07/10/2025
Karibuni tumtumikie Mungu kwa njia ya Uimbaji..
Kwa wanafunzi wapya na wanaondelea na masomo katika vyuo vya UDSM, ARDHI & WI, ambavyo vinaunda parokia ya CHUO KIKUU.
Tunawapenda sanaaa na tunawakaribishaaa