Saturday Talk

Saturday Talk We delight in Knowledge, Fellowship and Entertainment

PICHA YA PAMOJA Mtag unaemfahamu hapo!! 😋😋
01/12/2023

PICHA YA PAMOJA

Mtag unaemfahamu hapo!!
😋😋

Waakilishi wa kamati ya maandalizi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wageni waalikwa.  atuganile
01/12/2023

Waakilishi wa kamati ya maandalizi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wageni waalikwa.

atuganile

Kwa niaba ya kamati ya maandalizi kiongozi wa English Service  akisaidiwa na  waliongoza zoezi la utoaji vyeti vya shukr...
01/12/2023

Kwa niaba ya kamati ya maandalizi kiongozi wa English Service akisaidiwa na waliongoza zoezi la utoaji vyeti vya shukrani kwa wageni wa waalikwa.

S W I P E LEFT ←

Mjadala ulipamba moto kwa maswali na majibu kupitia moderator mchungaji peter msilu  hakika ilifaana sana kushiriki pamo...
01/12/2023

Mjadala ulipamba moto kwa maswali na majibu kupitia moderator mchungaji peter msilu hakika ilifaana sana kushiriki pamoja nasi siku iyo.

Mtaalamu wa mikopo na mitaji (Joseph John) akijibu swali kwa kufafanua vizuri.
01/12/2023

Mtaalamu wa mikopo na mitaji (Joseph John) akijibu swali kwa kufafanua vizuri.

Miongoni mwa washiriki wakiuliza maswali kipindi cha maswali na majibu ndani ya Saturday talk kwa wataalamu husika.
01/12/2023

Miongoni mwa washiriki wakiuliza maswali kipindi cha maswali na majibu ndani ya Saturday talk kwa wataalamu husika.

Waakilishi wa  wakifuatilia uwasilishwaji wa mada siku ya tukio la Saturday Talk.
01/12/2023

Waakilishi wa wakifuatilia uwasilishwaji wa mada siku ya tukio la Saturday Talk.

Mtaalamu wa masuala ya uendelezaji biashara akifundisha jambo kwenye mkutano wa Saturday Talk mapema jumapili ya tarehe ...
01/12/2023

Mtaalamu wa masuala ya uendelezaji biashara akifundisha jambo kwenye mkutano wa Saturday Talk mapema jumapili ya tarehe 26 November 2023.

Nani anataka kukopa? Washiriki wakainua mikono juu. See you next Saturday talk.
30/11/2023

Nani anataka kukopa? Washiriki wakainua mikono juu. See you next Saturday talk.

TAARIFA Kutokana na changamoto za kiufundi zilisobabisha kupotea hewnani wakati tulipokuwa mubashara kupitia Insta live....
26/11/2023

TAARIFA

Kutokana na changamoto za kiufundi zilisobabisha kupotea hewnani wakati tulipokuwa mubashara kupitia Insta live. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.

Sambamba na ilo tunaomba utembelee youtube chaneli yetu uweze kuona muendelezo wake.

Tunashukuru wewe ambae umekuwa nasi wiki yote hadi tulipofika tamati ya event yetu ASANTE sana karibu next Saturday talk.

Asante

Imetolewa na;
Kamati ya mawasiliano



 Media Tour leo at  Karibu sana kesho mapema saa 8 mchana
25/11/2023

Media Tour leo at

Karibu sana kesho mapema saa 8 mchana

Tune in Times FM saa 2 asubuhi na Mtawala Radio  na   tutakuwa hewani leo. 🎊🎊🎊🎊🎊🎊
25/11/2023

Tune in Times FM saa 2 asubuhi na Mtawala Radio na tutakuwa hewani leo.

🎊🎊🎊🎊🎊🎊

Address

67504
Dar Es Salaam

Opening Hours

09:00 - 17:00

Telephone

+255659763593

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Saturday Talk posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Saturday Talk:

Share