Pacha Warriors SANAA

Pacha Warriors SANAA Pacha warriors Sanaa ni kampuni ya kisanaa kutoka

Tunajihus
(1)

12/02/2023
Kikosi kipana πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ’ͺ🏿
31/01/2023

Kikosi kipana πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ’ͺ🏿

MUNGU NI MWEMA.πŸ™πŸΏ

"Kwa BARAKA zake yeye
Mimi &Mke Wangu kipenzi
ametubariki Mtoto wa KiumeπŸ’ͺ🏿"

Nekukundiye Mche wangu
hidayaπŸ’šπŸ’›β£οΈ

06/10/2022

Kesho jioni panapo majaliwa..πŸ™

Mifumo au njia za kupata/
Haijalishi we hustler au diva zingatia makurasa/
Imani,sayansi na dini ama culture/
Maana maarifa ni utajiri kwa kifupi hawa ni mapacha/

Upelelezi haukamiliki kwa kuwa na shaka tu/
Kabla hujaanza kutafuta kwanza jua unachotaka/
Tunaishi kwa sababu jua unayopaswa/
We ni nani jitambue kuwa unavyotaka/

Wanaoitafuta pepo kuna dua na sadaka/
Zitanyesha kwa waungwana mvua za baraka/
Tumeumbwa werevu yamkini/
Hatujakamilika sisi,samehe mara Saba sabini/

aah..Wanasema penye chuma pana kutu/
Tenda wema nenda zako binadam hawana utu/
Wanaowaua ndugu kisa Mali/
Madeni ya damu hayafutiki watatafutwa kila mahali/

Hayalipwi kwa fedha ama vito vya madini/
Haijalishi ni kafara ama vifo vya majini/
Japo sote tutakufa ni agano/
Inashangaza walokuwa samawati wamegeuka kuwa manjano/

Wanaotafuta nguvu,madaraka,na utawala/
Kwa vita ya mitutu kuna njaa hatutalala/
Wagombea wanapinga matokeo ya uchaguzi/
Maamuzi yasifanywe kwa maoni ya wachambuzi/

Ajira ndo gonjwa sugu mchezo wa kubashiri/
wanawaza kuajiriwa Wasomi wa Tanzania/
Mifumo haimpi muhitimu uwezo wa kujiajir/
Wengine ndo panyarodi Wasomi wa nadharia/

Wanaotafuta kazi mabinti wanaonwa fursa/
Milango kibao wamegonga wakaombwa rushwa/
Wamedhalilishwa sana vingine hawaezisema/
Wanatabasamu usoni moyoni wanayo makubwa/

Wanaotafuta fame wanaishia kudharaulika/
Wengine wanajiua wanaishia kusahaulika/
Warembo wa dukani huku kwetu hawabongi/
Dada rudisha kemikali kuna mbegu ya kalonji/

Aaah..Hayo matusi ndo wanaita muziki mzuri/
Taasisi husika zimeruhusu hiki kivuli/
Vipi kuhusu watoto wetu na jamii ilotuzunguka/
Kustawi inahitaji mwanga ili akili kufunguka/

Wanaotafuta haki na kweli ndo wanaoangushwa/
Japo harakati hazifi machizi tunaowagusa/
Kihisia tushajitoa kupambana hatuogopi/
Kufichua maovu wanatupinga hatuongopi/

Mjinga haulalamiki kwa vile wewe umeshiba/
Sio k**a haunyonywi kawaulize wenye shida/
Wanaokula mlo mmoja siku nzima/
Na diet haija balance na ndo hao wazalishaji wakulima/

06/10/2022

"Mtu hufundishwa katika lugha anayoielewa, lengo la elimu sio mtu atoke na lugha tofauti, lengo kuu la elimu watu wapate ujuzi, waweze kutumia akili yao, wachambue, wajadili na ili wafanye vyote hivyo lazima wawe na lugha wanayoielewa,"- Richard Mabala

"K**a kuna katabaka kadogo ambako wana mazingira ya Kiingereza nyumbani kwao na kila mahali, waache waendelee na Kiingereza chao lakini walio wengi katika nchi hii hawana mazingira haya, nataka wapate elimu na wafundishwe Kiingereza k**a somo,"- Richard Mabala

