Wikiendi LIVE

Wikiendi LIVE WIKIENDI LIVE! is a unique and vibrant live music event in Dar es Salaam dedicated to showcasing tra

29/08/2026

Wikiendi Live inakaribia! ๐ŸŽถโœจ

๐Ÿ“ Nafasi Art Space
๐Ÿ“… 25โ€“26 Septemba 2026

Jiandae kwa siku mbili za kusherehekea sanaa, ubunifu, muziki na burudani kwa kila mtu! ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Kutakuwa na:
๐ŸŽจ Maonesho ya sanaa
๐ŸŽฎ Michezo kwa watoto na watu wazima
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘งโ€๐Ÿ‘ฆ Shughuli za familia
๐ŸŽถ Muziki na live performances
โœจ Na burudani nyingine nyingi

Njoo na marafiki, familia au mtu wako wa karibu feel at home! ๐Ÿกโค๏ธ

๐Ÿ“ฒ Ratiba kamili pamoja na orodha ya wasanii watakaotumbuiza zinapatikana kwenye ukurasa wa Wikiendi LIVE.

Usikose Wikiendi Live 2026!
25โ€“26 Septemba | Nafasi Art Space ๐ŸŽถโœจ

**********************************

ONLY ONE MONTH TO GO! ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽ‰

Wikiendi Live is almost here! ๐ŸŽถโœจ

๐Ÿ“ NAFASI ART SPACE
๐Ÿ“… 25โ€“26 SEPTEMBER 2026

Get ready for two full days of art, creativity, music, games and entertainment for everyone! ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Expect:
๐ŸŽจ Art Fair & Art Exhibitions
๐ŸŽฎ Games for Kids & Adults
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘งโ€๐Ÿ‘ฆ Fun Family Activities
๐ŸŽค Live Music & Performances
โœจ And plenty more entertainment!

Come with your friends, bring your family, or simply come as you are feel at home! ๐Ÿกโค๏ธ

๐Ÿ“ฒ The full programme and lineup of performing artists are available on Wikiendi LIVE.

Donโ€™t miss Wikiendi Live 2026!
25โ€“26 SEPTEMBER | NAFASI ART SPACE ๐ŸŽถโœจ

โ›“๏ธโ€๐Ÿ’ฅFree Entry but Pay as you can

28/08/2026

๐ŸŽถ Wikiendi Live Vibes with Prissybilly | Throwback! ๐ŸŽถ

Throwing it back to the amazing vibes we shared last year! ๐Ÿ”ฅ This year, weโ€™re bringing that same energy back with something special Kinyumbani Nyumbani. ๐Ÿกโœจ

Stay connected and be part of the experience! You can join us as a vendor, partner, sponsor, or donor and contribute whatever you can to make this celebration even bigger.

Come experience new vibes, celebrate our culture, and enjoy Wikiendi Live 2026! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 25โ€“26 September 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Pay As You Can: 2K | 5K | 10K+

******

๐ŸŽถ Wikiendi Live Vibes with Prissybilly | Throwback! ๐ŸŽถ

Tunarudi kwenye kumbukumbu za vibes kali tulizoshirikiana mwaka jana! ๐Ÿ”ฅ Mwaka huu tunarudi tena na nguvu zilezile, lakini safari hii tukiwa na theme maalum Kinyumbani Nyumbani. ๐Ÿกโœจ

Endelea kuwa nasi na uwe sehemu ya experience hii! Unaweza kushiriki k**a vendor, partner, sponsor au donor, na kuchangia chochote unachoweza ili kufanikisha sherehe hii.

Njoo upate vibes mpya, tusherehekee utamaduni wetu na tufurahie Wikiendi Live 2026! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 25โ€“26 Septemba 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Lipa Uwezavyo: 2K | 5K | 10K+

28/08/2026

๐ŸŽถ Wikiendi Live Vibes with AFROMOB | Throwback! ๐ŸŽถ

Throwing it back to the amazing vibes we shared last year! ๐Ÿ”ฅ This year, weโ€™re bringing that same energy back with something special Kinyumbani Nyumbani. ๐Ÿกโœจ

Stay connected and be part of the experience! You can join us as a vendor, partner, sponsor, or donor and contribute whatever you can to make this celebration even bigger.

Come experience new vibes, celebrate our culture, and enjoy Wikiendi Live 2026! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 25โ€“26 September 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Pay As You Can: 2K | 5K | 10K+

โธป

๐ŸŽถ Wikiendi Live Vibes with AFROMOB | Throwback! ๐ŸŽถ

Tunarudi kwenye kumbukumbu za vibes kali tulizoshirikiana mwaka jana! ๐Ÿ”ฅ Mwaka huu tunarudi tena na nguvu zilezile, lakini safari hii tukiwa na theme maalum Kinyumbani Nyumbani. ๐Ÿกโœจ

Endelea kuwa nasi na uwe sehemu ya experience hii! Unaweza kushiriki k**a vendor, partner, sponsor au donor, na kuchangia chochote unachoweza ili kufanikisha sherehe hii.

