05/08/2026
*Location: Mtaa- Mtambani, Kata - Mapinga-Bagamoyo Road*
Eneo liko karibu na Barabara ya Lami (Bagamoyo Road), Jirani na Kituo cha Mafuta cha Total Energies Mapinga... Barabara ya Mtaa imejengwa kwa kiwango cha Lami. Huduma zote muhimu zipo kwa uhakika.
Price/Sqm = Tsh.70,000.
Mteja anapata Hati kwa jina lake baada ya kukamilisha malipo.