13/09/2024
Maandalizi makubwa ya ShabahaSPACE at yanaendelea kwa Kasi sana, eneo hili lenye la heka 2 limetengwa maalumu kwa ajili ya kuifadhi michezo ya ASILI, hapa panaitwa iNUASILI YETU SPACE. Michezo ifuatayo imeifadhiwa hapa, kukimbia na magunia, kubuta kamba, kurusha mikuki, kurenga shabaha, Rede, mpira wa kamba, kucheza BAO na mingine mingi. Yanayotekelezeka yanapendeza APAO Village.