Manager Mnene

Manager Mnene > Offical Manager
> Business Man
> [email protected]

20/05/2026

πŸ˜… Ziache hizi picha za nyuma ya pazia (Behind the Scenes) zibaki huko huko! Kumbe yale mambo ya kuruka hewani na mapigano ya hatari kwenye muvi za Kichina huwa ni sarakasi tupu za kamba na watu wa bluu nyuma yao!

20/05/2026

Huu ndio utofauti wa movie za wenzetu na zetuβ€”uwekezaji wa nguvu na teknolojia ya hali ya juu. Unaipea maksi ngapi filamu hii kwa ufundi huu? πŸ’―
​

19/05/2026

Tazama jinsi maajabu ya muvi yanavyotengenezwa kwa kutumia maroboti, mifumo ya mashine, na ubunifu wa hali ya juu wa kibinaadamu. Yale majengo yanayovunjwa na mikia kumbe ni vitoi tu vya mezani! πŸ—οΈπŸš—
​Nini kimekushtua zaidi kwenye hii video? Toa maoni yako hapa chini! πŸ‘‡
​ ​

19/05/2026

Haha hapana jamani, huu urefu sasa umepitiliza! πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚ Mbona k**a amezaliwa kwenye movie za kifalsafa? Ukiangalia kwa makini unaweza ukadhani ni vichekesho au filter, lakini ndio uhalisia wenyewe.
TrendingVibe

18/05/2026

😲 Weee mambo ni moto! Kumbe yale majoka ya kutisha na mamiloo tunayoyaona kwenye muvi za Hollywood huwa yanatengenezwa hivi? 🐍🐊

18/05/2026

Dada zangu mnaopenda Wakorea na kuwasifia "Hadi handsome!"... ebu mje muone maajabu ya make-up hapa! πŸ˜­πŸ˜‚ Kumbe siri ni maandalizi tu, tukiwekwa sawa hata sisi tuna’gaa hivi! Unaanzaje kumwamini mtu kwenye movie sasa? πŸƒβ€β™‚οΈπŸ’¨

17/05/2026

Huku nyuma ya pazia (Behind the Scenes) ndiko uchawi wa filamu unakotengenezwa! πŸ”₯🎬 Watu wanaona matokeo mazuri kwenye TV, lakini kazi inayofanyika hapa nyuma sio ya mchezo. Unadhani hii itakuwa muvi ya namna gani? Dondosha comment yako hapa chini! πŸ‘‡πŸΎ

16/05/2026

"Wazee wa Predator na Arnold Schwarzenegger (Anodi) wako wapi🀣🀣🀣? Hapa ndipo uchawi wa sinema unapofanyika. Picha za nyuma ya pazia zikionyesha jinsi muvi hii ya kihistoria ilivyotengenezwa kwenye misitu.
​ ​ ​ (Au ) ​ ​ ​
​

15/05/2026

"Kumbe mambo ya Hollywood ndio yako hivi! Unadhani uko baharini kumbe ni kwenye beseni tu la maji! πŸ˜‚ Dunia ya ufundi hii."🧠🌊 "

14/05/2026

"Kumbe siri ndio hii! 🀣 Yaani tulikuwa tunawaona wanapaa kwenye TV kumbe ni kamba tu? Kweli Wachina ni habari nyingine."

13/05/2026

"Nimeshtuka! Kumbe huyu King Kong ni mashine tu? Mimi nilijua ni mnyama wa kweli aliyefunzwa! πŸ˜‚ Wewe ulikuwa unajua au ni mimi peke yangu niliechelewa? Comment hapo chini tujue! πŸ‘‡πŸŽ¬ "

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manager Mnene posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Manager Mnene:

Share