17/08/2023
Karibu picha Nzuri za Mbao zenye Mvuto na zakudumu
SIFA ZA PICHA MBAO
📌 Picha mbao ni water proof Materials hivo haipitishi Maji kwa njia yoyote na Wala hailoi kabisa na maji
📌Picha Mbao haina kioo hivyo ni ngumu Sana kupasuka haswa k**a una Watoto watundu hii ni kiboko yao
📌Ina Materials za glitter ( Mng’ao ) hivyo Picha inakuwa inavutia Mda wote. Popote utaweka mfano Sebuleni,chumbani na hata Ofisini
GHARAMA ZA PICHA MBAO
A5 - 8,000
A4 - 13,000
A3 - 19,000
A2 - 50,000
A1 - 90,000
📌Tunatoa ushauri wowote Bure juu ya Picha Mbao
WASILIANA NASI KWA WHATSAPP
☎️ : 0622142532
📍Tunapatikana Ubungo External, Dar es salaam