"Watoto waijue Physics na Historia kwa Kiswahili, ndiyo wataelewa vizuri na mtihani utolewe kwa Kiswahili na hapa ndiyo utaona wanafunzi wetu wengi sana hawastahili kupata sifuri, wana uwezo, na akili na tutaona wanafunzi wanaojiamini"- Richard Mabala

0687 60 77 18.  Or 0623039258  +   +  πŸ₯‡
22/06/2022

0687 60 77 18. Or 0623039258

+ + πŸ₯‡

21/06/2022

Habari za MUDaHUU

Jipatie T-Shirts kwa Bei nafuu
Iwe kwa Matumizi ya Nyumbani au Biashara
Karibu Tukuhudumie vile unavyotaka wewe.

Tunaweza kuprint chochote kulingana na Mahitaji yako.


.

Habari za MUDaHUUJipatie T-Shirts kwa Bei nafuu Iwe kwa Matumizi ya Nyumbani au BiasharaKaribu Tukuhudumie vile unavyota...
21/06/2022

Habari za MUDaHUU

Jipatie T-Shirts kwa Bei nafuu
Iwe kwa Matumizi ya Nyumbani au Biashara
Karibu Tukuhudumie vile unavyotaka wewe.

Tunaweza kuprint chochote kulingana na Mahitaji yako.


.

Habari za MUDaHUUJipatie T-Shirts kwa Bei nafuu Iwe kwa Matumizi ya Nyumbani au BiasharaKaribu Tukuhudumie vile unavyota...
21/06/2022

Habari za MUDaHUU

Jipatie T-Shirts kwa Bei nafuu
Iwe kwa Matumizi ya Nyumbani au Biashara
Karibu Tukuhudumie vile unavyotaka wewe.

Tunaweza kuprint chochote kulingana na Mahitaji yako.


.

Habari ya muda huu?.   is out.Sasa unaweza kununua Mixtape ya   ilio ambatana na maarifa ya kitabu cha   kwa shilingi 70...
19/06/2022

Habari ya muda huu?.

is out.

Sasa unaweza kununua Mixtape ya ilio ambatana na maarifa ya kitabu cha kwa shilingi 7000/= ya kitanzania.

Namba ya malipo: +255653793775
Jina ni SAMWELI MSHANA
Mtando ni Tigo Pesa.

Kisha tuma nakala ya muamala ulio fanya pitia WhatsApp au jumbe za kawaida kupitia namba hio hio uliotumia pesa.

Zingatia:
Kwa sasa bidhaa zote yani Mixtape na kitabu vitapatikana kwa njia soft copy.

Asante.

Leo Juni 16 ni Siku ya Mtoto wa Afrika (Day of the African Child) ni siku inayoadhimishwa kila mwaka tangu mwaka 1991 il...
16/06/2022

Leo Juni 16 ni Siku ya Mtoto wa Afrika (Day of the African Child) ni siku inayoadhimishwa kila mwaka tangu mwaka 1991 ilipoteuliwa na Umoja wa Afrika katika kuenzi michango ya watoto walioshiriki katika maandamano katika mji wa Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976.

Siku Hii hutumiwa kujengea jamii uelewa juu ya umuhimu wa elimu bora kwa watoto.

Tarehe 16 Juni 1976, maelfu ya watoto katika nchi ya Afrika Kusini walikusanyika katika mji wa Soweto kwa ajili ya maandamano yenye malengo ya kudai elimu bora, mamia ya watoto walipigwa risasi na kuuliwa, watoto zaidi ya elfu moja walijeruhiwa.

Tarehe Hii ya 16 Juni Kila mwaka, mataifa, jumuia mbalimbali na jumuia za kimataifa pamoja na wadau mbalimbali hukusanyika pamoja kwa ajili ya kujadili fursa na changamoto zinazowakumba watoto katika bara la Afrika.

K**a ilivyo-Ada-Ubunifu-ni hali ya JuuπŸ”₯ 🀩Cc Nari Mcee
15/06/2022

K**a ilivyo-Ada-Ubunifu-ni hali ya JuuπŸ”₯

🀩
Cc Nari Mcee

Address

Airwing High Schol Banana
Dar Es Salaam
123

Telephone

0757848656

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pacha Warriors SANAA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Pacha Warriors SANAA:

Share

Category