TMichezo

TMichezo A place to have fun with the best sport in the world

"Watu wana mashaka juu yangu kwa sababu ya umbo langu na mambo mengine lakini hilo sio jambo la muhimu kwa sababu nimech...
01/02/2024

"Watu wana mashaka juu yangu kwa sababu ya umbo langu na mambo mengine lakini hilo sio jambo la muhimu kwa sababu nimecheza Ulaya. Msimu uliopita nilifunga mabao 13. Ikiwa naweza kucheza Ulaya, vipi kuhusu Afrika? Nitawafunga mdomo wote."

Pa Omar Jobe, mshambuliaji mpya wa Simba.

Abdul Fatawu alikataa kujumuishwa katika kikosi  cha timu ya taifa ya Ghana Kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya ...
13/01/2024

Abdul Fatawu alikataa kujumuishwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ghana Kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika ili kulinda namba yake katika kikosi cha Leicester City.

Hata hivyo mchezaji huyo alioneshwa kadi nyekundu leo, ambayo itamfanya kukosa mechi tatu za Leicester hadi Februari 10.

Fainali za Kombe la Afrika zinaanza Leo na kumalizika Februari 11.

Kikosi cha timu ya Taifa ya Cape Verde kinachoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Ivory Coast kinajumui...
13/01/2024

Kikosi cha timu ya Taifa ya Cape Verde kinachoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Ivory Coast kinajumuishwa wachezaji 25 kutoka vilabu tofauti katika mataifa 16.

Mchezaji mmoja pekee ndiye anacheza Ligi ya Cape Verde. Pia katika hao wachezaji 25, ni 11 pekee ndiyo wamezaliwa Cape Verde

Shirikisho la Soka barani Afrika (“CAF”) leo limetangaza ongezeko la 40% la Pesa kwa Bingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrik...
04/01/2024

Shirikisho la Soka barani Afrika (“CAF”) leo limetangaza ongezeko la 40% la Pesa kwa Bingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la TotalEnergies (“AFCON”) Côte d'Ivoire 2023.

Bingwa wa AFCON Côte d'Ivoire 2023 atapokea USD 7 000 000 sawa na takriban Shilingi Billioni 17.

Mshindi wa Pili wa AFCON Côte d'Ivoire 2023 sasa atapata USD 4 000 000. Kila mmoja wa Washindi wawili wa Nusu Fainali atapata USD 2 500 000 na kila mmoja kati ya wanne waliofuzu Robo Fainali, USD 1,300,000.

Rais wa CAF Dk Patrice Motsepe alisema: “CAF imepata maendeleo makubwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita katika kuongeza Pesa za AFCON na mashindano yake mengine yote makubwa. Tumeongeza Pesa ya Tuzo ya Mshindi wa AFCON hadi USD 7 000 000 ambayo ni ongezeko la 40% kutoka Pesa ya awali ya Tuzo ya AFCON. Nina imani kuwa sehemu ya Pesa ya Tuzo itachangia katika kuendeleza soka na pia kuwanufaisha wadau wote wa soka, pamoja na kusaidia Vyama vyetu vya Wanachama katika tawala zao.”

Mpendwa Mteja, uwe na Krismasi njema! ☃️
25/12/2023

Mpendwa Mteja, uwe na Krismasi njema! ☃️

CAF CHAMPIONS LEAGUE 🏆🔥⚽ inaendelea. USIKUBALI KUPITWA 🤩 Weka Ubashiri Wako Mapema USHINDEE!!! www.tmichezo.co.tz
02/12/2023

CAF CHAMPIONS LEAGUE 🏆🔥⚽ inaendelea. USIKUBALI KUPITWA 🤩 Weka Ubashiri Wako Mapema USHINDEE!!! www.tmichezo.co.tz



Usiku Mwingine wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 🤩⚽🔥 Usikbali kupitwa 🥳 Weka Ubashiri Wako Sasa 📲 tmichezo.co.tz USHINDEE!!
29/11/2023

Usiku Mwingine wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 🤩⚽🔥 Usikbali kupitwa 🥳 Weka Ubashiri Wako Sasa 📲 tmichezo.co.tz USHINDEE!!

Ni Usiku Wa KOMBE LA MABINGWA AFRIKA ⚽🏆 — 🔴 CR BELOUIZDAD v YOUNG AFRICANS 🟡 😉 Weka Ubashiri Wako tmichezo.co.tz Sasa US...
24/11/2023

Ni Usiku Wa KOMBE LA MABINGWA AFRIKA ⚽🏆 — 🔴 CR BELOUIZDAD v YOUNG AFRICANS 🟡 😉 Weka Ubashiri Wako tmichezo.co.tz Sasa USHINDEE!! ⚽www.tmichezo.co.tz



Taifa Stars  ugenini dhidi ya Niger  Kufuzu Kombe La Dunia 🏆 Weka Ubashiri Wako tmichezo.co.tz Leo USHINDEE!!!
18/11/2023

Taifa Stars ugenini dhidi ya Niger Kufuzu Kombe La Dunia 🏆 Weka Ubashiri Wako tmichezo.co.tz Leo USHINDEE!!!



Watu 30 wa kwanza watakaocomment jina la huyu mchezaji kwenye ukurusa zetu watazawadiwa FREEBET YA TSH 1,000 Bure 🎁🎟️ . ...
14/11/2023

Watu 30 wa kwanza watakaocomment jina la huyu mchezaji kwenye ukurusa zetu watazawadiwa FREEBET YA TSH 1,000 Bure 🎁🎟️ . Sisi ndiyo kampuni inayoongoza kwa kutoa Bonasi na Odds kubwa Tanzania nzima!!✅ www.tmichezo.co.tz



🚀 Msisimko wa soka ⚽️ upo kileleni kutokana na msimamo wa ligi. 🔥 Angalia uone nani kinara wa dimba la soka🙌Usikose mael...
11/11/2023

🚀 Msisimko wa soka ⚽️ upo kileleni kutokana na msimamo wa ligi. 🔥 Angalia uone nani kinara wa dimba la soka🙌

Usikose maelezo hata moja ya ligi, kwa sababu ukiwa nasi, haufeli popote 😎 Ungana nasi, hautojuta.
Sisi ndiyo vinara wa Odds bomba na bonasi kibao Tanzania nzima
Njoo ufurahie soka. www.tmichezo.co.tz

VYUMA VIMEKUTANA  🔴 SIMBA SC v YANGA SC 🟡 Nani Atashinda? 🔥⚽ Weka Ubashiri Wako USHINDEE!!! 🏆⚽. wwwtmichezo.co.tz
05/11/2023

VYUMA VIMEKUTANA 🔴 SIMBA SC v YANGA SC 🟡 Nani Atashinda? 🔥⚽ Weka Ubashiri Wako USHINDEE!!! 🏆⚽. wwwtmichezo.co.tz




Address

Gerezani Street
Dar Es Salaam
14115

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TMichezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category