Maajabu Ya Movie

Maajabu Ya Movie "Kila filamu ina siri yake. Gundua ulimwengu wa maajabu na burudani isiyo na kikomo nasi. Usipitwe na chochote!

10/07/2026

Unajua kile kikosi cha magari ya kivita unachokiona kwenye movie kinarusha mivumbi na kulipuka? Basi kumbe mara nyingi ni magari ya midoli na mchanga wa duka tu! 🤯
​Hawa jamaa wanatupanga sana au wanastahili tuzo zote? Angalia hii Behind the Scenes kisha niambie kwenye comment—ulikuwa unajua mchezo huu? 👇🔥

09/07/2026

Sisi tunasema "Aiseee hii movie ni hatari!", kumbe ukweli wa mambo nyuma ya kamera ni huu hapa! 👀🔥
​Mapinduzi ya kiteknolojia na ubunifu kwenye tasnia ya filamu ni makubwa sana. Unampa asilimia ngapi huyu fundi aliyetengeneza hii scene? 🤯👇

01/07/2026

😅 Kumbe maisha ni maigizo na uongo mwingi! Sisi tangu utotoni tunajua Anaconda ni bonge la nyoka wa kutisha anayemega watu kule Amazon... Kumbe ni maroboti na waya tupu! 🤖🐍
​Wabongo mnaoogopa nyoka hata wa kwenye picha, njooni muone wazungu wanavyotupiga kamba! 😂 Hapa kuna mtu alikuwa analia kabisa akidhani ni kweli?

30/06/2026

Kumbe zile mbwembwe zote hewani ni nguvu ya kamba tu! 😭💀
​Hawa jamaa kweli wanaweza kutengeneza kitu kikakaa kiuhalisia sana. Wewe ungekubali kuning'inizwa hivi kwa ajili ya movie?

28/06/2026

K**a ulikua unajua wale mapapa wanaoshambulia watu kwenye movie za kutisha k**a JAWS au Deep Blue Sea ni mapapa halisi wa baharini, basi ukweli ndio huu hapa! Hizi zote ni robot na mashine za kisasa (Animatronics) zinazotengenezwa studio kurahisisha kazi na kulinda usalama wa waigizaji.
Unakumbuka movie gani ya papa ilikunyima usingizi utotoni? Dondosha comment yako hapo chini! 👇👇

25/06/2026

Ukiwa unaangalia muvi unaweza kudhani ni kweli, kumbe ni kijisanamu na kigoti cha kijani tu nyuma yake! 😂 Screen ndio kila kitu jamani. 🤫🎥"

24/06/2026

🎭 Heshima ya pekee iende kwa ma-cameraman wote duniani! 🙌Unafikiri ni muvi gani ya kibongo inayohitaji ubunifu mkubwa hivi sasa? Lete maoni yako! 🇹🇿👇

23/06/2026

Swali la leo: Ukiona scene ya namna hii kwenye movie, unajua huwa unadhani ni mavifaru ya kweli yameenda vitani? 😂🍿

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maajabu Ya Movie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Maajabu Ya Movie:

Shortcuts

Share