Masotojo Comedians

Masotojo Comedians Hii ni Page Maalum Ya Wachekeshaji Wa Masotojo.

kwa kutazama Video zetu Pamoja na Ku Subscribe Tutembelee You Tube Channel Yetu Ya Masotojo Pamoja Na Shujaa Wa Africa

Itazame kupitia 👇
04/09/2026

Itazame kupitia 👇

Katika sehemu hii ya sita tunaona namna fatuma alivyopambana na kuw...

Katika sehemu hii ya sita tunaona namna fatuma alivyopambana na kuweza kufika kwa twaha mkaanga sumu ili kujaribu kuelew...
02/09/2026

Katika sehemu hii ya sita tunaona namna fatuma alivyopambana na kuweza kufika kwa twaha mkaanga sumu ili kujaribu kuelewa kinachoendelea kwa mwanamvua. Twaha haonekani kuwa mficha siri hali inayomfanya fatuma kubaki kwenye mshtuko mkubwa akijua anatakiwa kufanya kitu kwa mwanamvua ili kuiokoa familia yake. Endelea kuangalia hadithi hii ya kusisimua kwenye Tamthilia yetu ya LAST NAME Ep 6👇

Katika sehemu hii ya sita tunaona namna fatuma alivyopambana na kuw...

kwenye sehemu hii ya nne ya Tamthilia ya Last Name tunaona mpango mkubwa wa uovu wa mwanamvua anaousuka kwa twaha, mkaan...
26/08/2026

kwenye sehemu hii ya nne ya Tamthilia ya Last Name tunaona mpango mkubwa wa uovu wa mwanamvua anaousuka kwa twaha, mkaanga sumu anaejificha kwenye kivuli cha kuimba mashairi na kujikuta kwenye kitanzi kidogo kinachosababishwa na makosa yake kwa twaha
Kuiangalia Episode 4 BONYEZA👇

kwenye sehemu hii ya nne ya Tamthilia ya Last Name tunaona mpango m...

Address

Magomeni
Dar Es Salaam
_

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 15:00

Telephone

+255784944804

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masotojo Comedians posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Masotojo Comedians:

Shortcuts

Share

Category