02/01/2023
HitMaker wa ngoma ya Bia Tamu na Dear Ex amewajibu mashabiki kwenye comment za post zake za Instagram baada ya kusema alifuatwa na msanii huyo kumsaini WCB.
Marioo amekanusha taarifa hiyo kwa kumjibu shabiki yake Lukanga Stewart akiandika "Hakuna kitu ka hiyo jombaa"
Kisha akamjibu DC wa Instagram Mwijaku kwa kuandika "Hahahah mkubwa kateleza mfupa hauna ulimi".
Marioo ametoa majibu hayo baada ya Mwijaku na Lukanga kujua ukweli kuhusu kutaka kusainiwa na WCB.
Vuta kushoto kuona Marioo akiwajibu kwenye post zake za Instagram.