Shimulimuli_1

Shimulimuli_1 Kupata historia, Tamaduni na mila za makabila mbalimbali ya Tanzania

SALAMU ZA POLEKampuni ya Shimulimuli inawapa pole wanamtwara, ndugu jamaa, marafiki, wazazi, walimu na wadau wote wa eli...
27/07/2022

SALAMU ZA POLE
Kampuni ya Shimulimuli inawapa pole wanamtwara, ndugu jamaa, marafiki, wazazi, walimu na wadau wote wa elimu na watanzania wote kwa ujumla kwa msiba huo uliotokea Mkoa wa Mtwara wa ajali iliyolihusisha basi la shule na kuwapoteza ndugu na wapendwa wetu. Mwenyezi awapumzishe kwenye makao yake na kuwaponya majeruhi haraka. Ni mila na desturi zetu Waafrika hususani Watanzania kushik**ana na kufarijiana, tudumishe mila na utamaduni huu. Poleni sana ndugu zetu

18/07/2022

Unakumbuka wapi?

Pata simulizi na mafunzo kupitia hapa kupitiafacebook: shimulimuli_ 1 na inst: Shimulimuli_1
13/06/2022

Pata simulizi na mafunzo kupitia hapa kupitia
facebook: shimulimuli_ 1 na inst: Shimulimuli_1

Tunawatakia WATANZANIA wote heri ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tudumishe na kuenzi  mila, tamaduni n...
26/04/2022

Tunawatakia WATANZANIA wote heri ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tudumishe na kuenzi mila, tamaduni na kulinda utu na ustawi wa vizazi vyetu na si dhambi bali UJAJIRI NA FAHARII iliyo ndani yake. Tumerithi tuwarithishe.

Wamfahamu? Mwamuitaje?
25/04/2022

Wamfahamu? Mwamuitaje?

Kwenu huyu ndege anafahamika kwa jina gani?.................
20/04/2022

Kwenu huyu ndege anafahamika kwa jina gani?.................

MIAKA 100 (13.04.1922 - 13.04.2022) YA KUZALIWA KWA BABA WA TAIFA MWALIMU J.K.NYEREREPongezi kwa Taifa lillomlea, kumkuz...
13/04/2022

MIAKA 100 (13.04.1922 - 13.04.2022) YA KUZALIWA KWA BABA WA TAIFA MWALIMU J.K.NYERERE
Pongezi kwa Taifa lillomlea, kumkuza na kumpatia fursa zilizohitajika. Hongera kwa wanafamilia kwa kumsaidia katika maisha yake, hongera wananchi wote kwa kuwa alikuwa miongoni mwetu katika kudumisha mila, utamaduni, maadili na nidhamu ya kujithamini. R.I.P Mwl JK Nyerere

KUMBUKIZI YA MIAKA 100 YA MWALIMU JULIUS K. NYERERETuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ukarimu na Upendo wake kwetu...
13/04/2022

KUMBUKIZI YA MIAKA 100 YA MWALIMU JULIUS K. NYERERE
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ukarimu na Upendo wake kwetu watanzania kwa kutupatia huyu mwana wa Afrika wa UKWELI Mwl. J.K.Nyerere. Pamoja na Watanzania wengine nasi pia tunaungana kumshukuru Mungu na kumwombea Ampumzishe kwa amani huko kwenye makao ya milele ndugu yetu aliyethamini utu, mila, desturi, utamaduni, kuheshimiana kujaliana na kulinda haki na maadili ya kiafrika. Happy birthday Hayati baba yetu +Mwl. Julius K Nyerere.

Tutajie jina la zao (tunda) hili kwa lugha yako, (ukiwa mbichi, ukiwa umechemshwa na ukiwa umechomwa au kupukuchukuliwa)...
21/03/2022

Tutajie jina la zao (tunda) hili kwa lugha yako, (ukiwa mbichi, ukiwa umechemshwa na ukiwa umechomwa au kupukuchukuliwa)

Tembelea instagram: shimulimuli_1

21/03/2022

UUsikiapo wimbo huo unakukumbusha nini na ulikuwa wapi?
Usisahau kupitia instagram shimulimuli_1 (share & comment)

Ni utamaduni wetu k**a waafrika hususani watanzania kupeana pole kwenye shida na kupongezana kwenye mafanikio. Tunaungan...
17/03/2022

Ni utamaduni wetu k**a waafrika hususani watanzania kupeana pole kwenye shida na kupongezana kwenye mafanikio. Tunaungana na watanzania wote kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya tano Hayati +John P. Magufuri afariki dunia. Kazi aliimaliza na hasa ya kudumisha utu na utamaduni wetu. R.I.P +JPM

Ni kwanini mila, tamaduni na taratibu za zawadi watu wa familia moja hawakuruhusiwa kuoa au kuolewa kwenye ukoo mmoj? (y...
11/03/2022

Ni kwanini mila, tamaduni na taratibu za zawadi watu wa familia moja hawakuruhusiwa kuoa au kuolewa kwenye ukoo mmoj? (yaani k**a kijana mmoja akioa kwa familia au ukoo fulani, mdogo wake hakupaswa kuoa tena hapo na hata kwa mabinti pia) ni kwa nini?

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255786172760

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shimulimuli_1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Shimulimuli_1:

Share