Antidius Ezekiel

Antidius Ezekiel πŸ™.....Heavy struggle.....πŸ€›

Kila hatua dua!! Mwaka mwingine fursa nyingine ya kuzidi kujifunza
28/02/2026

Kila hatua dua!! Mwaka mwingine fursa nyingine ya kuzidi kujifunza

TOP SIGNING πŸ™ŒπŸ™Œ
19/01/2026

TOP SIGNING πŸ™ŒπŸ™Œ

Star boy ni kijani na njano πŸ™ŒπŸ™Œ
12/01/2026

Star boy ni kijani na njano πŸ™ŒπŸ™Œ

Heavy struggle
10/01/2026

Heavy struggle

Yes!! Yanga wametinga fainali baada ya kuwafunga singida Match ilikuwa ngumu kwa pande zote mbili, hawa wakikutana unash...
09/01/2026

Yes!! Yanga wametinga fainali baada ya kuwafunga singida
Match ilikuwa ngumu kwa pande zote mbili, hawa wakikutana unashuhudia kila Aina ya mpira physicality+Ubunifu+ujuzi+utashi+kasi πŸ”₯πŸ”₯ Sema huyu Max hakuna kocha asiyemmezea mate πŸ‘Œ πŸ‘

🚨 DEAL DONE: Mchana huu Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa Vipers,Allan Okello (25) kwa mkataba wa miaka miwili na...
09/01/2026

🚨 DEAL DONE: Mchana huu Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa Vipers,Allan Okello (25) kwa mkataba wa miaka miwili na nusuβœ…

Haikuwa kazi nyepesi kwani wiki hii vilabu vya MC Alger na Al Ahli Tripoli ya Libya,vilituma ofa nono ili kumpata kijana.

Baada ya Rais wa Yanga kupata hizo taarifa akapanda ndege chapu kuelekea Uganda ili kumalizana na Rais wa Vipers,Lawrence Mulindwa.

Bado mazungumzo yalikuwa magumu ila Eng. Heris,ameshinda vita na Okello ni balaa jipya Tanzania.

Muda huu Heris anaelekea Airport ili kuchukua ndege ya Tanzania,kwani biashara ya Okello imefungwa rasmiβœ…
Reposted from

WELCOME BACK YAO YAO Wananchi walikusubiria sana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒNB:Pale yanga hamna wa kumuweka benchi full stop βœ‹οΈ
06/01/2026

WELCOME BACK YAO YAO
Wananchi walikusubiria sana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
NB:Pale yanga hamna wa kumuweka benchi full stop βœ‹οΈ

Mohamed Damaro nimeangalia mechi yake ni kiungo wa shoka haswaπŸ’―πŸ™ŒπŸ™Œ anajua akae wapi kwa wakati gani( positioning awarenes...
06/01/2026

Mohamed Damaro nimeangalia mechi yake ni kiungo wa shoka haswaπŸ’―πŸ™ŒπŸ™Œ anajua akae wapi kwa wakati gani( positioning awareness yake iko perfect) ni mzuri wa kupora mipra na kuanzisha mashambulizi na manjonjo anayo yanayotufanya tuangalie mpira
PURE DEFENSIVE MEDFIELDER πŸ”₯πŸ”₯ Hapo wananchi mmepata mtu

🚨🚨 DEAL DONE: Ahmed Pipino (20) amejiunga na Singida,kwa mkataba wa miaka mitatuβœ…Dirisha kubwa lililopita Pipino alikuwa...
06/01/2026

🚨🚨 DEAL DONE: Ahmed Pipino (20) amejiunga na Singida,kwa mkataba wa miaka mitatuβœ…

Dirisha kubwa lililopita Pipino alikuwa karibu sana kujiunga na Simba,ila ikatoa mvutano na klabu yake ya KMC.

Awamu hii Pipino ameununu mkataba wake pale KMC kwa dau la Tsh 70m na viongozi wakabariki aondoke zake ili akatafute maisha sehemu nyingine.

Sasa Rasmi Pipino atavaa jezi ya Singida Black Starsβœ…
Reposted from

Miongoni mwa watu Wana mtihani mkubwa kuukabili ni kocha wa Yanga, just imagine kiwango bora ambacho ameonesha AFCON aan...
06/01/2026

Miongoni mwa watu Wana mtihani mkubwa kuukabili ni kocha wa Yanga, just imagine kiwango bora ambacho ameonesha AFCON aanzaje bench? Wakati huo huo una bacca una Job let's wait tuone anatususprise veep !!!

Address

Bukoba
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Antidius Ezekiel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share