Imani Ishindayo Kwaya

Imani Ishindayo Kwaya Kuwafumbua watu macho yao, kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru. Waziache na nguvu za shetani.

Mithali 18:22Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.Mithali 19:14Nyumba na mali ni urithi apatao m...
05/01/2026

Mithali 18:22
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.

Mithali 19:14
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.

Ni majira mengine kwa Mungu kuna uwezesho, yasiyowezekana Sasa yanawezekana. Wataulizana kwani siri ni nini? Hawajui ni ...
09/12/2025

Ni majira mengine kwa Mungu kuna uwezesho, yasiyowezekana Sasa yanawezekana. Wataulizana kwani siri ni nini? Hawajui ni Bwana amefanya

Pokea sifa Bwana kwa matendo yako makuu ya ajabu, sisi tumeonaUmetupa kichekoUmetupa heshima
09/12/2025

Pokea sifa Bwana kwa matendo yako makuu ya ajabu, sisi tumeona

Umetupa kicheko
Umetupa heshima

Ametenda tena huyu Mungu zaidi ya mwanzo kwa upendoAmetuonyesha alivyo Mungu wa ajabu, ametenda bila kutazama udhaifu we...
29/11/2025

Ametenda tena huyu Mungu zaidi ya mwanzo kwa upendo
Ametuonyesha alivyo Mungu wa ajabu, ametenda bila kutazama udhaifu wetu.

Tuliotendewa na Bwana k**a sisi, njia zetu zilikuwa na utelezi mwingi
Tutamwimbia Bwana tutamsifu Bwana siku zote za maisha yetu.
Waliokuwa wametupwa kwenye moto k**a Shedrack, Abel na Meshaki. Tutamwimbia Bwana tutamsifu Bwana siku zote za maisha yetu.

Moto mwingine umewaka huko Mtwara Mungu wa The Power Of Christ Church anazidi kudhihirika huko kwa neema yake na utukufu wake.

Huko ni 🔥🔥🔥🔥 hakuna kupoa kila iitwapo leo hatua kwa hatua Imani mpaka Imani Bwana Yesu anadhihirika.

Tunamtukuza Mungu kwa kazi yake hiyo njema aifanyayo maishani mwetu na kwa wengi wanao mjia.🙏🙏

Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatiya kibali kwa Bwana, kaka wewe unacho kibali, mbingu zimekukubali wewe.
28/11/2025

Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatiya kibali kwa Bwana, kaka wewe unacho kibali, mbingu zimekukubali wewe.

Ni majira mengine kwa Mungu kuna uwezesho, yasiyowezekana Sasa yanawezekana. Wataulizana kwani siri ni nini? Hawajui kwa...
28/11/2025

Ni majira mengine kwa Mungu kuna uwezesho, yasiyowezekana Sasa yanawezekana. Wataulizana kwani siri ni nini? Hawajui kwani Bwana amefanya.

Nikweli Kunawakati ulianguka,ukamkosea Mungu .Anasema Simama Simama Jikung'ungute Mavumbi.Mungu wa Rehema Huangalia Sana...
27/11/2025

Nikweli Kunawakati ulianguka,ukamkosea Mungu .
Anasema Simama Simama Jikung'ungute Mavumbi.

Mungu wa Rehema Huangalia Sana Mwisho,Kuliko Mwanzo
Usiangalie Historia Yako.
Historia yako ya zamani Mungu Ameifutilia mbali,Umesamehewa Nenda Ukashuhudie.

Pole yako ww shetani,Siri zako tumezijuaWewe umefanya watu,wasijue neema ya MUNGU Aliyowapa.Umewak**ata watu ufahamu,was...
27/11/2025

Pole yako ww shetani,Siri zako tumezijua
Wewe umefanya watu,wasijue neema ya MUNGU Aliyowapa.

Umewak**ata watu ufahamu,wasijue Upendo wake
Watu wake wanaangamizwa,kwa kukosa Maarifa yake Mungu.

Mungu wetu ni wa rehema ,Anasamehe dhambi zote
Mungu wetu ni wa Rehema ,akisamehe Hakumbuki.

26/11/2025
Bwana ulikotutoa tumebaki tukijishangaa, Kanisa ulikotutoa tumebaki tukijishangaaAdui walipochimba mashimo tudumbukie wa...
27/06/2025

Bwana ulikotutoa tumebaki tukijishangaa,
Kanisa ulikotutoa tumebaki tukijishangaa

Adui walipochimba mashimo tudumbukie walidumbukia wao, na tena walipoweka mawe tusipite tulivuka salama, na tena walipoweka miiba tusipite tukavuka tena

Ni majira mengine kwa Mungu kuna uwezesho, yasiyowezekana Sasa yanawezekana. Wataulizana kwani siri ni nini? Hawajui ni ...
28/10/2024

Ni majira mengine kwa Mungu kuna uwezesho, yasiyowezekana Sasa yanawezekana. Wataulizana kwani siri ni nini? Hawajui ni Bwana amefanya.

Address

Tabata Segerea
Dar Es Salaam

Telephone

+255766234523

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imani Ishindayo Kwaya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Imani Ishindayo Kwaya:

Share

Category