Ambassadors Ukonga

Ambassadors Ukonga Welcome to ambassadors youth choir official page. Local church Ukonga sda. Dar es salam, Tanzania.

Tumetoka Ambassadors Day – Malamba Mawili 🙌✨Sio tukio tu… ni ushuhuda wa pamoja wa neema ya Mungu juu yetu ❤️Tumejifunza...
11/04/2026

Tumetoka Ambassadors Day – Malamba Mawili 🙌✨
Sio tukio tu… ni ushuhuda wa pamoja wa neema ya Mungu juu yetu ❤️
Tumejifunza, tumetiwa nguvu, na tumeguswa rohoni kwa pamoja 💫🔥
Mungu ameendelea kuthibitisha kuwa yupo katikati yetu, na anatuongoza kila hatua 🙏
K**a kulikuwa na ukimya kidogo, samahani… tulikuwa tupo kwenye uwepo Wake 🙌🤍
Sifa na utukufu wote tunamrudishia Mungu 💯✨”
📖 Mathayo 18:20
“Kwa kuwa walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.” 🙏




Blessed 🙌✨

Wageni wa heshima leo 💙✨Mabalozi wa Ukonga tumealikwa rasmi na Mabalozi wa Kanisa la Malamba Mawili kuungana pamoja kush...
11/04/2026

Wageni wa heshima leo 💙✨
Mabalozi wa Ukonga tumealikwa rasmi na Mabalozi wa Kanisa la Malamba Mawili kuungana pamoja kusherehekea World Ambassadors Day 🌍🤝
Sio tu tukio, bali ni nafasi ya kuimarisha umoja, urafiki na huduma kwa jamii 💯🙏
Tukiwa pamoja tunajifunza, tunakua, na tunaiwakilisha imani yetu kwa vitendo ❤️🔥
Karibu sana kwenye familia ya mabalozi 💫




BlessedMoments

Tumeokolewa ili tutumike 🙌🔥 | World Ambassador Day 🌍✨Usikose kuwa sehemu ya vijana wenye kusudi 💙
02/04/2026

Tumeokolewa ili tutumike 🙌🔥 | World Ambassador Day 🌍✨
Usikose kuwa sehemu ya vijana wenye kusudi 💙



Address

Ukonga
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ambassadors Ukonga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Ambassadors Ukonga:

Shortcuts

Share

Category