Poetry 255

Poetry 255 A community that empowers the poets of Tanzania. Based in Dar es Salaam. We are Based in Dar es Salaam. We learn! Share!

and Impact!
'We are the Legacy'
Instagram
twitter
youtube@poetry255
Clubhouse: Poetry 255 community

28/03/2026

Some Gentle Reminders about the Dos & Don'ts of Participating in our Platform [final video. Please share it with as many people as you can 🙏. Thank you, and welcome to - we hope you have a pleasant and enriching experience.
:
Mambo machache ya kukumbushana ya kuzingatia na yale ya kuepuka tunapotaka kushiriki katika jukwaa letu [video ya mwisho]. Tafadhali share na watu wengi uwezavyo 🙏. Asante, na karibu Poetry255 - tunatumai utakuwa na wakati mzuri na wenye kuelimisha."

28/03/2026

Some Gentle Reminders about the Dos & Don'ts of Participating in our Platform [video 1 of 3. Please share it with as many people as you can 🙏. Thank you, and welcome to - we hope you have a pleasant and enriching experience.
:
Mambo wachache ya kukumbushana ya kuzingatia na yale ya kuepuka tunapotaka kushiriki katika jukwaa letu [video ya 1 kati ya 3]. Tafadhali share na watu wengi uwezavyo 🙏. Asante, na karibu Poetry255 - tunatumai utakuwa na wakati mzuri na wenye kuelimisha."

To everyone who stepped into the  for “What Now”: THANK YOU! A show is just a rehearsal without an audience that knows h...
05/03/2026

To everyone who stepped into the for “What Now”: THANK YOU! A show is just a rehearsal without an audience that knows how to listen, how to snap, and how to feel.

Your energy turned “What Now” into an experience we won’t soon forget. Thank you for showing up for local art and for being the heartbeat of the poetry255 community. We see you, we appreciate you, and we can’t wait to do it again.

Swipe through and tag somebody you see! ➡️

📸:


Kwa kila aliyefika kwa ajili ya tukio letu la kiushairi ndani ya mada - “Nini Kifuatacho?”: tunasema ASANTE SANA! Onesho huwa ni zoezi tu, bila kuwa na hadhira inayojua kusikiliza, kuchapa vidole, na kuhisi.

Eneji yenu ilibadilisha “Kifuatacho?” kuwa tukio ambao hatutasahau. Asanteni kwa kuunga mkono sanaa ya nyumbani na kwa kuwa sehemu muhimu ya familia ya poetry255. Tunawaona nyote, tunawathamini, na tunasubiri kwa hamu kukutana tena.

Pangusa kuona picha, na mtag mtu unayemjua! ➡️

📸: ufundi wa

A massive thank you to our performers for leaving it all on the stage last week. “What Now?” was a question, and your vo...
03/03/2026

A massive thank you to our performers for leaving it all on the stage last week. “What Now?” was a question, and your voices provided the most powerful answers.

Thank you for your vulnerability, your craft and for reminding us why we hold this space. You gave us more than a performance; you gave us a piece of yourselves.

📸: Capturing the magic


Asante nyingi kwa washairi wetu kwa kutiririsha kila kitu jukwaani wiki iliyopita. “Nini Kifuatacho?” ndiyo lilikuwa swali, na sauti zenu zilitoa majibu yenye uzito zaidi.

Asanteni kwa uwazi wenu wa kihisia, kwa ubunifu wenu, na kwa kutukumbusha kwa nini tuna nafasi hii. Hamkutupa tu onesho la nguvu; bali na sehemu ya nafsi zenu pia.

📸: Matukio yamenaswa kwa ustadi wa

To every soul who filled the seats, every poet who bared their heart, and everyone who joined the conversation us yester...
27/02/2026

To every soul who filled the seats, every poet who bared their heart, and everyone who joined the conversation us yesterday, thank you for showing up and making the day memorable!
📣A massive shoutout to our partners at . Thank you for believing in the power of the spoken word and for providing the perfect space for our stories to live and breathe. We couldn’t have asked for a better home for this journey.
🎤To our performers: You didn’t just take the stage; you owned it. Thank you for showing us exactly “what now” looks like through your lens.
🎭To our audience: The energy was unmatched. Thank you for listening, for snapping, and for being part of the poetry255 family. We appreciate everyone who took the time to attend and donate to our cause! ❤️
Kwa kila aliyechukua siti, kila mshairi aliyefungua moyo wake, na kila aliyejiunga nasi kwenye mazungumzo siku ya jana, tunasema asanteni kwa kujitokeza na kuifanya siku kuwa isiyosahaulika!