Njoo upate vibes mpya, tusherehekee utamaduni wetu na tufurahie Wikiendi Live 2026! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 25โ€“26 Septemba 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Lipa Uwezavyo: 2K | 5K | 10K+

28/08/2026
27/08/2026

๐ŸŽถ Wikiendi Live Vibes with Mshamba Bishoo | Throwback! ๐ŸŽถ

Throwing it back to the amazing vibes we shared last year! ๐Ÿ”ฅ This year, weโ€™re bringing that same energy back with something special โ€” Kinyumbani Nyumbani. ๐Ÿกโœจ

Stay connected and be part of the experience! You can join us as a vendor, partner, sponsor, or donor and contribute whatever you can to make this celebration even bigger.

Come experience new vibes, celebrate our culture, and enjoy Wikiendi Live 2026! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 25โ€“26 September 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Pay As You Can: 2K | 5K | 10K+

โธป

๐ŸŽถ Wikiendi Live Vibes with Mshamba Bishoo | Throwback! ๐ŸŽถ

Tunarudi kwenye kumbukumbu za vibes kali tulizoshirikiana mwaka jana! ๐Ÿ”ฅ Mwaka huu tunarudi tena na nguvu zilezile, lakini safari hii tukiwa na theme maalum โ€” Kinyumbani Nyumbani. ๐Ÿกโœจ

Endelea kuwa nasi na uwe sehemu ya experience hii! Unaweza kushiriki k**a vendor, partner, sponsor au donor, na kuchangia chochote unachoweza ili kufanikisha sherehe hii.

Njoo upate vibes mpya, tusherehekee utamaduni wetu na tufurahie Wikiendi Live 2026! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“… 25โ€“26 Septemba 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Lipa Uwezavyo: 2K | 5K | 10K+

27/08/2026

๐ŸŽถ Wikiendi Live 2026 | ๐ŸŽถ

Experience the powerful energy of LANDARA โ€“ Sandaw(e) Cultural Ensemble, bringing traditional movement, music, and cultural expression to the Wikiendi Live stage. ๐ŸŒโœจ

๐Ÿ“… 25โ€“26 September 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Pay As You Can: 2K | 5K | 10K+

Come celebrate Tanzanian culture through rhythm, movement, and tradition. Donโ€™t miss the experience! ๐Ÿ”ฅ

โธป

๐ŸŽถ Wikiendi Live 2026 | ๐ŸŽถ

Karibuni kushuhudia LANDARA โ€“ Sandaw(e) Cultural Ensemble, wakileta nguvu na uzuri wa muziki, mwendo na sanaa za kitamaduni kwenye jukwaa la Wikiendi Live. ๐ŸŒโœจ

๐Ÿ“… 25โ€“26 Septemba 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽŸ๏ธ Lipa Uwezavyo: 2K | 5K | 10K+

Njoo tusherehekee utamaduni wa Tanzania kupitia midundo, harakati na sanaa za asili. Usikose! ๐Ÿ”ฅ

SandawCulturalEnsemble NafasiArtSpace TanzanianCulture

26/08/2026

๐ŸŽถ WIKIENDI LIVE 2026 | OFFICIAL PARTNER ๐ŸŽถ

Weโ€™re excited to introduce Sautii | Media Agency Tz as an official partner of Wikiendi Live 2026! ๐Ÿค๐Ÿพโœจ

Sauti Media has been part of the production of our Wikiendi Live promotional jingle, helping bring the sound and spirit of this yearโ€™s festival to life. ๐ŸŽถ๐Ÿ”ฅ

Stay connected and donโ€™t miss the experience!

๐Ÿ“… 25th & 26th September 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space

******

๐ŸŽถ WIKIENDI LIVE 2026 | PARTNER RASMI ๐ŸŽถ

Tunafuraha kumtambulisha Sautii | Media Agency Tz k**a mmoja wa washirika rasmi wa Wikiendi Live 2026! ๐Ÿค๐Ÿพโœจ

Sauti Media imekuwa sehemu ya utengenezaji wa jingle ya Wikiendi Live, wakisaidia kuleta sauti na vibe ya tamasha letu la mwaka huu. ๐ŸŽถ๐Ÿ”ฅ

Endelea kuwa nasi na usikose!

๐Ÿ“… 25 & 26 Septemba 2026
๐Ÿ“ Nafasi Art Space

26/08/2026

Umebaki Mwezi mmoja tuu!!

Wa kukuletea Wikiendi Live!! Karibu Nafasi Art Space tarehe 25โ€“26 Septemba kwa siku mbili za kusherehekea sanaa, ubunifu na burudani kwa kila mtu.
Kuanzia shughuli na michezo ya watoto, maonesho ya sanaa, hadi muziki mzuri wa moja kwa moja kutakuwa na kitu cha kufurahia kwa wewe, marafiki zako na familia.

