27/12/2020
Kikosi kazi waamua kuwajibu weusi baada ya MBUPU kutoka siku mbili zilizoptita Kikosi Kazi wamekua wakivutana na weusi baada ya dis ya INTERLUDE iliyopelekea Kikosi kazi kuwajibu na KAZINI hivi sasa Kikosi Kazi wameachia nyimbo sikumbili baada ya weusi kuachia Dis Track yao moto umewaka kwenye soko la HipHop, Kikosi Kazi Spidi yao ni kali sana click link uicheki
MAMELODYKikosi Kazi is the biggest HIP HOP group from East Africa, Tanzania, formed by 8 members ie Azma Mponda, Nikki Mbishi, P Mawenge, Songa, Mansu -LI,...