📣 Shukrani za kipekee kwa washirika wetu . Asanteni kwa kuamini katika nguvu ya mashairi na kwa kutupatia nafasi bora ambayo simulizi zetu zinaweza kuishi. Tunashukuru kuwa na mahali pazuri kwa safari yetu.

🎤 Kwa washairi wetu: Hamkulipanda tu jukwaa, mlilitawala. Asanteni kwa kutuonesha“nini (hasa) kifuatacho” kwa mtazamo wenu.

🎭 Na kwa hadhira yetu, masapota wetu, mashabiki wetu: Hakika vaibu na hamasa yenu vilikuwa vya kipekee, visivyoweza kufananishwa. Asanteni kwa kusikiliza, kwa kupiga makofi, kushangilia, na kuwa sehemu ya familia kubwa ya poetry255. Tunawashukuru wote mliotenga muda wenu kuhudhuria, na kuchangia katika lengo letu! ❤️

We are unveiling the second lineup of poets who will be taking the stage tomorrow! Our poets are ready to challenge you,...
25/02/2026

We are unveiling the second lineup of poets who will be taking the stage tomorrow! Our poets are ready to challenge you, stir your emotions and leave you reflecting long after the microphone is set down.
Join us next week as it all unfolds.
📆 Date: February 26, 2026
📍 Venue: Goethe-Institut
⏱️ Time: 18:00 – 22:00
The stage is set. The voices are ready. The answer to “What’s next?” begins here.
Post created by:
Tunashusha orodha ya pili ya washairi watakaotulaki jukwaani Alhamisi ijayo. Washairi wetu wako tayari kuku chalenji, kugusa hisia zako, na kukuacha na tafakuri muda mrefu baada ya kipaza kushushwa.

Jiunge nasi wiki ijayo ambapo yote yatajiri.

📆 Siku gani: Februari 26, 2026
📍 Wapi: Goethe-Institut
⏱️ Muda: 18:00 – 22:00

Jukwaa limeshaandaliwa. Sauti ziko tayari. Jibu la “Ni nini kifuatacho?” linaanzia hapa.

Post imeandaliwa na:

THE LINEUP IS HERE. 🎤✨The question has been asked: “What Now?” and these voices are here to provide the answer. We are b...
20/02/2026

THE LINEUP IS HERE. 🎤✨
The question has been asked: “What Now?” and these voices are here to provide the answer. We are beyond thrilled to announce the first lineup of the incredible performers joining us for our upcoming showcase! See a familiar face? Come support them next week as they take the stage on.
📆When: February 26, 2026
📍Where: Goethe Institut
⏱️Time: 18:00 - 22:00
See you there!
Post created by:


WASHAIRI WETU WAMEWASILI. 🎤✨

Swali limeulizwa: “Nini kifuatacho?” na sauti hizi ziko tayari kutoa majibu.
Tunafuraha kubwa kutangaza orodha ya kwanza ya washairi watakaojiunga nasi katika onyesho letu Alhamisi ijayo!

Unaona sura unayoifahamu? Njoo uwaunge mkono wiki ijayo watakapokuwa wakipanda jukwaani.

jukwaani.

📆 Siku gani: Februari 26, 2026
📍 Wapi: Goethe-Institut
⏱️ Muda: Saa 12 jioni - Saa 4 usiku

Tukutane hapo!

Post imetengenezwa na:

The question isn’t just where we’ve been, but WHAT NOW? 🎤Join us for an evening of rhythm, rhyme, and reflection at the ...
18/02/2026

The question isn’t just where we’ve been, but WHAT NOW? 🎤
Join us for an evening of rhythm, rhyme, and reflection at the next Poetry 255 event. We’re diving deep into the spoken word with our host, W***y Nkya, and we want you in the room.
Whether you’re a seasoned poet or just love the vibe, this is where the conversation continues. When: February 26, 2026
Where: Goethe Institut
Time: 18:00 - 22:00
See you there!

Post created by:

Swali si tu, tumetoka wapi, bali NINI KIFUATACHO? 🎤

Jiunge nasi katika jioni ya midundo, vina na tafakuri katika event yetu iliyo mbioni ya Poetry 255. Tunaingia kwa kina katika sanaa ya spoken word tukiwa na nahodha wetu, W***y Nkya, na tunataka wewe uwe sehemu ya hadhira!

Uwe ni mshairi mwenye uzoefu, au mtu unayependa tu mashairi na vaibu letu, hapa ndipo soga linapoendelea.

Siku gani: Februari 26, 2026
Wapi: Goethe-Institut
Muda: Saa 12 jioni – Saa 4 usiku
Tukutane hapo!

