miaka inavyozidi kwenda tuna kua na kupata busara zaidi.Ni baraka kufika mwisho wa mwaka.Na Matarajio mema kwa fursa zitakazo jitokeza mbeleni.Heri ya Mwaka Mpya, Asante.

As years pass we grow older and wiser.It is a blessing to reach the end of the Year.Looking forward to the oppurtunities a head, Happy New Year .Thank you

23/12/2016

Moja kati ya heshima ambayo visiwa vya Zanzibar imejiwekea kwenye mapinduzi ya Habari na Mawasiliano barani Afrika.
"ELIMU KWA TELEVISHENI"

16/12/2016

Unakumbuka kitu cha tochi, k**a uliwahi kutumia hii simu ujue umeweka rekodi ya dunia.

Asanteni sana kwa mchango wenu familia nzima ya Mkono wangu art work's kwa support yenu na lengo jingine limetimia tumef...
13/12/2016

Asanteni sana kwa mchango wenu familia nzima ya Mkono wangu art work's kwa support yenu na lengo jingine limetimia tumefikisha 500 LIkes. Kuna vitu vingi zaidi tuna karibia kuwaletea msimu huu wa sikukuu. Tafadhari endelea ku-share,like na ku-Comment post zetu. Asante

Tume shirikiana pamoja na rafiki zetu wa Bongo Tech Support kuwaletea makala hii kuhusu droni(Drone) tano bora pitia kwe...
10/09/2016

Tume shirikiana pamoja na rafiki zetu wa Bongo Tech Support kuwaletea makala hii kuhusu droni(Drone) tano bora pitia kwenye chaneli yao ya YouTube kuitazama. Asante

A collection of Amazing Drone concepts and Inventions

Bila kudondoka hauwezi kujua utamu wa kuinuka. J5 njema
07/09/2016

Bila kudondoka hauwezi kujua utamu wa kuinuka. J5 njema

Address

Mtoni Kijichi
Dar Es Salaam

Telephone

+255713804020

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkono wangu art work's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Mkono wangu art work's:

Share