Mwanaharakatii

Mwanaharakatii Manaharakatii

18/03/2020

Mambo mengi sana yanazungumzwa kuhusu huu ugonjwa au maambukizo ya virusi vya corona, China na Marekani wanatuhumiana kuwa mwenzake kuvitengeneza virusi vya corona,
Ukweli uko wapi? Sisi hatutaki kujua nani katengeneza tunataka tiba na kinga km mlitegeneza harafu mkashindwa kutengeneza kinga au tiba hii inamaanisha aliyetengeneza hakujua km taifa lake litakuwa na janga hili sasa wanahaha kuinusuru dunia.
Kwa mawazo yangu finu na yasiyo timamu, ni kweli wamekosa tiba au wanataka tupungue duniani vile tumekuwa wengi?
Sitaki kuamini km kihama kimekaribia km baadhi ya watu wanavyosema japo mambo km haya yameandikwa na yalitabiliwa km magonjwa yasiyo na tiba, baba kuzaa na binti yake, mama kuolewa na kijana wake, mivurugano kati ya taifa na taifa kabila na kabila, jamaa na jamaa, ndugu kwa ndugu nk,
Lkn hii ni dalili tuu na hayana budi kutokea.
Bado mambo machache tuu yalisalia km vile mvua kubwa ya mawe mawe makubwa mfano wa talanta tetemeko kubwa ambalo halijawahi kutokea toka kuumbwa kwa misingi ya dunia hapo ndio visiwa vitahana kutoka shehemu moja kwenda nyingine,Milima na vilima navyo vitahana, na kabla ya hapo mambo mengi yatokea.

15/02/2020
15/02/2020

😄😄😄😄😄

Msaliti ni mtu wa namna gani?Je!Ni yule anayesema ukweli juu ya maovu yako?Au ni yule anayesema uongo juu ya jambo lako ...
03/02/2020

Msaliti ni mtu wa namna gani?
Je!
Ni yule anayesema ukweli juu ya maovu yako?
Au ni yule anayesema uongo juu ya jambo lako ambalo anaona utafaidika
Au huyu tumuite msema kweli juu ya maovu yako,
Au tumuite mnafiki juu ya mambo yako yanayakupa faida,
Nini cha kumfanya mtu huyu je? Anastahili adhabu kwa kuwa kuonyesha msaliti na mnafiki,
Au ana stahili pongezi kwakufichua maovu yako,

Ujinga ni kutumwa kufanya ujinga na ukija kwangu nitakuona mjinga tuu
03/02/2020

Ujinga ni kutumwa kufanya ujinga na ukija kwangu nitakuona mjinga tuu

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanaharakatii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Mwanaharakatii:

Share