Post imeandaliwa na:
whatnow

Whether you’re head-over-heels, nursing a broken heart, or currently in a “it’s complicated” relationship with love, we ...
12/02/2026

Whether you’re head-over-heels, nursing a broken heart, or currently in a “it’s complicated” relationship with love, we want to see it! 💌
We are officially opening the floor for all your creative pieces! If it touches on the messy, beautiful, or chaotic spectrum of love, it has a home here.
How to join the fun:
📆Dates: Post your work on February 13th, 14th, or 15th.
🏷️Tag Us: Mention in your Instagram post or story.
✨The Perk: We’ll be reposting your pieces to share the love with our entire community!
Dust off those old notebooks or start something fresh tonight. We can’t wait to see what you’ve got! ❤️ Don’t forget to tag a friend who you think should submit something!
Poster created by:

Iwe umezama mazima kwenye penzi, au unauguza vidonda vya moyo, au uko kwenye uhusiano “usiojipata” na mapenzi, tunataka kuona vyote! 💌

Tunafungua rasmi jukwaa kupokea kazi zenu bunifu! K**a kazi inagusa aina yoyote ya mapenzi:- mapenzi mvurugano, mapenzi matamu, au yenye mhaho, basi hapa ni nyumbani pake.

Jinsi ya kushiriki:
* Tarehe: Chapisha kazi yako Instagram (iwe ya ushairi, utenzi, nathari, au hadithi fupi) kwenye tarehe 13, 14, au 15 Februari.
* Tutag: katika chapisho hilo (iwe umelipost kwenye ukurasa wako au kwenye stori zako. We tutag tu)
* Unachopata: Tutazirepost kazi zenu kusambaza upendo kwa jumuiya yetu nzima ya Poetry255!

Futa vumbi notebook zako, au andika kitu kipya usiku wa leo. Tuna hamu kubwa ya kuona mlicho nacho! ❤️

Usisahau kumtag rafiki ambaye unadhani anafaa kuwasilisha kazi yake pia!
Post imetengenezwa na:

WHAT NOW?A Poetry 255 Event is coming your way!✨We welcome you to an evening of bold performances exploring change, tran...
01/02/2026

WHAT NOW?
A Poetry 255 Event is coming your way!✨
We welcome you to an evening of bold performances exploring change, transition, and what comes next.
📍 Goethe-Institut
đź“… 26th February 2026
⏰ 6:00 – 10:00 PM
🎟️ FREE ENTRY
Come listen. Come feel. Come ask yourself….what now?!

⚠️ Kindly note: some performances may contain explicit content.
*Snacks and hot drinks will be available!
🔗Don’t forget to register for attendance on the link in bio!
Designed by

KIFUATACHO?

Kaa mkao wa kula, tukikuletea tukio hili la kusisimua la kiushairi kutoka Poetry255!

Tunakukaribisha kujiunga nasi kwenye jioni ya maonyesho ya ushairi yanayogusia; mabadiliko, hali ya mpito, na yote yajayo.

Eneo:📍 Goethe-Institut
Siku: đź“… Alhamisi, Februari 26, 2026
Muda: ⏰ Saa 12:00 jioni - 4:00 Usiku
🎟️ HAKUNA KIINGILIO

Njoo usikilize. Ujifunze. Ujiulize….nini kifuatacho?!

⚠️ Tafadhali fahamu kuwa: baadhi ya kazi zinazowasilishwa zinaweza kutumia lugha ya watu wazima.

*Asusa pamoja na vinywaji vya moto vitakuwepo!

đź”—Usisahau kujiandikisha kupitia kiungo (link) kwenye wasifu wetu!

Chapisho limetengenezwa na

Good news, poets! ✍️ Due to popular demand, we have extended the deadline for submissions to our poetry event. You now h...
28/01/2026

Good news, poets! ✍️ Due to popular demand, we have extended the deadline for submissions to our poetry event. You now have more time to polish your verses and share your voice.

📌 Reminder: Please ensure your work is original and follows all submission guidelines. Don't miss out on this second chance!

New Deadline: [Friday, Jan 30th]
Check our previous posts and stories for all the submission guidelines.

All the best!
__________________

Habari njema, washairi! ✍️ Kutokana na maombi mengi, tumeongeza muda wa kutuma kazi zako kwa ajili ya kushiriki katika tukio letu la ushairi. Sasa una muda zaidi wa kuboresha beti zako na kupaza sauti yako.

📌 Kumbuka: Tafadhali hakikisha kazi unayotuma ni ya kwako na inazingatia miongozo yote ya uwasilishaji. Usipitwe na nafasi hii ya pili!

Tarehe Mpya ya Kuhutimisha Upokeaji Maombi: [Ijumaa, Januari 30]

Fuatilia machapisho yetu yaliyopita na story zetu kuona miongozo yote ya uwasiliahaji.

Kila la Kheri!

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Poetry 255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share