Fukufuku Digital Media

Fukufuku Digital Media Entertainment & Brand Product Sales Digital Media Platform

06/12/2022
Mfahamu Kwa Undani Maisha Ya Ukoo Na Familia Yake Tajili Namba Moja Kijana Ulimwengu Kwa Maana Ya Duniani Mohammed Dewji...
03/04/2021

Mfahamu Kwa Undani Maisha Ya Ukoo Na Familia Yake Tajili Namba Moja Kijana Ulimwengu Kwa Maana Ya Duniani Mohammed Dewji Kwenye Ukurasa Wa Mbele Katika Jarida Kubwa Ulimwengu (Duniani)

Ni heshima kubwa kuwekwa kwenye ukurasa wa mbele wa jarida la ELEVATION.

Shukrani za dhati zimfikie Davlynne Lidbetter kwa kuandika habari zangu, jinsi nilivyokulia hapa Tanzania, namna Kampuni ya MeTL Group Ltd ilivyoendelea kukua tangu kuanzishwa kwake na baba yangu mpendwa na mababu zangu kwenye miaka ya 1970.

Tafadhali bofya hapa kusoma: https://online.fliphtml5.com/ioxrt/gopr/
//
It is an absolute honour to be featured on the cover of ELEVATION Magazine!

My profound thanks to Davlynne Lidbetter and for the opportunity to share my story, including being raised in Tanzania, and how MeTL Group Ltd has developed over the years, since its inception by my dear father and grandparents in the early 1970’s.

Please follow this link to view the magazine: https://online.fliphtml5.com/ioxrt/gopr/

🙏🏽 Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL)

  Ukisitaajabu ya YUDA Utayaona ya  KWANI KUNA HABARI GANI?  ✍🏿  Wambea wanajiuliza kwa Sauti, eti Haya ni Mambo Ya Yuda...
02/04/2021

Ukisitaajabu ya YUDA Utayaona ya KWANI KUNA HABARI GANI?

✍🏿 Wambea wanajiuliza kwa Sauti, eti Haya ni Mambo Ya Yuda Eskalioti Au Ni zile Tomato zetu za Bongo Movie?

Kwa taarifa za umbea na burudani ingia Youtube au bofya Link Kwenye Bio. Nikisema Nimesema Na Sifuti

Powered by Kwa maitaji ya bidhaa njoo Dm upate suluhu na mpango wa biashara 💵💰

01/04/2021

HAPO ZAMANI ZA KALE UWEZI KUMUONA KWENYE KUNDI LA TEMBO

✍🏿 Tatizo lilianzia Hapa... Vs Penseli zikaanza kuibiwa

Je kuna Dalili zozote watakutana tena studio na kufanya kitu?

Kwa taarifa za umbea na burudani Ingia Youtube Kwenye au bofya Link kwenye Bio.

Powered by kwa maitaji ya bidhaa njoo Dm upate suluhu na mpango wa biashara

01/04/2021

FADHIRI MFADHIRI MBUZI BINADAMU ANA MAUZI

Kwa taarifa za umbea na burudani bofya link kwenye bio au follow Nikisema nimesema na sifuti

Powered by kwa maitaji ya bidhaa njoo Dm upate suluhu na mpango wa biashara 💵💰

Address

Kinondoni Road
Dar Es Salaam

Telephone

+255756424507

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fukufuku Digital Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Fukufuku Digital Media:

Share