Yaziada.com

Yaziada.com kujuana na watu wengi tu kubadilishana mawazo

nawatakia heli ya sikukuu na mwaka mpya wapendwa na wadau wangu wa nguvu nawapenda sana
20/12/2018

nawatakia heli ya sikukuu na mwaka mpya wapendwa na wadau wangu wa nguvu nawapenda sana

05/05/2018

Ndugu yangu usijisifu kwaajili ya kesho maana kesho ina mwingine k**a ni kufanya mazur wakati nisasa k**a ni kutenda mema yatende sasa k**a ni kumtumikia Mungu wakati ndio uu k**a ni kuacha kutenda ma baya wakati ni sasa k**a ni kubariki wakati ni sasa maana hakuna anaye ijua kesho itakuwaje lolote laweza kutokea

kesho msisahau kwenda kumshukuru   wetu maana ndie ametuwezesha kuimaliza wiki hii salama k**a unajua kwamba   amekusaid...
07/04/2018

kesho msisahau kwenda kumshukuru wetu maana ndie ametuwezesha kuimaliza wiki hii salama k**a unajua kwamba amekusaidia usikose katika ibada za USIKU MWEMA

kifo chake BWANA YESU PALE MSARABANI KILI TUFANYA SISI TUWEKWE HURU KWELI KWELI
30/03/2018

kifo chake BWANA YESU PALE MSARABANI KILI TUFANYA SISI TUWEKWE HURU KWELI KWELI

tamaa ya maisha mazuri ya dunia hii isikufanye kumsahau MUNGU muumba wako
25/03/2018

tamaa ya maisha mazuri ya dunia hii isikufanye kumsahau MUNGU muumba wako

21/03/2018
17/03/2018

Maisha ya mwanadamu nik**a ua asubuh uchanua jioni unyauka ivyo basi tusijisifu kwa hajili ya kesho maana hatujui kesho itakuwaje chochote chaweza kutokea kwaiyo k**a nikufanya mazuri yafanyeo k**a nikutenda mema ya tende leo k**a ni kumtumikia MUNGU mtumikie leo kesho laweza kutokea lolote jipya ,,.......,,

Address

Ilala
Dar Es Salaam
1

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yaziada.com posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category