Combined Dating Platform

🎯Name>> *HENRY GIBSON* .🎯Age>> *34 years old.* 🎯Nationality>>> *U.S.A* 🎯Marital status>>> *Single* 🎯Kids>>> *No kids* .🎯...
03/04/2025

🎯Name>> *HENRY GIBSON* .
🎯Age>> *34 years old.*
🎯Nationality>>> *U.S.A*
🎯Marital status>>> *Single*
🎯Kids>>> *No kids* .
🎯Occupation>>> *Doctor*
🎯Financial status>>> *Stable.*
🎯Current location>>> *Africa*

🎯I have been working here in Africa since October last year. Besides my work, I'm also looking for a good loving Christian African lady willing to introduce myself to her family and friends.

🎯I'm ready to visit you in your country for a little introduction before we move to my working area. If you have kids, I'm ready to take care of your kids as well as mine.

🎯Indeed I need a mature women who can make me feel cared of despite the fact that she would have to work and manage my resources for our children.

🎯If you are interested kindly Whatsapp admin *254731559344*

  BAADHI YA MABAKI YA CHOMBO KILICHOPOTEA MAJINI YAONEKANA....Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita na k...
23/06/2023

BAADHI YA MABAKI YA CHOMBO KILICHOPOTEA MAJINI YAONEKANA....

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita na kikosi cha wanamaji wanaohusika na utafutaji wa chombo kilichopotea inaelezwa kwamba mabaki ya chombo hicho yamepatikana kwa sakafu ya bahari karibu kabisa na yalipo mabaki ya meli ya Titanic. Mabaki yaliyopatikana ni sehemu ya mfuniko wa nyuma pamoja na cover mbele la chombo hicho.

Mvumbuzi mwenza wa chombo hicho ameeleza vyombo vya habari kwamba mabaki haya yanaonyesha kwamba chombo hicho kitakuwa kimezidiwa na mgandamizo wa bahari na hivyo kulipuka. Hakuna taarifa zozote za kupatikana miili ya watu watano waliokuwa kwenye chombo hicho.

Uongozi wa klabu unatoa shukrani za dhati kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye timu yetu kiungo mkabaji, Jonas Mkude katika...
22/06/2023

Uongozi wa klabu unatoa shukrani za dhati kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye timu yetu kiungo mkabaji, Jonas Mkude katika muda wote wa miaka 13 aliyodumu nasi. Tunamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ya maisha ya soka nje ya Simba. Taarifa zaidi Simba App

Taarifa tatu tofauti kuhusu kikosi chetu zitakujia leo kupitia Simba App. ⏰ Saa 12:00 JioniMuhimu ni kupakua na kulipia ...
22/06/2023

Taarifa tatu tofauti kuhusu kikosi chetu zitakujia leo kupitia Simba App.

⏰ Saa 12:00 Jioni

Muhimu ni kupakua na kulipia app yetu ili uwe wa kwanza kupata taarifa hizi.

Uongozi wa klabu unautangazia umma kuwa hatutaendelea kuwa na mchezaji wetu kiraka Erasto Nyoni baada ya mkataba wake ku...
22/06/2023

Uongozi wa klabu unautangazia umma kuwa hatutaendelea kuwa na mchezaji wetu kiraka Erasto Nyoni baada ya mkataba wake kumalizika. Taarifa zaidi Simba App

  Mshambuliaji wa Arsenal Bukayo Saka amefunga mabao 3 (Hat trick) kwa mara ya kwanza kwenye maisha yake ya soka na amek...
21/06/2023

Mshambuliaji wa Arsenal Bukayo Saka amefunga mabao 3 (Hat trick) kwa mara ya kwanza kwenye maisha yake ya soka na amekuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mdogo akiwa na miaka 21 na siku 287 anaetoka katika klabu ya Arsenal kufunga Hat trick kwenye timu ya taifa ya England tangu mwa 2008 alipofanya hivyo Theo Walcott.

Saka ameweka rekodi hiyo usiku wa kuamkia leo baada ya kufunga mabao 3 kwenye mchezo dhidi ya North Mecedonia mchezo ambao England imeshinda mabao 7-0, mchezo wa kundi C wa kuwania kufuzu fainali za michuano ya mataifa barani Ulaya Euro 2024. Saka alifunga mabao yake dakika ya 38, 47 na 51.

Upande mwingione Kylian Mbappe amekuwa mchezaji wa 5 kwenye timu ya taifa ya Ufaransa kufunga mabao 40. Mbappe amefikia idadi hiyo ya mabao baada ya kufunga bao la pekee kwenye ushindi wa bao 1-0 walioupata Ufaransa dhidi ya Ugiriki.

Mbappe anaungana na Oliver Giroud mwenye mabao 54, Thierry Henry mabao 51, Antonine Griezmann 43 na Michel Platini mabao 41. Mshambuliaji huyo wa PSG amefikisha mabao 54 kwenye kalenda ya msimu 2022-23 akiwa ni mchezaji wa kwanza raia wa ufaransa kufikia idadi hiyo.

Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kuachana na kiungo mshambuliaji Nelson Esor-Bulunwo Okwa Taarifa zaidi kwenye S...
21/06/2023

Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kuachana na kiungo mshambuliaji Nelson Esor-Bulunwo Okwa Taarifa zaidi kwenye Simba App.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
AHAJ

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Combined Dating Platform posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share