Ratiba kamili pamoja na orodha ya wasanii wanaotumbuiza zinapatikana kwenye ukurasa wa Wikiendi LIVE.

Usikose! ๐ŸŽถโœจ

***********
Wr have remained with 1 month to Wikoendi Live,

Join us at Nafasi Art Space on 25โ€“26 September for a weekend filled with art, creativity, and unforgettable experiences.

From childrenโ€™s games and activities to inspiring art and live music performances, thereโ€™s something for everyone to enjoy with friends and family.

Check out Wikiendi LIVE for the full lineup of artists and the complete event schedule.

Donโ€™t miss it! ๐ŸŽถโœจ

25/08/2026

Tukutane Nafasi Art Space kwenye Wikiendi Live!
Welle & The Band

Wikiendi Live 2026 โ€“ September 25 & 26 at Nafasi Art Space.
Kinyumbani Nyumbani Vibes. Come as you are. Feel at home.

**************************************************
Weka tarehe kwenye kalenda yako: 25 & 26 Septemba 2026, na tukutane Nafasi Art Space kwa kumaliza wikiendi kwa sanaa, utamaduni na kumbukumbu zisizosahaulika.

Wikiendi Live 2026 โ€“ Kinyumbani Nyumbani Vibes. Njoo ulivyo. Jisikie uko nyumbani

๐ŸŽถโœจ WIKiENDI LIVE 2026 โ€“ KINYUMBANINYUMBANI! ๐Ÿก๐ŸŽจLetโ€™s make music, learn, play, and have fun together! ๐ŸŽต๐Ÿ’›On Day 02 โ€“ 26th S...
18/08/2026

๐ŸŽถโœจ WIKiENDI LIVE 2026 โ€“ KINYUMBANINYUMBANI! ๐Ÿก๐ŸŽจ

Letโ€™s make music, learn, play, and have fun together! ๐ŸŽต๐Ÿ’›

On Day 02 โ€“ 26th September, join us at Nafasi Art Space for a special Musical Instruments Playing Workshop for Kids, in collaboration with Sariโ€™s Art Centre. ๐Ÿฅ๐ŸŽธ๐ŸŽค

This is a fun and welcoming class for kids and parents who are interested in learning about and playing musical instruments. Come ready to explore sound, discover new instruments, and enjoy a creative experience together! ๐ŸŽถ๐Ÿ‘ง๐Ÿพ๐Ÿ‘ฆ๐Ÿพ

๐Ÿ“… Date: 26th September 2026
โฐ Time: 10:00 AM โ€“ 1:00 PM
๐Ÿ“ Venue: Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽจ With: Sariโ€™s Art Centre
๐Ÿ“ž Contact: +255 757 820 426
๐Ÿ“ง Email: [email protected]

Bring the little ones and letโ€™s make some beautiful noise! ๐ŸŽถโœจ Donโ€™t miss it!

Please note: This event will be filmed and materials may be used for promotional purposes.

*******

๐ŸŽถโœจ WIKiENDI LIVE 2026 โ€“ KINYUMBANINYUMBANI! ๐Ÿก๐ŸŽจ

Tujifunze, tucheze, tutengeneze muziki na kufurahia pamoja! ๐ŸŽต๐Ÿ’›

Siku ya 02 โ€“ 26 Septemba, tunakualika Nafasi Art Space kwa Warsha ya Uchezaji wa Vyombo vya Muziki kwa Watoto, kwa kushirikiana na Sariโ€™s Art Centre. ๐Ÿฅ๐ŸŽธ๐ŸŽค

Hii ni nafasi nzuri kwa watoto na wazazi wanaopenda kujifunza kuhusu vyombo vya muziki na namna ya kuvitumia. Njoo na watoto wako wajifunze, wagundue vipaji vipya, na wafurahie uzoefu wa muziki katika mazingira ya ubunifu na furaha! ๐ŸŽถ๐Ÿ‘ง๐Ÿพ๐Ÿ‘ฆ๐Ÿพ

๐Ÿ“… Tarehe: 26 Septemba 2026
โฐ Muda: Saa 4:00 asubuhi โ€“ 7:00 mchana
๐Ÿ“ Mahali: Nafasi Art Space, Eyasi Street, Mikocheni B, Dar es Salaam
๐ŸŽจ Pamoja na: Sariโ€™s Art Centre
๐Ÿ“ž Mawasiliano: +255 757 820 426
๐Ÿ“ง Barua pepe: [email protected]

Walete watoto, tufanye muziki pamoja na kuacha kumbukumbu nzuri! ๐ŸŽถโœจ Usikose!

Tanbihi: Tukio hili litarekodiwa na baadhi ya picha/video zinaweza kutumika kwa ajili ya shughuli za matangazo.

Address

Nafasi Art Space, Eyasi Road, Mikocheni B, Light Industrial Area
Dar Es Salaam
14112

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wikiendi LIVE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category