15/07/2025
Mwaka 2024 uliashiria historia kwa KokoTEN.Studio kushiriki kwa mara ya kwanza katika FNB Joburg Art Fair, ikiwa taasisi ya kwanza inayojishughulisha na sanaa kutoka Tanzania kushiriki kwenye maonesho haya makubwa ya kimataifa.
Ushiriki huu uliwezekana kupitia msaada wa Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania, pamoja na Flora Valeur — Mkurugenzi wa Alliance Française Dar es Salaam anayemaliza muda wake.
Ninapenda kuchukua nafasi hii kusema *Asante sana* kwa juhudi zako, maono na ndoto zako katika kusaidia ukuaji wa sanaa ya Tanzania. Mchango wako wa kitaaluma na fikra zako umetoa mwanga mkubwa katika tasnia hii.
Asante na kila la heri katika hatua zako zinazofuata.
—
The year 2024 marked a historic moment for .studio as we participated for the first time in the FNB Joburg Art Fair ( ) — becoming the first Tanzania-based arts institution to take part in this international platform.
This milestone was made possible through the support of the Embassy of France in Tanzania and Flora Valeur, the outgoing Director of Alliance Française Dar es Salaam ( ) ( )
I’d like to take this moment to say THANK YOU for your vision, dedication, and belief in the growth of Tanzanian art. Your contribution — through ideas, leadership, and commitment — has left a meaningful impact on the cultural sector.
Thank you, and all the best in your next chapter.